Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
Mpaka Leo Huwa siwezi kunywa dry lazima nichanganye na tonic water au kitu chenye UTAMU UTAMU..Pole bwashee 😅 ila ungejuaje kuwa konyagi ndogo ni tamu?
Jamaa asikate tamaa akubali hali pia atafute vitu vya kum keep busy..
Pia asipende kukaa peke ake atafute vitu vya kumpa furaha ikiwezekana apate tiba ya guidance and counseling