Sabab wamekutoa kwemye hamna na wanakuwaga na nguv sana kuhamsha hisia na mihemko ya watu waliokata tamaa. Most waliopoteza kazi wakageukia biashara. Waliokosa kazi kama jobles graduates na most popular kwa kipindi hiki sbabu ya usasa ambao umezua maswali mengi sana.
Ukiangalia vizuri duniani! Matajiri wote wametokea kwenys telnolojia, imekuwq wazi na kila mtu anafaham hili. Ukiachilia mbali kuwa tajiri! Kuna jitihada ambazo zinalenga kumtoa mtu kutokuwa tegemezi kwa watu. Unafaham mapambano yaliyopo hapo. Sasa swali, kama mtu ili ajotegemee tu atolewe kwemye state ambayo alikataa tamaa kabisa, je huyu mtu amepimiwa risk kias gani za kuchukua kuwa tajiri?
Motiveshen wanakuwaga na scale? Na kama hawana arguments zenye scale wanaongea kisayansi?