Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpaka hii leo nafikiria, tena critically, ilifanyika vipi hadi John Pombe Mgufuli akafikia hatua ya kuwa Rais wa Tanzania?
Sijamfahamu Magufuli akiwa Rais, nilikuwa namfahamu toka akiwa Naibu Waziri pale Wizara ya Ujenzi. Kuingia ofisini tu siku alipoteuliwa na Rais mkapa kuwa Naibu Waziri wa Ujenzi, kuna mhandisi walisoma wote chuoni akamtania kuwa anafanya nini pale wizara ya mainjinia, Magufuli akamwambia hamjui yeye nani, na akaagiza atimuliwe, akatimuliwa.
Na huko alikopata ubunge, tunaambiwa kuna watu wamepotea au wamepotezwa.
Pale Wizara ya ujenzi, uwekaji mipaka ya barabara zimeliwa fedha nyingi sana nchi nzima. Uuzaji wa nyumba za serikali ndio usiseme, wakubwa wote walifaidika. Serikali ilikuw wapi?
Mimi nashindwa kuelewa kuwa kama vyombo vilikuwa vinamjua Magufuli ni kwa nini Mkapa na hata Kikwete walifumbia macho mapungufu yake?
Sitagusa mapungufu ya Magufuli akiwa madarakani, maana hata hawa viongozi wa leo serikalini walionja joto la jiwe.
Imefika wakati lazima tupate post mortem ya kisiasa ya kwa nini hii blunder ilifika kupata Rais ambaye hata uraia wake ulikuwa na maswali? la sivyo Magufuli no. 2 yupo round the corner.
Muongo ww, hivi membe, makamba, lowassa, pinda, na wengine wakatwe abaki magufuli afu useme alikuwa hatoshi?Siyo siri, Magu hakuwa chaguo la kwanza la Kamati Kuu ya CCM kuwania Urais.
Umakundi na uhasama kati ya yale makundi ndiyo yaliyomuibua Magu ambaye wasifu wake kuukamata Urais vile vile siyo siri, ulikuwa hautoshelezi.
Hapo ndio palikuwa na fitna zaidi na ubinafsi kutawala.Muongo ww, hivi membe, makamba, lowassa, pinda, na wengine wakatwe abaki magufuli afu useme alikuwa hatoshi?
Nimedokeza tu, kama ulivyosema, na nia yangu hasa ni kutaka kuwajuwa hawa watu waliomo kwenye chama na kamati mhimu kama hiyo inayowaamulia waTanzania wote hatma ya nchi yao bila ya kuhojiwa na yeyote.Umedadavua kweli.
Sasa inabidi vikso vya Kamati Kuu CCM viwe na uwazi ili viwajibike kwa wananchi na si kwa CCM peke yake.
Mleta hoja ni mccm mwenzako.Hii inaonesha jinsi gani Chadema Magu alivyowanyoosha si mchezo mpaka Leo marehemu bado mnamtaja
Me sio CCM kwanza sina chama chochote nachoshabikia na sina mpango wakuoa chama chochoteMleta hoja ni mccm mwenzako.
True,na mjadala uishie hapaUkiona hivyo Ujue Wananchi ni Dhaifu!
Mwendazake hakuwa kiongozi sahihi kwa nchi yetu na alipatikana kwa udhaifu wa Kikwette kutaka kumuengua Lowassa huku akimg'ang'ania Membe. Ile chuki, utekaji, uuaji, kudharau Katiba, kutofuata Utawala wa Sheria, kupendelea kwao na wizi siyo tabia ambayo ilikuwa haijampendeza Mungu.Mpaka hii leo nafikiria, tena critically, ilifanyika vipi hadi John Pombe Mgufuli akafikia hatua ya kuwa Rais wa Tanzania?
Sijamfahamu Magufuli akiwa Rais, nilikuwa namfahamu toka akiwa Naibu Waziri pale Wizara ya Ujenzi. Kuingia ofisini tu siku alipoteuliwa na Rais mkapa kuwa Naibu Waziri wa Ujenzi, kuna mhandisi walisoma wote chuoni akamtania kuwa anafanya nini pale wizara ya mainjinia, Magufuli akamwambia hamjui yeye nani, na akaagiza atimuliwe, akatimuliwa.
