Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
Haaahaa 😂Ha ha haa mkuu matatizo mengine yanakufuata kwanguvu utake usitake
sasa ndo ujiue?
Haaahaa 😂Ha ha haa mkuu matatizo mengine yanakufuata kwanguvu utake usitake
sasa ndo ujiue?
pole sana mkuu,usikate tamaa maisha ndivyo yalivyo kuna kupanda na kushuka ,usife moyo mapito unayopitia ni ya muda yatapitaNimeona nishiriki nanyi ninavyojisikia,
Napitia maumivu sana moyoni, hadi sasa nahisi kama naelekea kwenye dalili za ugonjwa wa moyo!
Ipo hivi, nimekata tamaa ya maisha yangu, namuomba Mungu anichukue tuu, labda nitapata nafuu.
Maisha yameniumiza mno.😞
ILANI: Sijataka kutumia ID yangu hapa JF, nahitaji ushauri nifanye nini katika hali kama hii.
Ni kitu gani sasa kilichosababisha ushindwe kutumia ID yako? Isije ikawa wewe ni Lucas Mwashambwa, au Bilionea Chief goodlove!Nimeona nishiriki nanyi ninavyojisikia,
Napitia maumivu sana moyoni, hadi sasa nahisi kama naelekea kwenye dalili za ugonjwa wa moyo!
Ipo hivi, nimekata tamaa ya maisha yangu, namuomba Mungu anichukue tuu, labda nitapata nafuu.
Maisha yameniumiza mno.😞
ILANI: Sijataka kutumia ID yangu hapa JF, nahitaji ushauri nifanye nini katika hali kama hii.
Upo sahihi sana.Trust me Kuna watu wako very weak kihisia na mambo madogomadogo mpaka mtu kusema anataka kujiua sio swala la mzaha tumetofautiana uhimili wa mambo hata akitueleza wengine wataona jambo la kawaida na wengine wataona ni zito
Bado hajatamani kufa, anaigiza kutamani kufaAnatamani kufa ila anaogopa kuja na I'D yake
Mtumeee 😃😃kabisaaa kufa kufaana. Kuna mtu kakata tamaa biashara yake ya majeneza haitoki january hii.