kekule benzene
JF-Expert Member
- Sep 28, 2016
- 1,444
- 3,576
Productivity nimeweka kwenye of mabano ni pesaMkuu unajua bila madaktari hakuna mchezaji yoyote atakaethubutu kuingia uwanjani?
Imagine we ni mchezaji halafu ujue kabisa ukiumia au ukivunjika hakuna mtu wa kukutibu, utacheza? Hiyo productivity itakujaje
Ndio unazalisha hivyoMpira hauzalishi kivile kwa maana ya viingilio, ila umeunganishwa na biashara kupitia matangazo ya biashara za wadhamini na runinga.
Mpira hauzalishi chochote.Productivity nimeweka kwenye of mabano ni pesa
Sio ujuzi wala Elimu
Mpira unazalisha sana kupitia wafanyabiashara na wawekezaji
Mara zote serikali huwekeza kwenye mpira ili kupovusha fikra za watu na mwisho huweka nguvu nyingine kwenye dini kurainisha mioyo ya watu.Mpira hauzalishi chochote.
Mfumo mbovu wa UBEPARI ndio umefanya jamii ione kama ni sawa kumlipa mchezaji asiezalisha chochote mamilioni ya pesa huku daktari anaewatibu wote kuanzia hao wachezaji mpaka wenye timu akilipwa peanuts..
Na serikali zinaunga mkono hilo kwavile kadri wananchi wanavyokua busy kushangilia mipira na upuuzi mwingine, ndivyo viongozi wanavyozidi KUPIGA HELA maana hamna mwenye muda wa kuhoji mambo ya msingi.
Mchezaji asiyezalisha chochote? Huyo daktar akimbie basi kama usain bolt au na awe basi kama ronaldo kama ni rahisi sana hivi mtu kama rip michael jackson kwa talent ile na kujituma kule kwa nini asilipwe vizuri?Mpira hauzalishi chochote.
Mfumo mbovu wa UBEPARI ndio umefanya jamii ione kama ni sawa kumlipa mchezaji asiezalisha chochote mamilioni ya pesa huku daktari anaewatibu wote kuanzia hao wachezaji mpaka wenye timu akilipwa peanuts..
Na serikali zinaunga mkono hilo kwavile kadri wananchi wanavyokua busy kushangilia mipira na upuuzi mwingine, ndivyo viongozi wanavyozidi KUPIGA HELA maana hamna mwenye muda wa kuhoji mambo ya msingi.
Ili mchezaji awe mchezaji mzuri lazima awe na elimu ya mpira ndo maana ya academy na zipo very strict na discplined ndo maana academy itaanza na watoto kibao ila mwishoni anapatikana qualified mtoto mmoja ndo akina ronaldo, wyne rooney na wengineMara zote serikali huwekeza kwenye mpira ili kupovusha fikra za watu na mwisho huweka nguvu nyingine kwenye dini kurainisha mioyo ya watu.
Ni mpumbavu pekee ataona mpira ni muhimu kuliko Elimu.
Usain bolt asipokimbia kuna mtu atakufa?Mchezaji asiyezalisha chochote? Huyo daktar akimbie basi kama usain bolt au na awe basi kama ronaldo kama ni rahisi sana hivi mtu kama rip michael jackson kwa talent ile na kujituma kule kwa nini asilipwe vizuri?
Kwani umeishia Darasa la ngapi?Mchezaji wa mpira wa miguu nchini Tanzania analipwa sh milioni 5 hadi kumi kwa mwezi na bado hizo zinaonekana eti ni ndogo.
Ila mwalimu wa shule ya Msingi analipwa sh laki 3 kwa.mwezi ( hiyo inawezekana ikawa kubwa zaidi)
Daktari analipwa sh laki 7 kwa mwezi .
So katika taifa letu hili la Tanzania, mchezaji wa mpira wa miguu ni muhimu kuliko mwalimu?
Kuliko Daktari?
Waalimu wapo wengi kina Pacome wachacheTatizo lipo wapi kama mwalimu akilipwa milioni 8 kwa mwezi na Pacome akalipwa milioni 8 kwa mwezi?
Duh serikali inalipa mishahara hadi wacheza soka akina Aziz Ki na Mudathir?
Na haitatosha badoBajeti yote ya serikali itaelekezwa ktk ulipaji wa mishahara, walimu ni wengi mno.
SIRI ni kuwateka watu kiakili.Kuna siri kubwa kwenye biashara ya mpira, iwe Ulaya hata Tanzania
Tunaongelea waalimu ambao ni binadamu.Kilaa mbuzi ULA Kwa urefu wa kamba yake mkuu...
Unaijua theory of marginal utility?Mchezaji wa mpira wa miguu nchini Tanzania analipwa sh milioni 5 hadi kumi kwa mwezi na bado hizo zinaonekana eti ni ndogo.
Ila mwalimu wa shule ya Msingi analipwa sh laki 3 kwa.mwezi ( hiyo inawezekana ikawa kubwa zaidi)
Daktari analipwa sh laki 7 kwa mwezi .
So katika taifa letu hili la Tanzania, mchezaji wa mpira wa miguu ni muhimu kuliko mwalimu?
Kuliko Daktari?
Umewahi kujiuliza ni kwanini watu hawako tayari kulipia kuona vitu vya maana kama masomo (ambayo yangeweza kuwasaidia maishani) kwenye tv lakini wako tayari kulipia vitu vya kijinga kama mpira na michezo ya kuigiza ambavyo kiuhalisia haviwasaidii chochote?Acha fikra za kimaskini, Watu wanalipia ving'amuzi kuangalia mpira, Haya jaribu kufikiria Ingekua masomo nayo yanaonyeshwa kwenye TV watu wangekua na interest hiyo hiyo ya kulipia ving'amuzi ili waangalie masomo?
Huo ni mfano rahisi sana,
Kuwasaidia nini mjomba Kila mtu anaangalia akipendacho maisha mafupi kwanini watu wasifurahi kwenye football acha habari zako nahisi hauko vizuri kichwani hamna msomi anaechukia michezo sababu ni burudani kwahiyo ulitaka mtu maisha yake yote awe anasoma tu wewe ni mjinga sana yaani unasema ajira za watu wanaokuzidi kipato ni vitu vya kijinga naona hujielewi mzeeUmewahi kujiuliza ni kwanini watu hawako tayari kulipia kuona vitu vya maana kama masomo (ambayo yangeweza kuwasaidia maishani) kwenye tv lakini wako tayari kulipia vitu vya kijinga kama mpira na michezo ya kuigiza ambavyo kiuhalisia haviwasaidii chochote?
Nani aliweka huo mfumo?