Ni rahisi sana shabiki wa Mpira kumkosoa mchezaji ambae yuko uwanjani akisakata kabumbu. Ili hari yeye mwenyewe hata aliambiwa akimbie toka lango Moja la goli Hadi jingine hawezi.
JPM pamoja na mapungufu yake yote mnayoyasema ambayo pengine sio yeye aliyafanya. May be watu walitumia mianya mbalimbali kujinufaisha.
Sisi tunabaki kushuhudia matendo Yale ya waziwazi. Matendo ambayo yanaishi Hadi Leo.
Maendeleo ya kasi ya 5G ambayo yapo Tanzania Leo JPM anamchamgo kuliko mtu yeyote anaeisho hivi Leo nchini Tanzania. Ukibisha nipe mfano wa mtu anae mzidi JPM.
Kaa ukijua, maendeleo ni painful process na inahitaji sacrifice ya hatari sana. Katika Mapambano hayo na yenye nia njema JPM alikutana na upinzani mkubwa sana hasa wa beberuzi na vibaraka ambao sitawataja hapa kwa sababu sio sehemu yake.. lakini Bado JPM aliipenda nchi yake kwa moyo wake wote.