Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,362
- 48,879
Ukweli mifumo yetu ipo dhaifu sana.
Huyu marehemu, kwa kigezo chochote kile hakustahili kupewa hiyo nafasi, hata ya Uwaziri Mkuu hakufaa.
Kama tutabakia katika namna ile iliyoruhusu mtu kama Magufuli kuwa Rais, hakika tutarajie kuwapata akina Nguema, Doe, Stallin au akina Bokasa siku za mbeleni.
Yaani mtu anakuwa Rais, wakati:
Aliwahi kuugua matatizo ya akili.
Baba yake hakuwahi kuukana uraia wa Burundi lakini akajipachika kabila la usukuma.
Alishawahi kuiba nyumba za Serikali na kuwapa vimada na ndugu zake.
Ubunge wenyewe alikuwa akiupata kwa kuwahonga wapinzani wake ili apite bila kupingwa.
Wizara aliyokuwa akiiongoza ilikuwa ikiongoza kwa upotevu wa fedha, uduni wa viwango vya ujenzi wa barabara, barabara nyembamba kuliko viwango vilivyokuwepo kwenye mikataba.
Tatizo siyo la aliepewa Urais bali ni kwa mifumo yetu ya utawala na uzembe wa hali ya juu kwa waliokuwa kwenye mamlaka za uteuzi wa wagombea (Mkapa, Kikwete, kamati kuu na Halmashauri kuu ya CCM)