OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Kifupi nchi hii haina succession plan wala vetting. Nchi yenye vetting huyo Magufuli hata form asingepewa. Kwa sababu alikuwa na shida kichwani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tayari thread,hakika alikuwa mwamba haswaMpaka hii leo nafikiria, tena critically, ilifanyika vipi hadi John Pombe Mdgufuli akafikia hatua ya kuwa Rais wa Tanzania?
Sijamfahamu Magufuli akiwa Rais, nilikuwa namfahamu toka akiwa Naibu Waziri pale Wizara ya Ujenzi.
Kuingia ofisini tu siku alipoteuliwa na Rais mkapa kuwa Naibu Waziri wa Ujenzi, kuna mhandisi walisoma wote huoni akamtania kuwa anafanya nini pale wizara ya mainjinia, Magufuli akamwambia hmajui yeye nani, na akaagiza atimuliwe, akatimuliwa.
Na huko alikopata ubunge, tunaambiwa kuna watu wamepotea au wamepotezwa.
Pale Wizara ya ujenzi, uwekajimipakaya barabara zimeliwa fedha nyingi sana nchi nzima.
Uuzaji wa nyumba a serikali ndio usisema, wakubwa wote walifaidika . Yeye mwenyewe mhusika aliwauzia nyuma hadi mahawara.
Serikai ilikuw wapi?
Mimi nashindwa kuelewa kuwa kama vyombo vilikuwa vinqmjua Magufuli ni kwa nini Mkapa na hata Kikwete walifumbia macho mapungufu yake?
Sitagusa mapungufu , Magufuli akiwa madarakani, maana hata hawa viongozi wa leo serikalini walionja joto ya jiwe.
Imefika wakati lazima tupate post mortem ya kisiasa ya kwa nini hii blunder ilifika kupata Rais ambaye hata uraia wake ulikuwa na maswali?, lazivyo Magufuli no. 2 yupo round the corner.
Mpaka hii leo nafikiria, tena critically, ilifanyika vipi hadi John Pombe Mdgufuli akafikia hatua ya kuwa Rais wa Tanzania?
Sijamfahamu Magufuli akiwa Rais, nilikuwa namfahamu toka akiwa Naibu Waziri pale Wizara ya Ujenzi.
Kuingia ofisini tu siku alipoteuliwa na Rais mkapa kuwa Naibu Waziri wa Ujenzi, kuna mhandisi walisoma wote huoni akamtania kuwa anafanya nini pale wizara ya mainjinia, Magufuli akamwambia hmajui yeye nani, na akaagiza atimuliwe, akatimuliwa.
Na huko alikopata ubunge, tunaambiwa kuna watu wamepotea au wamepotezwa.
Pale Wizara ya ujenzi, uwekajimipakaya barabara zimeliwa fedha nyingi sana nchi nzima.
Uuzaji wa nyumba a serikali ndio usisema, wakubwa wote walifaidika . Yeye mwenyewe mhusika aliwauzia nyuma hadi mahawara.
Serikai ilikuw wapi?
Mimi nashindwa kuelewa kuwa kama vyombo vilikuwa vinqmjua Magufuli ni kwa nini Mkapa na hata Kikwete walifumbia macho mapungufu yake?
Sitagusa mapungufu , Magufuli akiwa madarakani, maana hata hawa viongozi wa leo serikalini walionja joto ya jiwe.
Imefika wakati lazima tupate post mortem ya kisiasa ya kwa nini hii blunder ilifika kupata Rais ambaye hata uraia wake ulikuwa na maswali?, lazivyo Magufuli no. 2 yupo round the corner.
Wewe usiyekuwa na huo ubaya aliokuwa nao Magufuli (kwa mujibu wa maelezo yako), unaweza kuupata huo Urais kwa ndoto za usingizini?
Ufukara unakusumbua.
Jitu katili, lisilo na utu, jitu shamba kabisa hata ongea yake inatoa harufu ya ujinga uliyojaa akilini mwake.
Hata mm najiuliza hili jiwe ilikuwaje likaingia ikulu??
Inaonekana katika ukoo wa panya, kwa kipindi kile, yeye ndiye alikuwa na unafuu
magufuli lilikuwa jiz,tapel,puuz uwaji,piga risas watu na jitu la hovyo kuliko hata idi ami dada, Mungu alifanya vizuri kuliondoa ili likaungue moto kule liliko.
Wewe ni nani katika hii nchi?
Kinyangarika tu hata ubalozi huna!
