Moyo wangu umeumia sana nilipopewa taarifa hii. Ni ipi hatima wa haya mambo?

Kwa hiyo Mkuu ulutaka tusemaje labda?
Paragraph yako ya mwisho umehukumu kabila zima na kulipa ushauri,ndio maana nikasema,kila jamii ina watu wazuri na watu wabaya,

Hivi siku gazeti likiandika kwa mfano; "Kibaka Mchaga au Muhaya achezea kichapo kwa kukwapua Simu ya Mzaramu" Wewe utaona ni sawa?
 
RIP kaka wa TRA .yaani nimepumua sio mmachame maana kusingekalika humu
7 MARANGU.jpg
 
Yupo mama mmoja mtoa roho hapo moshi mme wake alijirusha gorofani miaka ya 2007. Jamaaa maisha ndio yalianza kuchanganya msiba umeisha haijapita wiki mama mjane akampasua beki3 na kibao cha chapati mamaee bek3 akanyookaa. Akawekwa jela yule mama kama miaka 3 akatoka jela.

Sasa alikuwa ana frem yake kaifunga mda mrefu nikamfata kama vipi imemshinda aniachie. Alinichimba biti moja na ukidume wangu nikalaza.
Yan unaona wenzio wanapasuliwa na wewe unapeleka tumbo
 
Yupo mama mmoja mtoa roho hapo moshi mme wake alijirusha gorofani miaka ya 2007. Jamaaa maisha ndio yalianza kuchanganya msiba umeisha haijapita wiki mama mjane akampasua beki3 na kibao cha chapati mamaee bek3 akanyookaa. Akawekwa jela yule mama kama miaka 3 akatoka jela.

Sasa alikuwa ana frem yake kaifunga mda mrefu nikamfata kama vipi imemshinda aniachie. Alinichimba biti moja na ukidume wangu nikalaza.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wachaga kwenye mali acha kabisa [emoji23][emoji23] kuna baba yangu mdogo yupo Mbagala kipati hapo kaoa huyo mchaga nikikumbuka nilichofanyiwa na huyo mama sina hamu few years ago

Back
Top Bottom