Moyo wangu umeumia sana nilipopewa taarifa hii. Ni ipi hatima wa haya mambo?

Moyo wangu umeumia sana nilipopewa taarifa hii. Ni ipi hatima wa haya mambo?

Kwa kweli ni jambo la Kusikitisha. Poleni wafiwa, mleta mada na Watanzania kwa Ujumla.

Hatahivyo, siwezi kuvumilia na au kufumbia macho, lugha za kipandikizi na za kichochezi.
...kijana wa kipale ..., kuwa amuuwawa kwa kuchomwa kisu kifuani na tumboni na Mke wake Mchaga wa Marangu.
Msiba huu ulitakiwa uwe wa Kitaifa na sio wa Kikabila kama ulivowasilishwa.

Mungu ibariki Tanzania. Uwiiii
 
Ndugu zangu tuwe makini sana katika kujenga familia zetu, furaha ni muhimu kuliko kitu Chochote .
kwa nn tunapendana mwisho wa siku tunakuwa maadui?

Kuna kitu sio bure! Mtoa mda usiangalis kabila ni mapema mno .
Mimi sijaangalia kabila bali nimetoa taarifa kuwa Mwanamke huyo ni Mchaga wa Marangu na Marehemu ni Mpare.
 
Nimepata taarifa kuwa kuna kijana wa kipale 36 years alikuwa anafanya kazi TRA hapa Jijini Dar es Salaam, kuwa amuuwawa kwa kuchomwa kisu kifuani na tumboni na Mke wake Mchaga wa Marangu.

Maelezo zaidi ni kuwa Mke wake alikamatwa na kupelekwa Polisi,kisha akasindikizwa na Polisi kuja kumzika Mumewe.Ndugu,jamaa na waombolezaji wengine walipomuona walitaka kumugawana ingawa nguvu za Polisi ziliwashinda.

Baadhi ya waombolezaji wanasema Marehemu alikuwa tayari anamiliki miradi kadhaa hapa mjini.

Jamani Dada zetu na Mama zetu hasa jamii ya kichaga,kumbukeni Mali na fedha zipo na sote tutaziacha hapa Duniani.
Watu wajiandae vizuri kabla ya kuoa uchaggani.
 
download (3).jpeg
 
Back
Top Bottom