Malengo ambayo sio kuwa tajiri mkuu... hapa tukumbuke mchango wa class kwenye kuchambua mada za upatikanaji wa pesa na matumizi yake. Motiveshen wako too generalKama unaanza kujitafuta ni kweli ubahili unawez kufanya kufikia malengo .
Kuwa tajiri ni mchakato bwashee labda uuze ngada , kama umetokea familia maskini lazima ujibane haswaMalengo ambayo sio kuwa tajiri mkuu... hapa tukumbuke mchango wa class kwenye kuchambua mada za upatikanaji wa pesa na matumizi yake. Motiveshen wako too general
Kuwa tajiri ni mchakato bwashee labda uuze ngada , kama unetokea familia maskini lazima ujibane haswa
Kuwa tajiri ni mchakato bwashee labda uuze ngada , kama unetokea familia maskini lazima ujibane haswa
Ubahili ni nini kwanza? Labda tuanzie hapoUtajiri sio ubahili, utajiri ni chanzo cha mapato kuwa zaidi ya kimoja. Hiyo ndio siri kuu fatilia. Anaekuambia utakuwa tajiri kwa kuwa bahili anakupotosha
Kila mtu na bahati yake. Bahati haiambukizwi.Kwa nn unadhani au unasadiki kwamba huwezi kuufundisha watu/mtu kuhusu utajiri?
Sio mchakato wa jitihada na usahihi wa nyakati! Watu wanaokuzunguka! Fursa uliyoikumbatia kwa wakati huo.Kila mtu na bahati yake. Bahati haiambukizwi.
Mzee kama umetokea familia ya kimaskini , ubahili ni njia ya kujikwamua kutoka sehemu moja kwenda nyingine.Ubahili ni mchakato wa makusudi wa kuzuia matumizi ya fedha kwa nguvu! Na madhara yake yanaonekanaga dhahiri shahiri
Piga hesabu zako wee ila matajiri watabaki kuwa wachache kwasababu kila mtu ana bahati yake.Sio mchakato wa jitihada na usahihi wa nyakati! Watu wanaokuzunguka! Fursa uliyoikumbatia kwa wakati huo.
Let us be scalable. Tuuzuungumzie utajiri kama mchakato wa mapambano kwa mtu aliyefikia umri wa miaka 40. Ambaye hajaurithi. Ili awe tajiri anatakiwa awe na mali au thamani ya pesa na mali za kias gani?
Nakubaliana na wewe kabisa, tuwe more specific! Mana ubahili kama njia ya kufikia malengo. Malengo hayo yanafananaje? Hivi ujibanebane ujenge nyumba alafu? Ukimaliza nyumba ujibane tena kukamilisha lingine si unaishi kusubiria kufa?Mzee kama umetokea familia ya kimaskini , ubahili ni njia ya kujikwamua kutoa sehemu moja kwenda nyingine.
Hapo kwenye bahati mhmm.Piga hesabu zako wee ila matajiri watabaki kuwa wachache kwasababu kila mtu ana bahati yake.