Moyo wangu umeumia sana nilipopewa taarifa hii. Ni ipi hatima wa haya mambo?

Ndugu zangu tuwe makini sana katika kujenga familia zetu, furaha ni muhimu kuliko kitu Chochote .
kwa nn tunapendana mwisho wa siku tunakuwa maadui?

Kuna kitu sio bure! Mtoa mda usiangalis kabila ni mapema mno .
 
Kwa kweli ni jambo la Kusikitisha. Poleni wafiwa, mleta mada na Watanzania kwa Ujumla.

Hatahivyo, siwezi kuvumilia na au kufumbia macho, lugha za kipandikizi na za kichochezi.
...kijana wa kipale ..., kuwa amuuwawa kwa kuchomwa kisu kifuani na tumboni na Mke wake Mchaga wa Marangu.
Msiba huu ulitakiwa uwe wa Kitaifa na sio wa Kikabila kama ulivowasilishwa.

Mungu ibariki Tanzania. Uwiiii
 
Ndugu zangu tuwe makini sana katika kujenga familia zetu, furaha ni muhimu kuliko kitu Chochote .
kwa nn tunapendana mwisho wa siku tunakuwa maadui?

Kuna kitu sio bure! Mtoa mda usiangalis kabila ni mapema mno .
Mimi sijaangalia kabila bali nimetoa taarifa kuwa Mwanamke huyo ni Mchaga wa Marangu na Marehemu ni Mpare.
 
Watu wajiandae vizuri kabla ya kuoa uchaggani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…