Mrs Thabo Bester
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 3,145
- 7,921
πππna suti zao wanafuaga na sabuni zinakakamaa kama zina kifafaWe jamaa mshamba tu, mlokole na suruali ya kitambaa na shati la kitenge
34yrs ndo uandike nyuzi za dizaini hii?? Oh no .Kweli nina 34yrs hutaki kuamini
Hao walokole π€£π€£π€£πππna suti zao wanafuaga na sabuni zinakakamaa kama zina kifafa
Gilly na mtoa mada ni same id ...ID ya mtu mmoja dadekii huku anajianzishia uzi anaolewa huku anajibembeleza akubaliwe π
Ndo Yule uliyemuanzishia thread?
Na Leo Naona na yeye kaanzisha thread kapata mume...nikajua ni wewe ..
Kwani mna umri gani??
Imetokea automatically baada ya kumpenda huyo dada ππ34yrs ndo uandike nyuzi za dizaini hii?? Oh no .
A world hurts.... Wengi tuna mengi humuuu kama wanaumeee. Wanaume kazi yetu kubeba vitu vizito.. usikonde mzee! Mm nikikusimulia hapa utashangaa sana mpaka kuchagua kuwa jokeri humu jukwaani π₯Ή.Nasemaje... Rimoyo ra mtu rimeraruriwa rikararurika π
Pole ila hawaanzishiwagi uzi ili uwapate πHahahaa..Basi sawa π€£π€£
Chini kavaa New Balanceππππna suti zao wanafuaga na sabuni zinakakamaa kama zina kifafa
π Kaa kwa passwordhaha Clepatina kumbe mjanja mnjanja
Jamaa billionea wa Id ππGilly na mtoa mada ni same id ...
Ila mimi ningekua mwanaume sidhani kama ningekataliwa ..au basiA world hurts.... Wengi tuna mengi humuuu kama wanaumeee. Wanaume kazi yetu kubeba vitu vizito.. usikonde mzee! Mm nikikusimulia hapa utashangaa sana mpaka kuchagua kuwa jokeri humu jukwaani π₯Ή.
Moderator ombi langu la kuongeza jina kuwa "midabwada bin kibamia" limeishia wapiiiiiii?
Kuna wakati mods walikuwa wanakata mzizi wa fitina kwa utoto kama huu. Ungekuta tu ID zote mbili zishaunganishwa basi watu weweeee!ID ya mtu mmoja dadekii huku anajianzishia uzi anaolewa huku anajibembeleza akubaliwe π
Yaani siku zikiunganishwa Id humu ukute member tupo 50 tuππ€£π€£π€£π€£ dah! haya sawa
Amnaaa kumkataa mtu hakuchoshi hisiaa. But what next ndo shida. Na sio kumkataa tu ndo kunaumiza jamani.. wanawake wanaohitaji kutuelewa in particular. Mana hata huku kwetu uzaramoni unyago hautoshi.. makungwi ndo wanaoachika.Ila mimi ningekua mwanaume sidhani kama ningekataliwa ..au basi
Kama nimeelewa vizuri logic yako, ina maana hata wewe wanaume wote wanaokutongoza hakuna unayemkatalia. Niko sahihi? PM yako iko wazi? πππππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈIla mimi ningekua mwanaume sidhani kama ningekataliwa ..au basi
Ewaaaaaa... Yan moderator mpaka Leo hawajanijib na barua nimezipeleka mpaka ofisin kwao mikocheniπ€£π€£π€£π€£ Sir Midabwada bin Kibamia π€£π€£π€£