Mpaka leo bado sijafanikisha kupata Mwanamke mwajiriwa..

Mpaka leo bado sijafanikisha kupata Mwanamke mwajiriwa..

Ennhe mwaya, pambania kombe, mwisho wa siku hakuna tuzo ya mtesekaji bora wa mwaka.

Lakini wanaume wa humu si huwa wanasema kipato cha mke hawajawahi kuona umuhimu wake? Imekuwaje huyo jamaa ako akanunuliwa boda na mkewe?
 
Unakwama wapi mkuu? Niko kwenye group la WhatsApp la walimu ,siku moja nikiwa sina kazi nikasema ngoja nipime bahati yangu,nikaandika ujumbe kuwa" mwalimu wa kike aliyesingle aje inbox" within a minute nilikuwa na wanawake 10 wakitaka kuolewa ila wengi masingle mama,nikawa naomba picha zao,duh wengine wamenenepeana kama vifaru,nilimpenda mmoja tu ambaye ni mama wa watoto 3,mweupe mzuri wa sura,ila sikuwa na chakufanya kwani nilikuwa nawatania tu.

wewe mwenzangu unakwama wapi?
Admin ni-add kwenye hilo group..😂😂
 
Back
Top Bottom