Moyo wangu umepondeka mno juu ya mahusiano yangu na huyu binti

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] makubwaaa, uwiiiiih
 
Juzi Kuna MWANANGU mtoto wa dada Ake wife yupo form 3...

SI unajua watoto wapo likizo kaja kwangu...

Akawa amesema hizi animation movies nikakukumbuka wewe......

Glue
haha 😄
ila mpe ushauri huyu IamBrianLeeSnr sis tuko kwenye ndoa ili apate kuwa kwenye ndoa. Yeye analimbilia 40 🤣
 

Hivi hizi ni harakati mmeanzisha au inakuwaje wakuu? Yani kila siku wanaume mnaanzisha uzi zakulia lia mmeachwa..... nyie vijana wa sasa mpo namna gani aisee? Maana naona aibu mimi yani unaachwa unakuja kulalamika huku kweli? Na mpo wengi sana siku kila siku mnaachwa mnaanzisha uzi, mna tuaibishaa aisee wanaume hatupo namna hii
 
Gily hii avatar yako Kuna animation movies

Alikua ananitajia majina hata sikuyashika😊😊😊😊😊
hiyo animation itafute uiangalie. Unajua nimekaa na watoto wa baba yangu mdogo huwa nawawekea animation waangalie

Nina dish la Azam na DSTV na vipindi ukiwaachia remote wanaangalia vitu vya ajabu. Pia watoto wanaelewa cartoon more than anything in the world. Sasa lazima unlimit vitu wanavyangalia🙂

niliweka parental control dstv aisee nikaja kuta wanaingiza codes vitoto vya siku hizi vina akili sana aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…