Mpaka mwaka 2050 hakutakuwa na watu wenye utimamu wa maadili

Hii kitu imeshusha sana confidence ya watu wengi kuzaa watoto,...mfano ni Singapore,.....pia hata upendo kwa Watoto, fikilia umekaa na Watoto wako sebleni mara wazo linakuja kichwani vipi mwanangu nae akawa kama wale?,,,..unainuka kwa huzuni kupata stimu ๐Ÿบ๐Ÿบ๐Ÿป๐Ÿ˜ž๐Ÿ˜ž
 
Wala usipate pressure mkuu,maneno hayo alisema Cicero Miaka 3000 iliyopita,na Leo tupo hapa,,I promise you Hadi mwaka 100000 tutakua hivihivi

Times are bad: children no longer obey their parents and everyone is writing a book'. Cicero.
 
mastafeli yote haya saratani inatokea wapi bloangu,mi ni mwendo wa mikandamizo tu kabla sijakwenda kukutana na bikra 70 huko mbinguni na mito yenye kutiririsha mihennessy tu
 
Inauma ukifikiria unalea vizuri alafu toto baadae linakuja kuwa laughing stock of the street.
 
Kwa hivyo unataka kusema babu zetu huko namtumbo walikua wapigishwa blow job na wake zao?
 
K haiuzwi na wala haitolewi bure ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Papuchi inanguvu sana, niliwahi andikaga zamani

 
Balaa sana, siyo watoto tu ata kuwaza mama watoto nyumbani watu wana hangaika nae
 
Maadili yafundishwe shuleni.
 
Wanawake tunahadithiana kila kitu, i mean kila kitu. (Sio wote lakini) Wengine kidogo tumejaaliwa filter ya mdomo.

Na pia rafiki yako amekuomba sikio mpatie, inasaidia kupunguza stress na magonjwa ya akili, ndio maana wanawake hatufi mapema.
Tunajifunza nini kutoka kwa rafiki yako?
 
Kwamba matumizi yasiyo sahihi ya matundu ya mwili wa mwanamke siyo issue ya maadili kwenye kizazi kijacho?
Sio hilo tu, hata ushoga utakuwa jambo la kawaida kabisa. Na watafunga ndoa za kidini kama wanavyofanya sasa huko nchi za mabeberu. Inasikitisha lakini ndio ukweli mchungu.
 
Uwezo wangu mdogo unaniambia science na technologia inaogeza mmomonyoko wa maadili kwa kasi sasa kuliko hata karne iliyopita
Unaishutumuje sayansi ili hali unatumia kifaa kilichotengenezwa na sayansi kufikisha ujumbe wako na intaneti ambayo ipo kisayansi? Maadili ni nini na maadili ya kweli ni yapi na mnajuaje ndo maadili na mengine si maadili
 
Unaishutumuje sayansi ili hali unatumia kifaa kilichotengenezwa na sayansi kufikisha ujumbe wako na intaneti ambayo ipo kisayansi? Maadili ni nini na maadili ya kweli ni yapi na mnajuaje ndo maadili na mengine si maadili
ukikua utajua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