Moyo wangu umeumia sana nilipopewa taarifa hii. Ni ipi hatima wa haya mambo?

Yangetokea Geita mngetoa povuu. Haya mmeona huko kwa wauaji wa kila wakati ?
 
Mkuu
Mbona taarifa haina source sabili?

Kijana hana jina?
Mke hana jina?


Japo hata picha ya marehemu au msiba
 
Sio kweli. Wahaya ni humble sana. Labda akuroge tu.
Huyo jamaa kila uzi wa kabila lolote lazima awataje alafu kwani Wahaya wana uchawi gani nchi hii, wewe tangu uwepo uliwahi sikia mfanyabiashara, msanii, mchezaji, tapeli, jambazi au mwanasiasa anaenda kwa mganga Mhaya?
Wana viuchawi mshenzi vya mia mbili hata kuumiza mtu tumbo haviwezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…