NYOLODO
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 12,206
- 27,987
- Thread starter
- #41
It make sense in very narrow sense, hapo utaanbiwa ubadili attitudes, baadhi ya tabia kama ulevi na kutopangilia matumizi. It somehow give a direction to reach some point of Impoved life standard. Lakin usisahau msingi mkuu wa argument yangu kwamba hatua zinapigwa kwa kuongeza chanzo cha mapato sio kuwa bahili.Sawa, elezea hiyo ya Mfumo master.
Na vipi anaposema "Tabia zako zinaweza zisisapoti ulichonacho na ukitakacho"
Unawza kuwa bahil na isikusidie, na umaskin unaasilia ngazi ya juu kabisa sio ngaz ya mtu. Mtu atalaumiwa tu! Mshamba hachekwi amenena vyema kuwa matajiri lazima wawe wachache. Hivyo ndo muundo unavyofanya kazi, umaskini na utajir ni matokeo yanayoonekan ya mfumo mzima