Na huko alikopata ubunge, tunaambiwa kuna watu wamepotea au wamepotezwa.
Pale Wizara ya ujenzi, uwekaji mipaka ya barabara zimeliwa fedha nyingi sana nchi nzima. Uuzaji wa nyumba za serikali ndio usiseme, wakubwa wote walifaidika. Serikali ilikuw wapi?
Mimi nashindwa kuelewa kuwa kama vyombo vilikuwa vinamjua Magufuli ni kwa nini Mkapa na hata Kikwete walifumbia macho mapungufu yake?
Sitagusa mapungufu ya Magufuli akiwa madarakani, maana hata hawa viongozi wa leo serikalini walionja joto la jiwe.
Imefika wakati lazima tupate post mortem ya kisiasa ya kwa nini hii blunder ilifika kupata Rais ambaye hata uraia wake ulikuwa na maswali? la sivyo Magufuli no. 2 yupo round the corner.
Naunga mkono hoja. Mwenye akili sawa kichwani hawezi kujianika kwenye mawe kama kengeKifupi nchi hii haina succession plan wala vetting. Nchi yenye vetting huyo Magufuli hata form asingepewa. Kwa sababu alikuwa na shida kichwani
Thibitisha.Panya buku wa kwanza kabisa ni yule jambazi aliyeficha fedha China
We kweli umechanganyikiwa [emoji1787]Naunga mkono hoja. Mwenye akili sawa kichwani hawezi kujianika kwenye mawe kama kengeView attachment 2545533
Vita ya magenge ya ccm ilituletea majanga 😝😝Mpaka hii leo nafikiria, tena critically, ilifanyika vipi hadi John Pombe Mgufuli akafikia hatua ya kuwa Rais wa Tanzania?
Sijamfahamu Magufuli akiwa Rais, nilikuwa namfahamu toka akiwa Naibu Waziri pale Wizara ya Ujenzi. Kuingia ofisini tu siku alipoteuliwa na Rais mkapa kuwa Naibu Waziri wa Ujenzi, kuna mhandisi walisoma wote chuoni akamtania kuwa anafanya nini pale wizara ya mainjinia, Magufuli akamwambia hamjui yeye nani, na akaagiza atimuliwe, akatimuliwa.
Na huko alikopata ubunge, tunaambiwa kuna watu wamepotea au wamepotezwa.
Pale Wizara ya ujenzi, uwekaji mipaka ya barabara zimeliwa fedha nyingi sana nchi nzima. Uuzaji wa nyumba za serikali ndio usiseme, wakubwa wote walifaidika. Serikali ilikuw wapi?
Mimi nashindwa kuelewa kuwa kama vyombo vilikuwa vinamjua Magufuli ni kwa nini Mkapa na hata Kikwete walifumbia macho mapungufu yake?
Sitagusa mapungufu ya Magufuli akiwa madarakani, maana hata hawa viongozi wa leo serikalini walionja joto la jiwe.
Imefika wakati lazima tupate post mortem ya kisiasa ya kwa nini hii blunder ilifika kupata Rais ambaye hata uraia wake ulikuwa na maswali? la sivyo Magufuli no. 2 yupo round the corner.
Bora huyo mla mahindi kuliko nyie walamba asali, mmetanguliza matumbo yenuMwendazake hakuwa kiongozi sahihi kwa nchi yetu na alipatikana kwa udhaifu wa Kikwette kutaka kumuengua Lowassa huku akimg'ang'ania Membe. Ile chuki, utekaji, uuaji, kudharau Katiba, kutofuata Utawala wa Sheria, kupendelea kwao na wizi siyo tabia ambayo ilikuwa haijampendeza Mungu.
Mathias Chikawe aliyekuwa Waziri anayeisimamia TISS alificha faili la Afya ya akili ya Magufuli
TISS walikwishamaliza kazi kwa kuleta faili la psychiatry la Magufuli lakini Chikawe alilificha hakupeleka Kamati Kuu ya CCM.
