ni haki yenu ya kikatiba kuwa na mawazo mbadala, na its your choice NOT to participate in general election, vyama vingine hata kiwa kimoja cha upinzani uchaguzi hauta ahirishwa,Unarejea uchaguzi wa 2020 itakuwa Huwa akili!
😀😀we ndyo umeelimika lakini unapambana na impossibles, jiunge na G55Mikoa ambayo jamii hazija develop, kuelimika inakuwa rahis sana ccm kuwadaka. Wanajua sababu ni washamba, kanga , tshert na wakiwaletea wasanii wameshauza kura
G55 nao hawajaelimika? mi naonal wako very rationalMikoa ambayo jamii hazija develop, kuelimika inakuwa rahis sana ccm kuwadaka. Wanajua sababu ni washamba, kanga , tshert na wakiwaletea wasanii wameshauza kura
Wewe unawasemea ukiwa kama nani yao?Ilikuwa zamani, haiwezi rudi tena, ndyo maana nasema wako deceptive sana
ni mwananchi wa huku unakosema hatujaelimikaWewe unawasemea ukiwa kama nani yao?
G55 wanafanya kampeni? Ni chama kinachojitegemea? Wamewahi kugombea huko?G55 nao hawajaelimika? mi naonal wako very rational
Imeaona wapi napambana nao? Kwamba viongoz wa cdm huwaoni? Waandikie barua😀😀we ndyo umeelimika lakini unapambana na impossibles, jiunge na G55
njaa55 wameshapoteana hadi muda hhuuMbona huo moto unaibabua chadema yenyewe G55 imemkondesha dikteta uchwara na lema kwa siku moja tu!
bora ya G55 yenu, wengine ni wafukuza upepo tu, ila imekaa vizuri, migogoro yenu uchwara inaiweka CCM for lifeImeaona wapi napambana nao? Kwamba viongoz wa cdm huwaoni? Waandikie barua
who is sane kati yenu na G55, internal conflict zenu zitafanya CDM iwe impotent and infertile partyG55 wanafanya kampeni? Ni chama kinachojitegemea? Wamewahi kugombea huko?
Weka some logic basi?
Dont include me kwenye kundi lolote, you dont know me.bora ya G55 yenu, wengine ni wafukuza upepo tu, ila imekaa vizuri, migogoro yenu uchwara inaiweka CCM for life
Ni sawa, lakini kwa namna ulivyoandika ninajenga swali:kusema 'unaambiwa' inamaa nawe umezipata habari hizo kutoka kwa mtu mwingine!Taarifa zingine za leo zinaonyesha kwamba Timu ya Chadema inayotoa Elimu ya Uchaguzi Huru na Haki huko Kanda ya Kusini imefika Masasi.
Unaambiwa Moto uliowaka kwenye Mkutano wa Masasi haujawahi kutokea katika kipindi kirefu mno kwenye eneo hilo
Kwa kifupi ni kwamba Wananchi wote wameelewa Somo hilo
View attachment 3295952View attachment 3295953View attachment 3295954
Imeaona wapi napambana nao? Kwamba viongoz wa cdm huwaoni? Waandikie barua
..nasea kama mimi mwenyewe, na sitaki kujua wewe ni kama naniWewe unawasemea ukiwa kama nani yao?
Kasuku kazi yake kukaririshwa....njaa55 wameshapoteana hadi muda hhuu
Subiri hadi oktoba ndio utaona nguvu yake ilivyosambaa.Na G55 ni CCM made? "No reform No election" is the most childish project, only insane folks cant comprehend it
of course, but u will be very lonely, sisi tutaenda na G55Subiri hadi oktoba ndio utaona nguvu yake ilivyosambaa.
.. WATU wa mkoa wa Mtwara wako hivyo, wana join kila mkusanyiko/Kila VIBE la mtaani, lakini huwa wanaichagua CCM.Ni sawa, lakini kwa namna ulivyoandika ninajenga swali:kusema 'unaambiwa' inamaa nawe umezipata habari hizo kutoka kwa mtu mwingine!
Je wewe mkuu upo kwenye msafara wa kiongozi gani katika hiyo kampeni?
Dont include me kwenye kundi lolote, you dont know me.
So watafute wahusika wapelekee ujumbe
Kwa tiketi ya chama gani?of course, but u will be very lonely, sisi tutaenda na G55