cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Machame na wameru hao... wanakwambia nakuchoma kisu cha matakoni na kikivunjika utakilipa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Machame na wameru hao... wanakwambia nakuchoma kisu cha matakoni na kikivunjika utakilipa.
DC uchwaraaaa, wee yako yamekushindaaa.Thread imevamiwa na choko. Hapa niku-log out faster sana kabla sijaambukizwa laana
Uzushi, mkuu chuki na visasi vina faida gani kwako?.Nimepata taarifa kuwa kuna kijana wa kipale 36 years alikuwa anafanya kazi TRA hapa Jijini Dar es Salaam, kuwa amuuwawa kwa kuchomwa kisu kifuani na tumboni na Mke wake Mchaga wa Marangu.
Maelezo zaidi ni kuwa Mke wake alikamatwa na kupelekwa Polisi,kisha akasindikizwa na Polisi kuja kumzika Mumewe. Ndugu, jamaa na waombolezaji wengine walipomuona walitaka kumugawana ingawa nguvu za Polisi ziliwashinda.
Baadhi ya waombolezaji wanasema Marehemu alikuwa tayari anamiliki miradi kadhaa hapa mjini.
Jamani Dada zetu na Mama zetu hasa jamii ya kichaga,kumbukeni Mali na fedha
Nimepata taarifa kuwa kuna kijana wa kipale 36 years alikuwa anafanya kazi TRA hapa Jijini Dar es Salaam, kuwa amuuwawa kwa kuchomwa kisu kifuani na tumboni na Mke wake Mchaga wa Marangu.
Maelezo zaidi ni kuwa Mke wake alikamatwa na kupelekwa Polisi,kisha akasindikizwa na Polisi kuja kumzika Mumewe. Ndugu, jamaa na waombolezaji wengine walipomuona walitaka kumugawana ingawa nguvu za Polisi ziliwashinda.
Baadhi ya waombolezaji wanasema Marehemu alikuwa tayari anamiliki miradi kadhaa hapa mjini.
Jamani Dada zetu na Mama zetu hasa jamii ya kichaga,kumbukeni Mali na fedha zipo na sote tutaziacha hapa Duniani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yupo mama mmoja mtoa roho hapo moshi mme wake alijirusha gorofani miaka ya 2007. Jamaaa maisha ndio yalianza kuchanganya msiba umeisha haijapita wiki mama mjane akampasua beki3 na kibao cha chapati mamaee bek3 akanyookaa. Akawekwa jela yule mama kama miaka 3 akatoka jela.
Sasa alikuwa ana frem yake kaifunga mda mrefu nikamfata kama vipi imemshinda aniachie. Alinichimba biti moja na ukidume wangu nikalaza.
Utajua mwenyewe. Kwa nini utangulize matusi ? Umeniita mpumbavu unanijua ? We jinga nini.nimesema wapi mimi ni mchaga
Ulisema bhana afu nikabisha....ona sasa...onaaa😔
Wanauliwa kwasababu nyingine.Ni Mwanaume gani aliwahi kumuua Mke wake kwa sumu au kutokana na Mali ,hakuna but wanawake kila siku wanaua ili wabaki na mali.
Daah aisee nimeukumbuka ule uzi wa Arovera Watanzania kiasili wana roho mbaya sana ishi nao kwa akili...Nimemkumbuka ghafla Mwandishi wa Habari wa ITV Ufoh Saro na Sakata lake na Marehemu Mchumba wake Mjeda Mushi na Mama yake Mzazi Ufoh Saro Kuuliwa kwa Kupigwa Risasi Sebuleni kutokana na Majibu yake ya Dharau na Kero kwa Mkwewe Mushi.
Wachaga wanaoishi mikoani ndo wanapata tabu kwa sababu wengi hawana izo tamaduni walishaachana nazo.Kuna muda nikipita mitandaoni na kusoma story kuhusu wachaga huwa natamani sana kubadilisha kabila la mtu wangu wa karibu ila ndio haiwezekani. Sio kwamba makabila mengine hatuna shida na sifa mbaya hapana ila kabila la wachagga lina mark mbaya sana.
Namuonea huruma na hivi ni msichana ataibeba hii mark ya kabila for the rest of her life.
Nilijua ni Mimi peke yangu Hadi nilivyoludia kusoma Tena????Kuna namna hueleweki.... Edit kidogo baadhi ya maandishi ueleweke kwa uzuri.