Watu wengi hawana uelewa wa mambo ya kiroho..wanafikiri huu mwili walionao ndio kitu pekee wako nacho
hawajui kuwa wana ROHO at least wanajua kuwa wana nafsi /akili..utashi..
ial kuhusu ROHO hawaelewi,kutokuemewa mambi ya ROHONI ndio kunawafanya wengine waishi kwenye vifungo au spiritual attacks bila kujua
AMA kupambana kusolve madhara yanayo onekana mwilini huku kiini chimbuko lake mizizi yake source ni ROHONI spiritually.
NAKUPA MFANO ULIOTOKEA LAST MONTH.
Kuna dada wa tumuite jina BIG DADA (ndugu) alikuja kutembelewa na bibi yake mke mdogo wa babu yake(bibi yake halisi alikuwa mke mkubwa wa babu yake-undugu wa mbali) na mamayake mdogo ambaye mtoto wa huyo bibi,ambapo huyo bibi ni notorious mchawi sugu guru anafahamika kijiji kizima ni mchawi sugu ndugu zake wote wanamfahamu
wlikuja kumtembelea ghafla mchana saasita bila raarifa,huyo mama mdogo anamlazimisha nenda kampe mkono bibi yako yupo kwenye gari hapo nje msalimie.
Akakataa akamlazimisha sana mara tatu
Mwishowe akaenda akampa mkono wakasalimiana wale wageni wakaondoka
sasa baada ya kuondoka tu yule wale wageni kama nusu saa tu yuke big dada ,akaanza kuumwa mkono ule ule ,akawapigia simu mama mdogo wake ,kuanz kumlalamikia huyu bibi mchawi umemleta na uchawi wenu msije mkaniua mimi nategemewa nina watoto wadogo,nilikuwa nakataa kumpa mkono ukanilazimisha mboba ,bibi amenipa mkono nimezidiwa..mi sitaki aniuwe ..
basi yule mamdogo akampigia simu akajifanya anamfokea mama yake akamwambia usilige watoto wa watu mama mbona umempa mkono mtoto wa watu analalamima mkono unamumau
baada ya hapo ukatulia kidogo mkono kama lisaa ,alasema umetetulia ..baada ya lisaa la pili ,yule big dada mkono ukaanza kuuma homa kuchoka kukegea mwili mzima akapigia ndugu wakashauriana wakamkimbiza hospitali zahanati zahanati akaizidiwa akakimbizwa hospitali ya misheni..ndani ya masaa manne mbele AKAFARIKI..na alikuwa mzima ,kabla ya kushikana kupeana MKONO
we unafikiri kwa ni i hata wasanii wakati fulani wanakataa kupeana mikono hata kama wote ni washirikina ama ni freemansory..wanazidiana nguvu za giza.
Kama big dada angepatiwa msaada wa kiroho kwa haraka asingelifariki,pamoja na kumpeleka hospitali ni sahihi ,lakini chanzo cha tatizo lake ni la kiroho hospitali hawatibu UCHAWI..hata walipopima hawakuona kitu..hata wakiona uginjwa ulioletwa wa kishirikina hawayaweza kuutibu.
Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa.
mshike sana elimu ndio uzima wako..hii elimu ya mambi ya rohoni.
Watu wengi wanafikiri wanapokufa ndio wanapumzika maisha yanaishia hapo
bila kujua mwili utarudi mavumbini mana huu ulitokana na mavumbi
ILA ROHO yako itahama makazi itauacha mwili na utaingia sehemu husika kutokana na MATENDO yako kadiri ulivyoishi hapa duniani
matendo yako ulipokuwa hai haoa duniani yataamua UENDE WAPI kwenye KUVUNA ULICHOPANDA
uingie kuzimu ya mateso..hii siyo jehanamu bado..jehanamu haina mtu bado inasubiri siku ya hukumu
ila roho za wenye dhambi wote zipo kuzimu ya mateso zinateswa na mapepo mashetwani.
siku ya hukumu ndio mashetwani mapo na hizo roho zote zitatupwa JEHANAMU (tofautisha kuzimu na jehanamu)
kama ulikuwa mtakatifu ulipokuwa hai duniani roho yako itaenda mbinguni.
na haya yote yanatokea sekunde ile ile roho inapotoka ndani ya mwili..hakuna kupotezs muda
kama ulikuwa mwwnye dhambi mashetwani yanakuja kukuchukua kwa kukuburuta drag..kukupeleka ukavune ulichopanda ulipokuwa hai duniani..
kama ulikuwa mtakatifu malaika wa mbinguni wanakuja kukupokea uende nao mbinguni ukaungane na watakatifu waliotangulia waliojo mbinguni.