Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Magu kweli aliwashika pabayaHitler na Idi Amin wote walikuwa vyuma, magu haoni ndani.
Hata kina Ben Saanane aliwafikisha pabaya.Magu kweli aliwashika pabaya
Mpaka hii leo nafikiria, tena critically, ilifanyika vipi hadi John Pombe Mdgufuli akafikia hatua ya kuwa Rais wa Tanzania?
Sijamfahamu Magufuli akiwa Rais, nilikuwa namfahamu toka akiwa Naibu Waziri pale Wizara ya Ujenzi.
Kuingia ofisini tu siku alipoteuliwa na Rais mkapa kuwa Naibu Waziri wa Ujenzi, kuna mhandisi walisoma wote huoni akamtania kuwa anafanya nini pale wizara ya mainjinia, Magufuli akamwambia hmajui yeye nani, na akaagiza atimuliwe, akatimuliwa.
Na huko alikopata ubunge, tunaambiwa kuna watu wamepotea au wamepotezwa.
Pale Wizara ya ujenzi, uwekajimipakaya barabara zimeliwa fedha nyingi sana nchi nzima.
Uuzaji wa nyumba a serikali ndio usisema, wakubwa wote walifaidika . Yeye mwenyewe mhusika aliwauzia nyuma hadi mahawara.
Serikai ilikuw wapi?
Mimi nashindwa kuelewa kuwa kama vyombo vilikuwa vinqmjua Magufuli ni kwa nini Mkapa na hata Kikwete walifumbia macho mapungufu yake?
Sitagusa mapungufu , Magufuli akiwa madarakani, maana hata hawa viongozi wa leo serikalini walionja joto ya jiwe.
Imefika wakati lazima tupate post mortem ya kisiasa ya kwa nini hii blunder ilifika kupata Rais ambaye hata uraia wake ulikuwa na maswali?, lazivyo Magufuli no. 2 yupo round the corner.
Mnateseka ile mbaya as if Magu yupo haiHata kina Ben Saanane aliwafikisha pabaya.
Amka utajikojoleaJe, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake?
Ccm ndio wa kulaumiwa!Wewe usiyekuwa na huo ubaya aliokuwa nao Magufuli (kwa mujibu wa maelezo yako), unaweza kuupata huo Urais kwa ndoto za usingizini?
Ufukara unakusumbua.
Issue ya kuhubiri daily mabaya ya Magu na kuacha mema yake,Mpaka hii leo nafikiria, tena critically, ilifanyika vipi hadi John Pombe Mdgufuli akafikia hatua ya kuwa Rais wa Tanzania?
Sijamfahamu Magufuli akiwa Rais, nilikuwa namfahamu toka akiwa Naibu Waziri pale Wizara ya Ujenzi.
Kuingia ofisini tu siku alipoteuliwa na Rais mkapa kuwa Naibu Waziri wa Ujenzi, kuna mhandisi walisoma wote huoni akamtania kuwa anafanya nini pale wizara ya mainjinia, Magufuli akamwambia hmajui yeye nani, na akaagiza atimuliwe, akatimuliwa.
Na huko alikopata ubunge, tunaambiwa kuna watu wamepotea au wamepotezwa.
Pale Wizara ya ujenzi, uwekajimipakaya barabara zimeliwa fedha nyingi sana nchi nzima.
Uuzaji wa nyumba a serikali ndio usisema, wakubwa wote walifaidika . Yeye mwenyewe mhusika aliwauzia nyuma hadi mahawara.
Serikai ilikuw wapi?
Mimi nashindwa kuelewa kuwa kama vyombo vilikuwa vinqmjua Magufuli ni kwa nini Mkapa na hata Kikwete walifumbia macho mapungufu yake?
Sitagusa mapungufu , Magufuli akiwa madarakani, maana hata hawa viongozi wa leo serikalini walionja joto ya jiwe.
Imefika wakati lazima tupate post mortem ya kisiasa ya kwa nini hii blunder ilifika kupata Rais ambaye hata uraia wake ulikuwa na maswali?, lazivyo Magufuli no. 2 yupo round the corner.
Tanzania kama taifa ilipata ajali mbaya sana kuwahi kutokea kuwa na rais kama Magufuli.Mpaka hii leo nafikiria, tena critically, ilifanyika vipi hadi John Pombe Mdgufuli akafikia hatua ya kuwa Rais wa Tanzania?
Sijamfahamu Magufuli akiwa Rais, nilikuwa namfahamu toka akiwa Naibu Waziri pale Wizara ya Ujenzi.
Kuingia ofisini tu siku alipoteuliwa na Rais mkapa kuwa Naibu Waziri wa Ujenzi, kuna mhandisi walisoma wote huoni akamtania kuwa anafanya nini pale wizara ya mainjinia, Magufuli akamwambia hmajui yeye nani, na akaagiza atimuliwe, akatimuliwa.
Na huko alikopata ubunge, tunaambiwa kuna watu wamepotea au wamepotezwa.
Pale Wizara ya ujenzi, uwekajimipakaya barabara zimeliwa fedha nyingi sana nchi nzima.
Uuzaji wa nyumba a serikali ndio usisema, wakubwa wote walifaidika . Yeye mwenyewe mhusika aliwauzia nyuma hadi mahawara.
Serikai ilikuw wapi?
Mimi nashindwa kuelewa kuwa kama vyombo vilikuwa vinqmjua Magufuli ni kwa nini Mkapa na hata Kikwete walifumbia macho mapungufu yake?
Sitagusa mapungufu , Magufuli akiwa madarakani, maana hata hawa viongozi wa leo serikalini walionja joto ya jiwe.
Imefika wakati lazima tupate post mortem ya kisiasa ya kwa nini hii blunder ilifika kupata Rais ambaye hata uraia wake ulikuwa na maswali?, lazivyo Magufuli no. 2 yupo round the corner.
Alikasirika kuulizwa amefata nn kwenye ofisi za mainjinia 😅ukizingatia kweli hakuwa injinia bali mwalimu wa kemia,ukwel sikuzote unauma,ndomana akifanya kazi ujenzi akajigeuza injinia kuwaprove wrong 🙅magu alikuwa na tabia za walimu wengi, walobadil fani kutoka ualimu kuwa profession nyingine wako hivyo 😅 wengi wana infiriority complex,wanapambana kufill lile gap la kiprofeshen wanayokuwa wameparamiaMpaka hii leo nafikiria, tena critically, ilifanyika vipi hadi John Pombe Mdgufuli akafikia hatua ya kuwa Rais wa Tanzania?