Mpaka leo bado sijafanikisha kupata Mwanamke mwajiriwa..

Wewe una kazi gani mkuu?
 
Pesa majaliwa mkuu, sasa ukioa mmoja kati ya hao kibarua chake kikikoma itakuwaje?

Waza sana mkuu kabla ya kutenda.
 
Ingia LinkedIn basi... wamejazana uko.. ingia google search LinkedIn Tanzania, ingia humo kama haupo huko then fungua account kwenye iyo site then anza kutafuta utachoka wewe tu. Wamejazana kibao hao wenye ajira unaowataka. Ushindwe wewe tu sasa mkuu.
 
Hiki kizazi hiki.....eti huyu atakuja kuwa mume wa mtu....na baba wa familia😭 eeh Mungu niepushie mwanaume wa aina hii
Na ndoa utaisikia tu wewe ni wa kuzalishwa tu.
 
Mabinti wengi majobles alafu wahuni wahuni Tu Hivi kweli mpenzi Ukikaa wiki bila kumtext naye hakutext Yaan shida Tupu

Acha tu nikaoe kijijini Mjini Hapafai
 
WEWE sema unalitaafuta lishangazi la kukulea
 
D
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Vijana wa sikuhiz wapuuz sana

DuuhπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Jamaa anazd tu kujipotezea muda hapo awali amesema ametumia miaka 5+ kumtafuta mke wa hitaji lake lkn hajapata.

Sa huo mda si angelitafuta pesa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…