Moyo wangu umeumia sana nilipopewa taarifa hii. Ni ipi hatima wa haya mambo?

Kwa hiyo Mkuu ulutaka tusemaje labda?
Paragraph yako ya mwisho umehukumu kabila zima na kulipa ushauri,ndio maana nikasema,kila jamii ina watu wazuri na watu wabaya,

Hivi siku gazeti likiandika kwa mfano; "Kibaka Mchaga au Muhaya achezea kichapo kwa kukwapua Simu ya Mzaramu" Wewe utaona ni sawa?
 
Yan unaona wenzio wanapasuliwa na wewe unapeleka tumbo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wachaga kwenye mali acha kabisa [emoji23][emoji23] kuna baba yangu mdogo yupo Mbagala kipati hapo kaoa huyo mchaga nikikumbuka nilichofanyiwa na huyo mama sina hamu few years ago
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…