Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo huduma za moto peke yake ni kila kitu. Imagine mtu ndiyo umepata heart attack au stroke. Ambulance mpaka ikakufikie ni kazi. Na ikifika si ajabu ikawa mbovu au ikaishiwa mafuta njiani.Huduma za uzimaji moto kwa kweli sisi bado ni kitendawili, kwa kweli unahitajika msasa wa nguvu. Na huku kusua sua hakujaanza leo, ni miaka na miaka
Mambo ya ndagu hayowatoe lihirizi lililoko hapo!....
Tunayo Idara kabisa Ila mambo ndio hayo MkuuLazima kuwe na team special ku deal na majanga; moto, floods, tetemeko. Haya mambo si ya kumuachia Mungu peke yake ... kujiongeza ni muhimu
Hapo ndio huwa wahenga wananichanganya Sana methali zaoDawa ya moto ni moto..si wawashe Moto mwingine tu
Mbona hiyo timu ipo, Soma Sheria ya wakala wa usimamizi wa maafa, 2014Lazima kuwe na team special ku deal na majanga; moto, floods, tetemeko. Haya mambo si ya kumuachia Mungu peke yake ... kujiongeza ni muhimu
Na ndugu alipelekwa temeke Hosp akaambiwa anatakiwa akimbizwe muhimbili dah wakesema gari/ambulance hadi ijae ndiyo wapelekwe kwa ujumlaSiyo huduma za moto peke yake ni kila kitu. Imagine mtu ndiyo umepata heart attack au stroke. Ambulance mpaka ikakufikie ni kazi. Na ikifika si ajabu ikawa mbovu au ikaishiwa mafuta njiani. Na paramedics waliomo humo wanaweza wasife na kifaa hata kimoja. Kwa hizi huduma aisee wenzetu huko duniani wametuzidi sana. Moto kama huo dakika 5 tu wameshafika na mamitambo ya kila aina. Hata huwa sielewi tatizo letu ni nini yaani.
View attachment 1850015
Inasemekana moto umerudi tena Soko kuu la kariakoo, bado zoezi la uzimaji moto katika Soko hilo linaendelea baada ya sehemu ambazo zilizimwa moto kufuka moshi na kuanza tena.
SOURCE:ITV