Mpaka leo kuna watu wanaishi nyumba za kupanga?

Daaa! Haya mambo haya..

Ok tufanye kidukulilo in one way or the other!
 
Mshukuru Mungu usiwadharau wengine kwasababu wewe unacho.
 
Hawa wanakuwaga wanaioshi nyumba za baba zao na kupewa stipend na wazazi kama wako shule bado,

Mzazi akikaa kushoto atauza nyumba aache gari ya kupewa then arudi kupanga.
 
Kwanza tujenge duniani tumehamia?nijenge nyumba ya kukaa miaka 300 wakati Mimi naishi miaka 80 kisa Cha kujichosha?sio shida zangu😔
 
Kwamba hawa watumishi wanaohama amakuhamishwa vituo vya kazi wawe wanajenga kila wanakohamishiwa?
 
Aiseeeeee !!!
 
Mkuu
Kama wewe umeyapatia maisha ujue wapo ambao hawana connections na hata wazazi wao ni watengwa families.

Hamasisha maendeleo ya kijamii ili wajikwamue punguza gubu kwa wasionazo
 
Utakuwa Muhaya mwenzangu wewe ila nakuombea utokwe na roho ya kiburi, mara nyingi kiburi hutangulia ndipo anguko hufuata, sasa kabla haujawa nebuchadrezzar wa zama hizi Mungu akuokoe.
 
Hujafa hujaumbika... Nani ajuaye ya kesho? Kuna watu katika umri mdogo kabisa walikuwa baba wenye nyumba lakini leo hii hata kodi ya chumba kimoja ni changamoto! HUJAFA HUJAUMBIKA..!

Umemaliza kila kitu mkuu
 
Hongera sana. Halafu huyo kijana mtoa uzi anakuja hapa kuwanyanyapaa wenzake kana kwamba waliomba iwe kwao kama walivyo. Amejisahau na hajui kibao kinaweza kugeuka e.g. nyumba anayotamba nayo ikashika moto(Japo hatuombei hilo).
 
Utakuwa umerithi vitu vya familia ww,kwanza ngoja au bac ww ni mpuuzi saana huna exposure ya maisha ww ,nyie ndio wale mnakuta Kila kitu mshaandaliwa ndio maana unaona wengine ni wajinga kujenga .,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…