Mpaka mwaka 2050 hakutakuwa na watu wenye utimamu wa maadili

Swali zuri sana, na kwa kumkumbisha tu mleta mada ajue kuwa haya anayoyaona yanajirudia na yalishajirudia mara kibao. Dunia ni Ile ile na matendo yake, wanaobadirika ni binadamu tu.
Mkuu, sisi kwa kusaidiwa na science na technology tuko next level

Siku hizi kuna bots, sex toys, vibrators, strap -on dildos, vilainishi vya kila aina, P2, gender assignment operations, the list is going on Mkuu, endless
 
Huwezi shindana Na Dunia ,utapita Duniani,Na utaiacha,Haya yote yapo Duniani tokea karne
 
Kama historia ni mwalimu mzuri basi hua ndio iko hivyo. Baadhi ya mambo yanayoonekana kuwa ni ya kawaida na ni sehemu ya 'maadili mema' wakati huu yalikuwa kufuru kabisa miaka 100 iloyopita.
Kwamba matumizi yasiyo sahihi ya matundu ya mwili wa mwanamke siyo issue ya maadili kwenye kizazi kijacho?
 
Mi sijaufuja ujana wng broo,at this age gol 4 kwangu without mkongo ni kawaida sana,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Haha kwani unadhani kuwa na nguvu kipindi cha uzeeni ni kwasababu ujana haujauchezea? Tena mliotulia ndio wenye nafasi kubwa ya kupatwa na matatizo yanayohusiana na ubnormality in sperms secretion bila kusahau saratani za kwenye njia ya uzazi. Kuna umri ambao ni 26 to 45 at least ufanye mara tatu kwa wiki huku ukila chakula kizuri na salama bila kusahau mazoezi. Sasa wewe nenda tofauti na sexologists na wataalamu walioshauri hayo alafu baadae tutajuzana tu na kutouchezea ujana wako.
 
Mkuu, sisi kwa kusaidiwa na science na technology tuko next level

Siku hizi kuna bots, sex toys, vibrators, strap -on dildos, vilainishi vya kila aina, P2, gender assignment operations, the list is going on Mkuu, endless
Hata waliojenga pyramids kwa technology Ile ya kuchonga matofali ya mimba yenye ukubwa wa mita 3 upana na urefu wa mita 7 na ku utilise umeme wa nuclear katika plants za kuzalisha dhahabu zaidi ya miaka 470,000 iliyopita sisi kizazi hiki tunawashangaa kwakuwa na hizo technologies. Kama waliweza hayo unadhani hayo madogo unayoyaongelea wewe kuwa na vibrators, sex toy hawakuwa nayo au njia za kujifurahisha zaidi ya hizo mkuu?
Dunia hii has gone several civilisations in many generations, ndiomana nakwambia unaloliona jipya sasa wenzetu walishapitia kitambo
 
Kama hivyo rafiki yako Ana moyo !!,ameanzaje kuhadisia kitendo hicho kama naye mdau kwa rafiki yakeπŸ˜±πŸ™ŒπŸ» ILA wanawake πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»
Wanawake tunahadithiana kila kitu, i mean kila kitu. (Sio wote lakini) Wengine kidogo tumejaaliwa filter ya mdomo.

Na pia rafiki yako amekuomba sikio mpatie, inasaidia kupunguza stress na magonjwa ya akili, ndio maana wanawake hatufi mapema.
 
Uwezo wangu mdogo unaniambia science na technologia inaogeza mmomonyoko wa maadili kwa kasi sasa kuliko hata karne iliyopita
Kwa hili bandiko lako, si sayansi wala teknoloji ilichangia hayo yaliyojiri. Umalaya umekuwepo tangu mwanzo wa maisha ya binadamu, na itegemewe utakuwepo mpaka pale mwisho wa maisha ya binadamu.
 
Hivi kweli rsundi 3 na kifanyio? Uongo. Kwa muda gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…