BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
- Thread starter
- #21
Hatari mzeeAisee... kweli mambo magumu kwa ground
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatari mzeeAisee... kweli mambo magumu kwa ground
Acha dharau kuuza bar ni kazi watu wamesomeshwa kwa kazi ya barNaona wewe unatafuta mteremko, shauri yako, eti nilipata mwanamke muuza bar. Daah we jamaa hapo sawa kabisa unahitaji maombi makubwa mno
Mume huyo msaidiane kula pesa za halmashauriUnawatafutia wapi hao waajiriwa? Angalia na ulipo ajiriwa basi km mtaani umekosa. Na Co-company…
hujaajiliwa wew😌😌Mh, sawasawa.
Acha ujingaHapa kuna Ex wangu wa sekondari naona kaajiriwa kwenye utrafiki licha ya kuwa na mtoto yaani single mother kila siku nakesha kumbembeleza turudiane
Mwamba ana force kuwa Marioo, hajui mishangazi inaanza kwa kula pesa za wine alafu baadae ndio inajisahaulishaAcha ujinga
Single maza sio wa kufanya naye maisha
Hahaa anataka kulelewa na ale mbunye bureMwamba ana force kuwa Marioo, hajui mishangazi inaanza kwa kula pesa za wine alafu baadae ndio inajisahaulisha
Miyeyusho sana huyu jamaaHahaa anataka kulelewa na ale mbunye bure
Asee mariyoooo huujamboooNdoto ni kuwa na Mwanamke Nesi, Mwalimu au Askari ikishindikana hapo basi mwaajiriwa katika sekta yoyote ile sometimes maisha hayakupi kile unachotaka huu mwaka wa sita toka nimekuwa na hiyo ndoto na still inabaki kuwa ndoto.
Maana katika kipindi chote hicho wanawake niliokuwa nao wote ni majobless nilijitahidi kidogo mwaka jana nilipata mwaajiriwa wa Bar fulani lakini penzi alikudumu kabisa tukaachana mwanzoni wa mwaka huu.
Naona vijana wenzangu wanatoka kimaisha kwa sababu ya wanawake walioajiriwa kuna jamaa yangu alinunuliwa Bodaboda na mke wake Mwalimu saa hivi anakula hesabu.
Huyo jamaa yangu pamoja na watoto wamekatiwa bima ya matibabu na huyo teacher kimsingi jamaa ni kama kayapatia maisha.
Hapa kuna Ex wangu wa sekondari naona kaajiriwa kwenye utrafiki licha ya kuwa na mtoto yaani single mother kila siku nakesha kumbembeleza turudiane ikiwezekana tuone lakini bado ananikazia ila still nitakomaa naye tu mpaka kieleweke.
Naomba niaadd kwenye hilo group.Unakwama wapi mkuu? Niko kwenye group la WhatsApp la walimu ,siku moja nikiwa sina kazi nikasema ngoja nipime bahati yangu,nikaandika ujumbe kuwa" mwalimu wa kike aliyesingle aje inbox" within a minute nilikuwa na wanawake 10 wakitaka kuolewa ila wengi masingle mama,nikawa naomba picha zao,duh wengine wamenenepeana kama vifaru,nilimpenda mmoja tu ambaye ni mama wa watoto 3,mweupe mzuri wa sura,ila sikuwa na chakufanya kwani nilikuwa nawatania tu.
wewe mwenzangu unakwama wapi?
😝😝😝Nimecheka sana ulipoandika “nilijitahidi kidogo mwaka jana nilipata mwaajiriwa wa Bar fulani ”😂😂😂😂😂.
Sasa mkuu hapo kaogee maji ya bahari
Upweke unachoshaUnakwama wapi mkuu? Niko kwenye group la WhatsApp la walimu ,siku moja nikiwa sina kazi nikasema ngoja nipime bahati yangu,nikaandika ujumbe kuwa" mwalimu wa kike aliyesingle aje inbox" within a minute nilikuwa na wanawake 10 wakitaka kuolewa ila wengi masingle mama,nikawa naomba picha zao,duh wengine wamenenepeana kama vifaru,nilimpenda mmoja tu ambaye ni mama wa watoto 3,mweupe mzuri wa sura,ila sikuwa na chakufanya kwani nilikuwa nawatania tu.
wewe mwenzangu unakwama wapi?