Mpaka leo bado sijafanikisha kupata Mwanamke mwajiriwa..

Unakwama wapi mkuu? Niko kwenye group la WhatsApp la walimu ,siku moja nikiwa sina kazi nikasema ngoja nipime bahati yangu,nikaandika ujumbe kuwa" mwalimu wa kike aliyesingle aje inbox" within a minute nilikuwa na wanawake 10 wakitaka kuolewa ila wengi masingle mama,nikawa naomba picha zao,duh wengine wamenenepeana kama vifaru,nilimpenda mmoja tu ambaye ni mama wa watoto 3,mweupe mzuri wa sura,ila sikuwa na chakufanya kwani nilikuwa nawatania tu.

wewe mwenzangu unakwama wapi?
 
Asee mariyoooo huujambooo
 
Naomba niaadd kwenye hilo group.
 
Nimecheka sana ulipoandika β€œnilijitahidi kidogo mwaka jana nilipata mwaajiriwa wa Bar fulani β€πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
Sasa mkuu hapo kaogee maji ya bahari
😝😝😝
 
Upweke unachosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…