Mpaka leo hii sijui kwanini mchezaji wa mpira nchini Tanzania analipwa sh milioni 5 halafu mwalimu wa shule ya Msingi analipwa sh. Laki 3

Mkuu unajua bila madaktari hakuna mchezaji yoyote atakaethubutu kuingia uwanjani?

Imagine we ni mchezaji halafu ujue kabisa ukiumia au ukivunjika hakuna mtu wa kukutibu, utacheza? Hiyo productivity itakujaje
Productivity nimeweka kwenye of mabano ni pesa

Sio ujuzi wala Elimu

Mpira unazalisha sana kupitia wafanyabiashara na wawekezaji
 
Mpira hauzalishi kivile kwa maana ya viingilio, ila umeunganishwa na biashara kupitia matangazo ya biashara za wadhamini na runinga.
Ndio unazalisha hivyo

Mbona wadhamini hawajaenda kudhamini kwenye Elimu wakaenda kwenye mpira?
 
Productivity nimeweka kwenye of mabano ni pesa

Sio ujuzi wala Elimu

Mpira unazalisha sana kupitia wafanyabiashara na wawekezaji
Mpira hauzalishi chochote.

Mfumo mbovu wa UBEPARI ndio umefanya jamii ione kama ni sawa kumlipa mchezaji asiezalisha chochote mamilioni ya pesa huku daktari anaewatibu wote kuanzia hao wachezaji mpaka wenye timu akilipwa peanuts..
Na serikali zinaunga mkono hilo kwavile kadri wananchi wanavyokua busy kushangilia mipira na upuuzi mwingine, ndivyo viongozi wanavyozidi KUPIGA HELA maana hamna mwenye muda wa kuhoji mambo ya msingi.
 
Mara zote serikali huwekeza kwenye mpira ili kupovusha fikra za watu na mwisho huweka nguvu nyingine kwenye dini kurainisha mioyo ya watu.

Ni mpumbavu pekee ataona mpira ni muhimu kuliko Elimu.
 
Mchezaji asiyezalisha chochote? Huyo daktar akimbie basi kama usain bolt au na awe basi kama ronaldo kama ni rahisi sana hivi mtu kama rip michael jackson kwa talent ile na kujituma kule kwa nini asilipwe vizuri?
 
Ili mchezaji awe mchezaji mzuri lazima awe na elimu ya mpira ndo maana ya academy na zipo very strict na discplined ndo maana academy itaanza na watoto kibao ila mwishoni anapatikana qualified mtoto mmoja ndo akina ronaldo, wyne rooney na wengine
 
Mchezaji asiyezalisha chochote? Huyo daktar akimbie basi kama usain bolt au na awe basi kama ronaldo kama ni rahisi sana hivi mtu kama rip michael jackson kwa talent ile na kujituma kule kwa nini asilipwe vizuri?
Usain bolt asipokimbia kuna mtu atakufa?
Ronaldo asipocheza kuna mtu atakufa?
Michael jackson asipoimba kuna mtu atakufa?

Vipi daktari asipotibu?
 
Mkuu wa chuo (President) changu analipwa mshahara wa $380,000 kwa mwaka ambayo ni karibu mara mbili ya mashahara wa senata wa marekani anayelipwa $180,000 kwa mwaka. Waalimu wengi (maprofesa) hapa mishahara yao ni kati ya $140,000 hadi $240,000 kulingana na uzoefu pamoja na taaluma zao; engineering, pharmacy na business ndio wanaolipwa zaidi. Lakini kocha wa timu ya mpira analipwa $1,600,000.

Inakushangaza?
 
Mchezaji wa mpira wa miguu nchini Tanzania analipwa sh milioni 5 hadi kumi kwa mwezi na bado hizo zinaonekana eti ni ndogo.

Ila mwalimu wa shule ya Msingi analipwa sh laki 3 kwa.mwezi ( hiyo inawezekana ikawa kubwa zaidi)

Daktari analipwa sh laki 7 kwa mwezi .

So katika taifa letu hili la Tanzania, mchezaji wa mpira wa miguu ni muhimu kuliko mwalimu?

Kuliko Daktari?
Kwani umeishia Darasa la ngapi?
Serikali ina mchezaji yupi?
Unachanganyaje habari za Sekta binafsi na Serikali?
Wewe unalinganisha Kipaji na ualimu
 
Acha fikra za kimaskini, Watu wanalipia ving'amuzi kuangalia mpira, Haya jaribu kufikiria Ingekua masomo nayo yanaonyeshwa kwenye TV watu wangekua na interest hiyo hiyo ya kulipia ving'amuzi ili waangalie masomo?

Huo ni mfano rahisi sana,
 
Mchezaji wa mpira wa miguu nchini Tanzania analipwa sh milioni 5 hadi kumi kwa mwezi na bado hizo zinaonekana eti ni ndogo.

Ila mwalimu wa shule ya Msingi analipwa sh laki 3 kwa.mwezi ( hiyo inawezekana ikawa kubwa zaidi)

Daktari analipwa sh laki 7 kwa mwezi .

So katika taifa letu hili la Tanzania, mchezaji wa mpira wa miguu ni muhimu kuliko mwalimu?

Kuliko Daktari?
Unaijua theory of marginal utility?
 
Acha fikra za kimaskini, Watu wanalipia ving'amuzi kuangalia mpira, Haya jaribu kufikiria Ingekua masomo nayo yanaonyeshwa kwenye TV watu wangekua na interest hiyo hiyo ya kulipia ving'amuzi ili waangalie masomo?

Huo ni mfano rahisi sana,
Umewahi kujiuliza ni kwanini watu hawako tayari kulipia kuona vitu vya maana kama masomo (ambayo yangeweza kuwasaidia maishani) kwenye tv lakini wako tayari kulipia vitu vya kijinga kama mpira na michezo ya kuigiza ambavyo kiuhalisia haviwasaidii chochote?

Nani aliweka huo mfumo?
 
Kuwasaidia nini mjomba Kila mtu anaangalia akipendacho maisha mafupi kwanini watu wasifurahi kwenye football acha habari zako nahisi hauko vizuri kichwani hamna msomi anaechukia michezo sababu ni burudani kwahiyo ulitaka mtu maisha yake yote awe anasoma tu wewe ni mjinga sana yaani unasema ajira za watu wanaokuzidi kipato ni vitu vya kijinga naona hujielewi mzee
 
Back
Top Bottom