Basi sawa, hapo naona kila mtu ana njia zake hivyo tusibishane sanaNakubaliana na wewe kabisa, tuwe more specific! Mana ubahili kama njia ya kufikia malengo. Malengo hayo yanafananaje? Hivi ujibanebane ujenge nyumba alafu? Ukimaliza nyumba ujibane tena kukamilisha lingine si unaishi kusubiria kufa?
Be realist! Ni lengo gani hasa maskini anaweza kulitimiza kwa kuwa bahili? Kuongeza chanzo cha kipato sio lengo kaka ni utanuzi wa mkakat wako kufikia lengo. Lengo halis hapo linaweza kuwa nni?
Mimi binafsi nawakubali sana hao wahamasishajiHapo anatutoa kabisa kwenye reli inayoongelea utajiri kuwa ni mchakato wa kisayansi unaojumuisha kanuni za matumizi ya rasilimali. Ubunifu, na mambo kedekede wanayoongelea waandika vitabu
Hapana mkuu, mitazamo inayozalisha aina ya uwasilishaji wa wazo kuwa umaskini ni kitu ambacho maskini anakikumbatia si sawa. Na ndio hiyo ambayo haifui dafu kuuondoa umaskin.Basi sawa, hapo naona kila mtu ana njia zake hivyo tusibishane sana
OkHapana mkuu, mitazamo inayozalisha aina ya uwasilishaji wa wazo kuwa umaskini ni kitu ambacho maskini anakikumbatia si sawa. Na ndio hiyo ambayo haifui dafu kuuondoa umaskin.
Malengo ya maskini kama mm ni yale madogo madogo sana. Nikisema lengo kuja kuishi sehem nzur kuwa na mke mzur na nyumba nzuri. Hilo ni lengo na haliwez kufikiwa kwa kujibana bana na ubahili
Sabab wamekutoa kwemye hamna na wanakuwaga na nguv sana kuhamsha hisia na mihemko ya watu waliokata tamaa. Most waliopoteza kazi wakageukia biashara. Waliokosa kazi kama jobles graduates na most popular kwa kipindi hiki sbabu ya usasa ambao umezua maswali mengi sana.Mimi binafsi nawakubali sana hao wahamasishaji
Imagine mtu anakuambia huendelei au huwez kutoboa sabab pesa nyingi unakula! Kuna sehem chakula bei rahisi kama umaskinini? We huyu mtu unamuelewa?
Poa bwashee ,uzuri mmoja kila mmoja ana njia zake za kutoboaImagine mtu anakuambia huendelei au huwez kutoboa sabab pesa nyingi unakula! Kuna sehem chakula bei rahisi kama umaskinini? We huyu mtu unamuelewa?
Unajua kuna tafiti za kisayansi zinasema kuwa waafrika wana akili ndogo sababu hawali chakula cha kueleweka?
Cha muhimu , nichokifahamu wao wamenipa motisha na matokeo nayaona mengine ni wewe kuni motivate niache kuwakubali motiveshenSabab wamekutoa kwemye hamna na wanakuwaga na nguv sana kuhamsha hisia na mihemko ya watu waliokata tamaa. Most waliopoteza kazi wakageukia biashara. Waliokosa kazi kama jobles graduates na most popular kwa kipindi hiki sbabu ya usasa ambao umezua maswali mengi sana.
Ukiangalia vizuri duniani! Matajiri wote wametokea kwenys telnolojia, imekuwq wazi na kila mtu anafaham hili. Ukiachilia mbali kuwa tajiri! Kuna jitihada ambazo zinalenga kumtoa mtu kutokuwa tegemezi kwa watu. Unafaham mapambano yaliyopo hapo. Sasa swali, kama mtu ili ajotegemee tu atolewe kwemye state ambayo alikataa tamaa kabisa, je huyu mtu amepimiwa risk kias gani za kuchukua kuwa tajiri?
Motiveshen wanakuwaga na scale? Na kama hawana arguments zenye scale wanaongea kisayansi?
Madulu hana scale mzee, mm najaji arguments za mtu kwa kuangalia sayansi anayoitumia kuweka hoja mezani. Kuna context nyingi sana arguments za madulu hazifanyi kaz yoyote unaziweka pembeni. Madulu Anaamini katika nature! Umaskini sio zao la natureUmemkurupukia Madulu kakae umfuatilie vizuri.
Anachokifanya motivesheni weqe hukifanyi mzee, boresha biashara na mikakati tu. Ila usiamin kama ubahili ndo njia ya kukupelekea kuwa tajiri.Cha muhimu , nichokifahamu wao wamenipa motisha na matokeo nayaona mengine ni wewe kuni motivate niache kuwakubali motiveshen
Ukichokifanya hapa ni motivesheni pia bwashee 😅 yani unajipinga mwenyeweAnachokifanya motivesheni weqe hukifanyi mzee, boresha biashara na mikakati tu. Ila usiamin kama ubahili ndo njia ya kukupelekea kuwa tajiri.
Tuelezee sasa, Umaskini na dhana zake zote tukuelewe.Umaskini sio nature
Mm sio mhamasisha watu, hamasa io kitu kibaya. Mm natka kuona jamaa wanakuwa vizuri sana kwenye kuelew kitu kwa undani kupitia perspective zoteUkichokifanya hapa ni motivesheni pia bwashee 😅 yani unajipinga mwenyewe
Kwa hiyo China, South Korea na England ni tajiri kuliko Tanzania kwa sababu ya bahatiKila mtu na bahati yake. Bahati haiambukizwi.
Dhana zinazoelezea matatizo kama hayo ziko mbili. Moja inaelezea ngazi ya mtu, na moja inaelezea ngaz ya mfumo. Ngazi ya mfumo ndo nayoweza kujibu kwa nn hata maskini wanapambana na umaskini lakini bado maskini. Ile ya ngazi ya mtu inakuonesha tu njia hiyo hapo ifate. Ukiifata hayo utakayokutana nayo huko siri yakoTuelezee sasa, Umaskini na dhana zake zote tukuelewe.
Sawa tu mkuu, sibishi sana kw sababu mafanikio kila mtu ana njia zakeMm sio mhamasisha watu, hamasa io kitu kibaya. Mm natka kuona jamaa wanakuwa vizuri sana kwenye kuelew kitu kwa undani kupitia perspective zote
Mara nyingi kama si zote, unavyoongelea kanuni za kuondokana na umaskin tena ngazi ya mtu mmoja mmoja unalifanya kuwa simple na unamaan kwamba haliondoki sabab limekumbatiwa
Sawa, elezea hiyo ya Mfumo master.Dhana zinazoelezea matatizo kama hayo ziko mbili. Moja inaelezea ngazi ya mtu, na moja inaelezea ngaz ya mfumo. Ngazi ya mfumo ndo nayoweza kujibu kwa nn hata maskini wanapambana na umaskini lakini bado maskini. Ile ya ngazi ya mtu inakuonesha tu njia hiyo hapo ifate. Ukiifata hayo utakayokutana nayo huko siri yako