Magufuli alikuwa rais wa nchi na amiri jeshi mkuu, na nafurahii aliwapelekea moto mpaka mkaamua kumdondosha. [emoji1787]
Chuma kinaliaa chumaa HA HA HA chumaa! Weweeee!!
Lazima kuwa katili dhidi ya mapanya.
Fyekelea mbali mafisadi mpaka yakachanganyikiwa yakaamua kumdondosha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Chuma kile, hakikutepeta mpaka umautiii. Ni mwendo wa kukaza kamba kweli kweliiii ikibidi hadi uhai kutoka!
Ametufundisha somo kubwaa kwamba mafisadi na majizii yanahitaji kushughulikiwa kwa moto mkalii. Peleka moto kweli kwelii bila huruma.
JPM CHUMA!!!
hujafikilia criticaly , umewaza kwa ku trace background. ukiuliza imekuwahe hadi akawa rais, ni ile nyota kukubalika kwa falsafa zake , maono yake .ambapo waliompinga wengi walikua working classes ambao si kundi kubwa la wananchi . so kundi kubwa liliweza kuyatambua mazuri yake na ndomana akawa . raisi , walimchagua kwa vigezo vikuu vitatu. kwanza ubabe wake , utendaji wake wizara ya uvuvi na utendaji wake wizara ya uchukuzi.ukizungumzia madudu , ni kweli he was not perfect lakn jamii ilimjua kwa postivity zake na maono
Chuki humchoma anaye ihifadhi- fid Q
magu chumaaaaaaaaaa aliwapelekea moto sio mchezoo
Kwani na wewe ulikuwa fisadi??Mpaka hii leo nafikiria, tena critically, ilifanyika vipi hadi John Pombe Mdgufuli akafikia hatua ya kuwa Rais wa Tanzania?
Sijamfahamu Magufuli akiwa Rais, nilikuwa namfahamu toka akiwa Naibu Waziri pale Wizara ya Ujenzi.
Kuingia ofisini tu siku alipoteuliwa na Rais mkapa kuwa Naibu Waziri wa Ujenzi, kuna mhandisi walisoma wote huoni akamtania kuwa anafanya nini pale wizara ya mainjinia, Magufuli akamwambia hmajui yeye nani, na akaagiza atimuliwe, akatimuliwa.
Na huko alikopata ubunge, tunaambiwa kuna watu wamepotea au wamepotezwa.
Pale Wizara ya ujenzi, uwekajimipakaya barabara zimeliwa fedha nyingi sana nchi nzima.
Uuzaji wa nyumba a serikali ndio usisema, wakubwa wote walifaidika . Yeye mwenyewe mhusika aliwauzia nyuma hadi mahawara.
Serikai ilikuw wapi?
Mimi nashindwa kuelewa kuwa kama vyombo vilikuwa vinqmjua Magufuli ni kwa nini Mkapa na hata Kikwete walifumbia macho mapungufu yake?
Sitagusa mapungufu , Magufuli akiwa madarakani, maana hata hawa viongozi wa leo serikalini walionja joto ya jiwe.
Imefika wakati lazima tupate post mortem ya kisiasa ya kwa nini hii blunder ilifika kupata Rais ambaye hata uraia wake ulikuwa na maswali?, lazivyo Magufuli no. 2 yupo round the corner.
Sexless duh [emoji849]Jitu katili, lisilo na utu, jitu shamba kabisa hata ongea yake inatoa harufu ya ujinga uliyojaa akilini mwake.
Hata mm najiuliza hili jiwe ilikuwaje likaingia ikulu??
Mpaka hii leo nafikiria, tena critically, ilifanyika vipi hadi John Pombe Mgufuli akafikia hatua ya kuwa Rais wa Tanzania?
Sijamfahamu Magufuli akiwa Rais, nilikuwa namfahamu toka akiwa Naibu Waziri pale Wizara ya Ujenzi. Kuingia ofisini tu siku alipoteuliwa na Rais mkapa kuwa Naibu Waziri wa Ujenzi, kuna mhandisi walisoma wote chuoni akamtania kuwa anafanya nini pale wizara ya mainjinia, Magufuli akamwambia hamjui yeye nani, na akaagiza atimuliwe, akatimuliwa.
Na huko alikopata ubunge, tunaambiwa kuna watu wamepotea au wamepotezwa.
Pale Wizara ya ujenzi, uwekaji mipaka ya barabara zimeliwa fedha nyingi sana nchi nzima. Uuzaji wa nyumba za serikali ndio usiseme, wakubwa wote walifaidika. Serikali ilikuw wapi?
