Mpaka leo najiuliza, ilikuwaje mpaka Magufuli akawa Rais?

Katika serikali ya Kikwete, wapinzani walipiga kelele sana kuhusiana na ufisadi katika wizara mbali mbali lakini wizara ya Magufuli haikusemwa mwanzo, baadae walivyoanza kuiongelea nkajua ni mpango wao tu wanataka wamchafue kila mtu, kumbe ilikuwa ni kweli
 

angakia wanao kussuport afu ujue kama kilio n cha pekee yako au cha wengi!
Imeisha hiyo
 
Issue ya kuhubiri daily mabaya ya Magu na kuacha mema yake,

Inaiharibia sana CCM kuliko upinzani.

SABABU ni kuwa Magu na sa100 wote ni CCM na wanatekeleza ilani Ile Ile Kila Mmoja Kwa wakati wake.

Kama CCM Pana wakubwa na wazee, waitane na kuonyana.

Wasipofanya hivyo wanatoa mwanya Kwa umma uamini kuwa MARIDHIANO yamelenga kupeleka CHARACTER ASSASSINATION Kwa Magu marehemu.

Wakiendelea kupuuza, Upinzani utapata ushindi wa mserereko.

Tusubiri.
 
Awamu ya 4 chini ya JK aliachia demokrasia ya vyama vingi na ilishamiri sana hadi wanasiasa wakavimbiwa na kuanza kumtusi JK eti ni dhaifu..........,.......

Akaingia JPM aka Chuma akakaza nati vilivyo.....kazi kazi....hakuna mbambamba, wakaaza kulia......

Mungu kamleta SSH ndani ya kipindi kifupi kaliponya Taifa, , uhuru umeongezeka, demokrasia imeimarika mara dufu, kafanya mambo makubwa ambayo hayakutarajiwa kufanywa.....
sote tunafurahia jinsi anavyo iendesha nchi yetu vyema.

Sasa jambo la kujifumza kwa watanzania.

1. Tuchunge sana kauli zetu, kwani kauli huumba.

2. Tuache unafiki tuwe wa kweli haswa viongozi wa vyama.....vinginevyo

3.
 
Tanzania kama taifa ilipata ajali mbaya sana kuwahi kutokea kuwa na rais kama Magufuli.

Kama ni laana Mungu alitupiga pigo kubwa sana.
 
Alikasirika kuulizwa amefata nn kwenye ofisi za mainjinia 😅ukizingatia kweli hakuwa injinia bali mwalimu wa kemia,ukwel sikuzote unauma,ndomana akifanya kazi ujenzi akajigeuza injinia kuwaprove wrong 🙅magu alikuwa na tabia za walimu wengi, walobadil fani kutoka ualimu kuwa profession nyingine wako hivyo 😅 wengi wana infiriority complex,wanapambana kufill lile gap la kiprofeshen wanayokuwa wameparamia
 
Ongea mengine kutukukuza serikali iliyopo.

Magufuli kashajiondokea kuna nini cha kuulizana? Hivi we km nani uulize Magu kuwa rais? alipitia vitengo vyote unavyojua wewe hakubahatisha na kazi amefanya akatenguliwa kimoja.
Halafu kwanini msikae kumove on kwasasa badala kumnanga tu huyo marehemu..

Nasikitika sana kuzaliwa na ngozi hii.
Huu ni mfano tu Ghana huwa wanaivalisha maiti suti inakaa pale ili kila mtu aseme anachotaka wakimaliza ikazikwe.

Huu utaratibu bora uwekwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…