Motra the future na Diss Track dhidi ya Kikosi Kazi awaita kikosi kazi WEUPE

Mex cortex kapiga ngumi kavu kavu za uso mchizi motra

Motra hatakiwi kumjibu huyu mchizi, atakuja kufa
Motraa katoa diss track kwa kikosi kazi. Hao mbarara wengine haangaiki nao ..

Sema Nini Motraa katoa ajira😂😂😂
 
kulingana na utafiti uliofanyika Hivi majuzi, #WEUPE ni diss track inayojitegemea yenyewe. Kilichoimbwa mule hakiitaji nyongeza yeyote Yani mzigo umekamilika kwa 100% ..

Hizi mbarara nyingine zinazopiga kelele zinatafuta pa kutokea kupitia hii ngoma ya #WEUPE.

Hizi ni taarifa za ndani kabisa kutoka kwenye intelijensia yangu.

#NorthZoneforRealHipHop💪💪
 
Punch za Motraa zinachoma zaidi ya Moto wa pasi aise😂😂😂

Motraa katoa ajira kwa mbarara za kikosi kazi.

SISI MASHABIKI TUNATAKA KIKOSI KAZI WAJIBU HOJA YA MOTRAA siyo hao mbarara
Diss ya kikosi kazi kwa weusi unajua ilitoka mwaka gani?
 
Ididnt have plan to listen the songs but his reply and your reply have made me to listen the songs....kwasababu kinachotafutwa kwenu ni uhalali wa kusema nani mkali kulingana na jinsi mnavyoujua muziki. Sijakaa na Zavara wala sijawai kwenda Msasani Kiingeni. Ila nimekuwa mfatiliaji wa hiphop for sometimes now hasahasa ktk muktadha kama huu wa kujua Nani mkali kwa uandishi, flow na punch. Nutarudi
 
Nimekupa like baada ya kuisikiliza nyimbo ya amkia.
 
Hamna best diss hapo
Na hii inathibitisha wengi hawajui muziki.
Huyo aliyeimba weupe analengo lingine na siyo kudiss. Lengo lake ni kutoka. Huwezi kuimba diss halafu useme wewe ni mwana hiphop Kisha vina havilingani..hakuna puch....sema tu amefanikiwa kutoka yupo kibiashara zaidi...kuliko kudiss hii inanikumbusha...Remmy Ma na Minaj...lengo la Remmy ilikuwa diss...wakati lengo la Minaj ni biashara...ndo nachokiona hapo huyo mweupe aamkie kutwa Mara tatu Kama
 
Hawezi...he is up for commercial not for bars don't waste your time discussion a deuche like Montra
 
Mimi ndio hata sielewi hapa ngoja niendelee na mambo yangu[emoji116]
 
Hivi Cado Nondo hana kundi? Jamaa angesumbua sana
 
mkuu bado naisubiri trap ya Nas na Krs One
 
Hivi Cado Nondo hana kundi? Jamaa angesumbua sana
cado nondo ni street rapper ambaye yuko solo, japo kwenye makamuzi ya freestyle namuona mara kwa mara na frege
 
cado nondo ni street rapper ambaye yuko solo, japo kwenye makamuzi ya freestyle namuona mara kwa mara na frege
kwenye freestyle jamaa yuko poa sana,Ila kurekodi sidhani kama atatoboa
 
Mex nae tunatakiwa kumzingatia sana sio mtu mzuri kwenye Rap naona sasa tunakwenda kupata ladha ya rap za kiushindani kama zamani. Maana watoto walianza kujichetua na trap zao za uongo na kweli
Yah jamaa wakuzingatiwa sana anaflow nzuri pia hata kuandika yuko vizuri
 
Jamaa ni mkali wa freestyle ila sio mwandishi, ngoma zake alizoandika binafsi sizielewi

Ngoma zake kazipa majina ya ajabu ajabu kuna moja inaitwa "acha kujilimbwasa"
Mm binafsi huwa namwogopa na namuheshimu sana Rapper mwandishi mfano marehemu LANGA jamaa alikuwa anaandika vizuri mno ni marapa wachache wanaoweza kufreestle na kuandika vizur
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…