It make sense in very narrow sense, hapo utaanbiwa ubadili attitudes, baadhi ya tabia kama ulevi na kutopangilia matumizi. It somehow give a direction to reach some point of Impoved life standard. Lakin usisahau msingi mkuu wa argument yangu kwamba hatua zinapigwa kwa kuongeza chanzo cha mapato sio kuwa bahili.Sawa, elezea hiyo ya Mfumo master.
Na vipi anaposema "Tabia zako zinaweza zisisapoti ulichonacho na ukitakacho"
Kwanza tukubaliane tafsiri ya utajiri. Kama wewe una kipato kidogo kama waTanganyika tunavyojifahamu na unautafsiri utajiri ni kuwa na nyumba, gari na kipato cha kulihudumia gari bila kuathiri mahitaji ya muhimu kama afya, elimu na mavazi, ubahili una mchango mkubwa wa kukufikisha hapo, ila kama utajiri ni kuwa na mapesa mabilioni ya Tsh na mabiashara makubwa kama kina Musk upo sahihi, ubahili hauwezi kukufikisha huko.Utajiri sio ubahili, utajiri ni chanzo cha mapato kuwa zaidi ya kimoja. Hiyo ndio siri kuu fatilia. Anaekuambia utakuwa tajiri kwa kuwa bahili anakupotosha
Sio kila mtu anaweza kuilewa hii,Kama unaanza kujitafuta ni kweli ubahili unawez kufanya kufikia malengo .
Ubahili unakutoa hatua moja kwenda nyingine kwa kasi ya kutisha , wana wanapinga kwa sababu ubahili ni jambo la wachacheSio kila mtu anaweza kuilewa hii,
Hii siri imenitoa mahali
Japo motivational speakers sio kabisa
Kabisa,hakuna tajiri mfujajiUbahili unakutoa hatua moja kwenda nyingine kwa kasi ya kutisha , wana wanapinga kwa sababu ubahili ni jambo la wachache
Mimi nazunginzia utajiri ule ambao hata umeme wa watu wote wa Tanesco ukikatika. Wewe kama tajiri unaweza kutatua ngazi ya nyunbani kwako! Kama umeme umekatika na wewe huwez kutatua mpaka tanesco waurudishe una cha kujifunza hapaKwanza tukubaliane tafsiri ya utajiri. Kama wewe una kipato kidogo kama waTanganyika tunavyojifahamu na unautafsiri utajiri ni kuwa na nyumba, gari na kipato cha kulihudumia gari bila kuathiri mahitaji ya muhimu kama afya, elimu na mavazi, ubahili una mchango mkubwa wa kukufikisha hapo, ila kama utajiri ni kuwa na mapesa mabilioni ya Tsh na mabiashara makubwa kama kina Musk upo sahihi, ubahili hauwezi kukufikisha huko.
Sasa mpaka ufikie huko lazima uwe ume umudu huu utajiri wa kuweza kula milo mitatu bila wasiwasiMimi nazunginzia utajiri ule ambao hata umeme wa watu wote wa Tanesco ukikatika. Wewe kama tajiri unaweza kutatua ngazi ya nyunbani kwako! Kama umeme umekatika na wewe huwez kutatua mpaka tanesco waurudishe una cha kujifunza hapa
Mwanangu unakuja kuja.... kamba uliokata ya nn kaka?utajiri ni kuwekeza tu hakuna siri nyingine.
wanao jibana ni vijana wanaotafuta mitaji au pakuanzia
na kujibana nimiaka mitano ikizidi hapo jua wewe kuendelea kujibana unajitesa tu akili yako imeishia hapo huwezi fanya lolote bora ule tu milo yako mitatu kwa siku huku ukilipa kodi yachumba
Mtu anaweza kuwa tajiri kabisa ila akawa bahili , hii pia inaweza sababishwa na historia.So kama tunakubaliana hapo lazima tukubali kuwa kadri anavyozid kuwa maskin ndivyo anavyozidi kuwa na "limited options"
Afrika mkuu ukishakuwa tajir ukafilisika haiwezekan kuja kuwa tena tajiri. Hata watu wanaoukzunguka hawawez kukubali uwe tajiri mara mbili 🤣Mtu anaweza kuwa tajiri kabisa ila akawa bahili , hii pia inaweza sababishwa na historia.
Ubongo wa binadamu una jihami kwa kutafuta njia ya kutoa hatari ( leaning from scarcity) .
Hivyo ubahili una mawanda mapana sana.
Aina hii ya utajiri unapatikana kwa ubahili, tena ubahili wa kipare, unaacha kula nyama, unashindia mahindi ya kuchemsha ili kuficha elfu kumi kumi miezi kadhaa mpaka unanunua genereta.Mimi nazunginzia utajiri ule ambao hata umeme wa watu wote wa Tanesco ukikatika. Wewe kama tajiri unaweza kutatua ngazi ya nyunbani kwako! Kama umeme umekatika na wewe huwez kutatua mpaka tanesco waurudishe una cha kujifunza hapa
kamba ya uoga na umasikini wa fikra na pesaMwanangu unakuja kuja.... kamba uliokata ya nn kaka?
nilifanya vile vitu ninavyo viogopa maranyingi zaidi hadi nikawa gwiji katika umri mdogo kabisaThats crazy ma niga, how you manage to do that?