Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
Nimepata taarifa kuwa kuna kijana wa kipale 36 years alikuwa anafanya kazi TRA hapa Jijini Dar es Salaam, kuwa ameuawa kwa kuchomwa kisu kifuani na tumboni na Mke wake .
Maelezo zaidi ni kuwa Mke wake alikamatwa na kupelekwa Polisi,kisha akasindikizwa na Polisi kuja kumzika Mumewe. Ndugu, jamaa na waombolezaji wengine walipomuona walitaka kumgawana ingawa nguvu za Polisi ziliwashinda.
Baadhi ya waombolezaji wanasema Marehemu alikuwa tayari anamiliki miradi kadhaa hapa mjini.
Jamani Dada zetu na Mama zetu hasa jamii ya kichaga,kumbukeni Mali na fedha zipo na sote tutaziacha hapa Duniani.