Mpaka leo najiuliza, ilikuwaje mpaka Magufuli akawa Rais?

Rais ambaye yeye aliamini akimuua yule au huyu basi ndo mafanikio ya serikali yake

Rais ambaye aliamini kila anayemoinga ni ama ana cheti feki ama mwizi.

Rais alliyeamini kwamba maendeleo ya nchi ni kuwathreaten wafanyabiashara kuwa impower makapuku ili tu asifiwe kuwa ni jembe.

Rais aliyeamini kuvamia personal accounts za watu eti ili serikali iwe na pesa bila kujua watu ndo serikali yenyewe.

Rais ambaye aliamui kufukuza fukuzq employees basi huo ndo utendaji kazi mzuri.

Rais aliyeamini maamuzi yake ndo final na correct kuliko yeyote.
 
Shida ni kwamba hatuna uchaguzi na ndio maana leo hii ccm hata wakichukua linyani fulani toka huko porini na kumsimika kama mgombea wao wa urais yeye ndie tuma yao ya uchaguzi itamtangaza kama mshindi wa kiti cha urais...!!!

Tutakuwa na uchaguzi kwa maana halisi ya uchaguzi pale ccm itakapokuwa haipo madarakani lakini kwa sasa tutalaumiana tu bure.
 
Nadhan wewe ndo una uwezo mdogo
Rais ambaye yeye aliamini akimuua yule au huyu basi ndo mafanikio ya serikali yake

Rais ambaye aliamini kila anayemoinga ni ama ana cheti feki ama mwizi

Rais alliyeamini kwamba maendeleo ya nchi ni kuwathreaten wafanyabiashara kuwa impower makapuku ili tu asifiwe kuwa ni jembe

Rais aliyeamini kuvamia personal accounts za watu eti ili serikali iwe na pesa bila kujua watu ndo serikali yenyewe

Rais ambaye aliamui kufukuza fukuzq employees basi huo ndo utendaji kazi mzuri

Rais aliyeamini maamuzi yake ndo final na correct kuliko yeyote.
 
Rais ambaye yeye aliamini akimuua yule au huyu basi ndo mafanikio ya serikali yake

Rais ambaye aliamini kila anayemoinga ni ama ana cheti feki ama mwizi

Rais alliyeamini kwamba maendeleo ya nchi ni kuwathreaten wafanyabiashara kuwa impower makapuku ili tu asifiwe kuwa ni jembe

Rais aliyeamini kuvamia personal accounts za watu eti ili serikali iwe na pesa bila kujua watu ndo serikali yenyewe

Rais ambaye aliamui kufukuza fukuzq employees basi huo ndo utendaji kazi mzuri

Rais aliyeamini maamuzi yake ndo final na correct kuliko yeyote.
Aliyetuangusha nafikiri ni baba Yako Kwa kukuleta wewe
 
Ajibiwe swali lake la msingi na si kushambuliwa kwa hamaki.Mbonambona zisiwe nyingi ni monotonous!😂😂😂😂😂
NB;Mleta uzi,uwe na adabu.Acha kuwasumbua vimbwenerehi walinda regase kwa maswali mepesi machoni na magumu mioyoni.
 
Rais ambaye yeye aliamini akimuua yule au huyu basi ndo mafanikio ya serikali yake

Rais ambaye aliamini kila anayemoinga ni ama ana cheti feki ama mwizi

Rais alliyeamini kwamba maendeleo ya nchi ni kuwathreaten wafanyabiashara kuwa impower makapuku ili tu asifiwe kuwa ni jembe

Rais aliyeamini kuvamia personal accounts za watu eti ili serikali iwe na pesa bila kujua watu ndo serikali yenyewe

Rais ambaye aliamui kufukuza fukuzq employees basi huo ndo utendaji kazi mzuri

Rais aliyeamini maamuzi yake ndo final na correct kuliko yeyote.
Technicaly uchaguzi nchi hii ni smoke screens aka zuga. Ukitaka uamini, hata ccm wakiweka jiwe wapo watakao pigia kura
Na jiwe litashinda

Shida iko kwa watanzania, hawaangalii potential ya mtu, mgombea, wanaangalia chama

Ndipo wanapo ambulia watu wa ajabu kwenye position za maamuzi
 
Rais ambaye yeye aliamini akimuua yule au huyu basi ndo mafanikio ya serikali yake

Rais ambaye aliamini kila anayemoinga ni ama ana cheti feki ama mwizi

Rais alliyeamini kwamba maendeleo ya nchi ni kuwathreaten wafanyabiashara kuwa impower makapuku ili tu asifiwe kuwa ni jembe

Rais aliyeamini kuvamia personal accounts za watu eti ili serikali iwe na pesa bila kujua watu ndo serikali yenyewe

Rais ambaye aliamui kufukuza fukuzq employees basi huo ndo utendaji kazi mzuri

Rais aliyeamini maamuzi yake ndo final na correct kuliko yeyote.
Wewe ndio uliteleza, wenzako walimtaka
 
Ajibiwe swali lake la msingi na si kushambuliwa kwa hamaki.Mbonambona zisiwe nyingi ni monotonous!😂😂😂😂😂
NB;Mleta uzi,uwe na adabu.Acha kuwasumbua vimbwenerehi walinda regase kwa maswali mepesi machoni na magumu mioyoni.
Tumjibu nini,si aende kaburini aulize,ujinga ni kushinda kudiscuss mambo yasolisaidia Taifa kwa sasa.
 
Rais ambaye yeye aliamini akimuua yule au huyu basi ndo mafanikio ya serikali yake

Rais ambaye aliamini kila anayemoinga ni ama ana cheti feki ama mwizi

Rais alliyeamini kwamba maendeleo ya nchi ni kuwathreaten wafanyabiashara kuwa impower makapuku ili tu asifiwe kuwa ni jembe

Rais aliyeamini kuvamia personal accounts za watu eti ili serikali iwe na pesa bila kujua watu ndo serikali yenyewe

Rais ambaye aliamui kufukuza fukuzq employees basi huo ndo utendaji kazi mzuri

Rais aliyeamini maamuzi yake ndo final na correct kuliko yeyote.

Ukisema alikuwa na uwezo mdogo unakosea Sana

Mpe Heshima yake hata kwa kiasi Tu kidogo

Mtu yoyote kabla ajawa Rais wa Inchi kuna michakato mingi ya taasisi tofaut tofauti zinapitia, so kama zote zilimpitisha then how uje kusema alikuwa na uwezo mdogo?

Mambo mengi ya malalamiko juu yake ni just hear says

Hakuna udhibitisho wowote, ni kama wanavyosema kuna Rais alihusika kifungo cha babu seya but ni maneno Tu ya watu
 
Tueleze huo uwezo wake mkubwa ulikuwa upi?Mbona aliogopa ya dunia hadi akaamua ajifie tu?
 
Back
Top Bottom