Mimi nashindwa kuelewa kuwa kama vyombo vilikuwa vinamjua Magufuli ni kwa nini Mkapa na hata Kikwete walifumbia macho mapungufu yake?
Sitagusa mapungufu ya Magufuli akiwa madarakani, maana hata hawa viongozi wa leo serikalini walionja joto la jiwe.
Imefika wakati lazima tupate post mortem ya kisiasa ya kwa nini hii blunder ilifika kupata Rais ambaye hata uraia wake ulikuwa na maswali? la sivyo Magufuli no. 2 yupo round the corner.
[Yaan ww ndiyo kiaz sana.Miaka mitano maendeleo aliyofanya ,hakuna Rais yeyote alishawahi kufanya ,akiwemo bibi yako.Hiyo ni kwa mujibu wa mstaafu Mwinyi.Sasa ww ,uliyefaili form four eti na ww unamkejeli ,Rais Magufuli.
Alikuta mlango wazi.Hata mm najiuliza hili jiwe ilikuwaje likaingia ikulu?
Raisi asiyekuwa na tabia za huruma za Kitanzania.
Na sasa Mungu katupa Rais Mtanzania asilia mwenye tabia za kitanzania za huruma na kusamehe.
mhhOption iliyobakia kwa kipinde kile, baada ya kuona Membe na Lowasa ni umzia vichwa...
Edo na Jasusi.
Aliibaka Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Alikuwa anakubaka bila kukutizama mkuu.
Alikupiga wewe siyo sisi.Tanzania kama taifa ilipata ajali mbaya sana kuwahi kutokea kuwa na rais kama Magufuli.
Kama ni laana Mungu alitupiga pigo kubwa sana.
Upo wapi kwani wewe doctor wa kichwa?Kifupi nchi hii haina succession plan wala vetting. Nchi yenye vetting huyo Magufuli hata form asingepewa. Kwa sababu alikuwa na shida kichwani
Magufuli alishawahi kuwa Rais wa Tanzania.Kweli inastaajabisha jpm alipenya vipi manake hata jk anashangaa kabisa, haikuwa chaguo lake. Ila ndio hivyo watu wa upande ule in washirikina wakubwa na itakuwa ndio sababu ya mshangao huu. Jpm alikuwa bahati mbaya ya nchi yetu tuwe makini tusirudie makosa 2025.
Yaani hatari.Marehemu bado anawabutua walio hai!
Kabla ya kuwa Rais alikuwa mtu poa sana mm mwenyewe nilikuwa shabiki yake kwa namna alivyokuwa anachapa kazi akiwa wazir ktk wizara tofauti hasa ya miundombinu, shida ilianza alipoukwaa u Rais akabadilika kabisa hata wale walioshiriki kumpitisha wakawa wanashangaa.Mpaka hii leo nafikiria, tena critically, ilifanyika vipi hadi John Pombe Mgufuli akafikia hatua ya kuwa Rais wa Tanzania?
Sijamfahamu Magufuli akiwa Rais, nilikuwa namfahamu toka akiwa Naibu Waziri pale Wizara ya Ujenzi. Kuingia ofisini tu siku alipoteuliwa na Rais mkapa kuwa Naibu Waziri wa Ujenzi, kuna mhandisi walisoma wote chuoni akamtania kuwa anafanya nini pale wizara ya mainjinia, Magufuli akamwambia hamjui yeye nani, na akaagiza atimuliwe, akatimuliwa.
Na huko alikopata ubunge, tunaambiwa kuna watu wamepotea au wamepotezwa.
Pale Wizara ya ujenzi, uwekaji mipaka ya barabara zimeliwa fedha nyingi sana nchi nzima. Uuzaji wa nyumba za serikali ndio usiseme, wakubwa wote walifaidika. Serikali ilikuw wapi?
Mimi nashindwa kuelewa kuwa kama vyombo vilikuwa vinamjua Magufuli ni kwa nini Mkapa na hata Kikwete walifumbia macho mapungufu yake?
Sitagusa mapungufu ya Magufuli akiwa madarakani, maana hata hawa viongozi wa leo serikalini walionja joto la jiwe.
Imefika wakati lazima tupate post mortem ya kisiasa ya kwa nini hii blunder ilifika kupata Rais ambaye hata uraia wake ulikuwa na maswali? la sivyo Magufuli no. 2 yupo round the corner.
Itakusaidia niniUpo wapi kwani wewe doctor wa kichwa?