Hivyo tumetawaliwa na kichaa kuanzia October 2015 hadi March 2021. Hivi kweli Rais mwenye akili sawasawa anaweza kula mahindi hadharani kama nyani?View attachment 2545523
kwa hiyo ule uzi wako kwamba 2025 maushungi atoke kwanza bado una imani nao?!Hili swali kwa sasa ni bypassed by events, ila kwavile umeuliza ilikuwaje, wakati tayari ameisha kuwa halina maana tena huku ni kuzidi tuu kumsema vibaya marehemu!.
Haya wewe unayouliza leo, akina sisi tuliyauliza tangu 2014 kabla hajawa na tukayaleta humu tukajadili, sababu za kwanini ni Magufuli pia nilizisema humu Elections 2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli ila zinaweza kusoma na watu wenye jicho la tatu pekee! Hakika Pasco alikuwa sahihi kuhusu Magufuli na wasio na jicho la tatu walibaki kuuliza Kwanini Pasco wa JF anaficha sababu alizoambiwa 2014 kuwa zitampeleka Magufuli Ikulu?
Maadam ametangulia mbele ya haki huu ni ushauri wangu kwako Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani
P
Lazima pawepo na mjadala wa kitaifa NDANI ya CCM kwa namna tunavyoweza kuweka mchakato sahihi kumpata rais wa nchi.Nimedokeza tu, kama ulivyosema, na nia yangu hasa ni kutaka kuwajuwa hawa watu waliomo kwenye chama na kamati mhimu kama hiyo inayowaamulia waTanzania wote hatma ya nchi yao bila ya kuhojiwa na yeyote.
Hawa wajumbe wa kamati hizi wanajulikana, na ni hivi karibuni tu Samia naye kaweka ya kwake itakayomwamulia mambo anayoyataka yeye ,na baada ya yeye, atakayekuwepo kumpokea yeye..
Huu ni udhaifu mkubwa katika mfumo wa kuwapata viongozi wa nchi yetu.
Kwa jinsi ulivyokuwa compromised machakato wa kumpata rais ndani ya Kamati Kuu ya chama, kutawaliwa hakuko mbali, chama sasa ni tumbo lako tu.Mpaka hii leo nafikiria, tena critically, ilifanyika vipi hadi John Pombe Mgufuli akafikia hatua ya kuwa Rais wa Tanzania?
Sijamfahamu Magufuli akiwa Rais, nilikuwa namfahamu toka akiwa Naibu Waziri pale Wizara ya Ujenzi. Kuingia ofisini tu siku alipoteuliwa na Rais mkapa kuwa Naibu Waziri wa Ujenzi, kuna mhandisi walisoma wote chuoni akamtania kuwa anafanya nini pale wizara ya mainjinia, Magufuli akamwambia hamjui yeye nani, na akaagiza atimuliwe, akatimuliwa.
Na huko alikopata ubunge, tunaambiwa kuna watu wamepotea au wamepotezwa.
Pale Wizara ya ujenzi, uwekaji mipaka ya barabara zimeliwa fedha nyingi sana nchi nzima. Uuzaji wa nyumba za serikali ndio usiseme, wakubwa wote walifaidika. Serikali ilikuw wapi?
Mimi nashindwa kuelewa kuwa kama vyombo vilikuwa vinamjua Magufuli ni kwa nini Mkapa na hata Kikwete walifumbia macho mapungufu yake?
Sitagusa mapungufu ya Magufuli akiwa madarakani, maana hata hawa viongozi wa leo serikalini walionja joto la jiwe.
Imefika wakati lazima tupate post mortem ya kisiasa ya kwa nini hii blunder ilifika kupata Rais ambaye hata uraia wake ulikuwa na maswali? la sivyo Magufuli no. 2 yupo round the corner.
Mkuu you are living in your own world of fantansies!Hili swali kwa sasa ni bypassed by events, ila kwavile umeuliza ilikuwaje, wakati tayari ameisha kuwa halina maana tena huku ni kuzidi tuu kumsema vibaya marehemu!.