Moyo unaniuma sana, nahisi nitapata ugonjwa wa moyo. Nimekata tamaa ya maisha, natamani Mungu anichukue

Moyo unaniuma sana, nahisi nitapata ugonjwa wa moyo. Nimekata tamaa ya maisha, natamani Mungu anichukue

Umefanya vema kushirikisha watu kidogo utapata unafuu
Kila mtu kwenye Sahar hii wanapitia mazito.na pengine zaid unayopitia ila Kila mtu anaanma yakutatua matatizo yake
Kujiua sio suluhisho uwenda ndo ukawa umeongeza ukubwa wa tatizo
Kama ni mtu wa Iman zungumza na mungu wako wewe sio wa kwanza Wala wa mwisho hebu simama kemea hayo mawazo ongea na watu wako wa karibu.
Ni ushauri mzuri huu, kuongezea aepuke kukaa peke yake kila mara itamwongezea upweke na msongo wa mawazo, na kujitahidi hata kufanya mazoezi hata ya kutembea kila jioni na asubuhi.
 
Kuna kipindi nilikumbwa na hali kama yako ,ila nilijitafakari nikaja gundua maisha huwa magumu ukianza kujifanya kujiambatanisha na kuwa na mahusiano au familia yako binafsi.Basi mimi nikaamua sitaki mazoea na mtoto wa mtu na nikaamua kusimama mimi kama mimi , kwasababu ukiwa mwenywe huwezi kosa pesa ya kula yako binafsi wala pa kujibanza.

Ila ukishaanza kujifanya pendapenda na kufanya majukumu ya kubeba majukumu ambayo si lazma wakati hali si shwari rafiki nakuhakikishia utajinyonga mda si punde we kikubwa ishi maisha yako bila kujali sijui mwanamke wako ataishije hapo ndipo nilipofanya maamuzi na kuja kugundua kuwa matatizo tunayatafuta wenyewe tuu.
 
Yaani ID fake bado unaikimbia, unaanzia uzi na id fake nyingine, shida nini kijana, ina maana humu tuna fake maisha kiasi hiki..
Tumia ID yako halisi huenda ukapata msaada kiwepesi, kuna connection ushaijenga kuna uaminifu utakuwepo italuwa rahisi watu kukuelewa.
Anatamani kufa ila anaogopa kuja na I'D yake
 
Kweli changamoto zipo nyingi na kila mtu ana zake , ila huyu Sio mtu wa kujiua kabisa .

Ajue kabisa wauza mageneza , watoto wanadaiwa ada , maamuzi atakavyo yafanya yana weza kuwa faida kwa mwingine, hivyo Kama anataka kufa afe tu
kabisaaa kufa kufaana. Kuna mtu kakata tamaa biashara yake ya majeneza haitoki january hii.
 
Nenda stationery chapa maneno haya HILI NALO LITAPITA kisha bandika pale sebulen hakiksha kila ukikaa hapo uwe unayaona na unayasoma, lingne bandika chumban unapolala hakiksha uwe n upande ukiwa umelala unapaona ukiamka unapaona na unayaona hayo maneno automatically utayasoma, mwsho wa sku yatakuwa yanasomeka popote utakapokuwa.
 
Niliwai kuwa kwenye situation ya kufanana na hiyo.

Baada ya kupoteza Kila kitu nilicho kipigania maishani...Kila kitu kikawa hakiendi..

Mpaka watu nilio/ walio niamini kua na akili / watu nilio waacha nyuma walinizidi kwenye all sphere of Life.

Msumali wa mwisho kwenye jeneza ulipigwa na mtu tuliye pambana nae kwenye shida na raha..mwanamke ambae nilitamani nimwone siku zote kwenye maisha yangu.

Kwanza alinichoka na zile ngoja, kesho , baadae.. nikapigwa matukio ya kinyama akaenda kuolewa AKAENDA olewa na mwenye pesa..

Ilikua ni hell kwanza ilipita siku tatu sili chochote/ nikasikia njaa nikachukua wali na mchuzi wa samaki wa moto...kijiko cha kwanza TU nilikatika katika kooni na kushindwa kula kile chakula madonda hapo hapo nikawa na njaa ila huwezi kumeza chakula nikatumia mrija kunywa juice za matunda mpaka kesho yake nilipo pata nafuu.

Nilikua sipati usingizi nakaa macho mpaka asubuh...silali kabisa nikiwaza jamaa atakavyo kua ana ikamua mbususu/ papuchiii ya mchumba wangu alie niacha..

@min_me , SECRETARY BIRD , Monetary doctor perhaps lilikua jambo la muda Mimi nimeanza kunywa konyagiiii kipindii hiki nilipo ona mwezii mzima sipati usingizi...unajua mpaka namaliza UNIVERSITY SIKUWAI KUNYWA KILEVI CHOCHOTE

nilikonda kwa mengi mpaka nikawa naulizwa naumwa...nikawa sitoki nje..sina kua na kazii..hatare sana nikawa natafuta kazi sipatii sikua na connection

Kuna muda nilitaka kujirusha kwenye magari yaendayo kazii yanigonge nimaliIizike...nikajikaza nikapona nipo strong na moyo wa chuma now hakuna cha kuniumiza tenaa

Mimi currently na moyo mgumu hata nikipatwa na magumu nakua strong man kwenye all odds of life


Kwa uchache sanaa 😊
Pole bwashee 😅 ila ungejuaje kuwa konyagi ndogo ni tamu?
 
Back
Top Bottom