Mpaka sasa Lissu hafai kuwa CHADEMA maana chama hicho ni CCM B, hakina tena mpango wa kupigania wananchi

We
Lisu anapambana hili alipwe fedha za matibabu akishalipwa hizo kazi imeisha hana lolote,Kwa Sasa Lisu amejifunza kuwa alitaka kupoteza maisha kuwapigania wanafiki.Anachotaka alipwe Mpunga wa matibabu afunge mdomo.Kumbuka mtonyo wa matibabu ni mrefu karibia bajeti ya Wizara ya Mama Gwajima.
Kweli kuwapigania wanafiq ni kazi ngumu Sana.
 
Lisu anapambana hili alipwe fedha za matibabu akishalipwa hizo kazi imeisha hana lolote,Kwa Sasa Lisu amejifunza kuwa alitaka kupoteza maisha kuwapigania wanafiki.Anachotaka alipwe Mpunga wa matibabu afunge mdomo.Kumbuka mtonyo wa matibabu ni mrefu karibia bajeti ya Wizara ya Mama Gwajima.
Vitu vya Kujitungia, ahhhh wamefanya sana CHADEMA yaani hawajaanza leo! Wao ni kususa susa na kutengeneza Mazingira ya Siasa vurugu wakitegemea kupewa majimbo badala ya kuingia kwenye michakato ya Kichaguzi.
Toka pale walivyotoka Bungeni kwa kususa mpaka leo, hawajitambui. Mara peepos mara no peace mara never yaani kuchefua mazingira ya watu na vurugu za kisiasa na kususa!
 
Mkuu, wasukuma hatuna shida nao , lakini msitegemee kurudi ikulu maana mmeharibu Sana Hii nchi na kutesa watu na kuua kubambikia watu kesi na uchafu Mwingi.
Kwenye hili usjianike Mkuu, wewe umekuwa wa kuheshimiwa sana hapa jf

Acha basi uendelee kuheshimiwa, kwani wewe ni nani mpaka useme kabila fulani linafaa na lingine halifai kuwa Ikulu
 
Sawa JPM was best president tuhitimishe.
 
Mkuu, wasukuma hatuna shida nao , lakini msitegemee kurudi ikulu maana mmeharibu Sana Hii nchi na kutesa watu na kuua kubambikia watu kesi na uchafu Mwingi.
Waongo nyie, mnashida nao ati kwa sababu walipendelewa kiuchumi na Hayati, mbona nri Hivyo!
Mmeandika mpaka Kitabu. Mmewaita Wendawazimu, mmewaita makatili, na kila kukicha mnaanzisha Nyuzi za kuwabeza na kuwanyanyasa Wasukuma kwa kuwadhihaki na kuwashushia heshima na Kuwadharau kubakia kuwaita "Sukuma Gang" yaani sasa hawafai kuwa Kabila la Wasukuma bali genge la Wasukuma. Hii ni hatari sana. Na ndio natoa tahadhari. CHADEMA mkipewa Dola mtafanya Full scale Genocide kuangamiza Kabila hili. Ni hatari kwa mustakabali wa nchi, ni hatari kwa Usalama wa Taifa. Na mkikurupushwa ati ohh ni Mtandaoni tu oh hatuwasemi hao! Mkae mkijuwa vita dhidi ya Wasukuma mmeanzisha nyie CHADEMA sasa ipo siku mori ikipanda vizuri ndio mtajua moto wake, rungu tu!
 
Mkuu sisi hatuna chuki tumesha wasamehe ,mtahukumiwa na Mungu kwa Mambo machafu mliyokuwa mnafurahia kuharibikiwa maisha watz na kuuliwa n.k
 
Maridhiano yaliyofanywa kati ya CCM na CHADEMA, kila mwenye akili timamu alijua mwisho wake

Hao wenye akili na macho ya kuona kama kina Lissu, waliuona huo mchezo kwamba, hauna tija wala mwisho mwema katika kuitafuta dola kama chama cha upinzani!

Yale yalikuwa maridhiano ya kuipozesha CHADEMA makali yake na si vinginevyo.

Na hayo, M/kiti chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, alionywa, ila baadhi ya mambo aliyaficha hakuyaweka wazi mbele ya viongozi wenzake kuhusiana na yale yenye msingi. Katika mpatano huo wa vyama hivi viwili CCM na CHADEMA.

Ni yale yale viongozi wenzake ambayo walionya kuwa yanahatari ya kukivunja chama na kukidhofisha makali yake kama chama kilichojijengea heshima kubwa kwa jamii kuwa ni chama cha kipekee na chenye kusimamia haki daima, msimamo thabiti n.k, walewale walioshauri na kuonya dhidi ya mapatano hayo feki, sasa wanatoka kuhoji kwenye majukwaa huku M/kiti akiwa hana pa kuanzia

Kuna vyama bila watu wenye misimamo dizaini ya Lissu, Kesho asubuhi kinakuwa siyo chama cha upinzani tena bali ni CCM b"

Naomba sana Lissu afukuzwe CHADEMA na Lissu aunde chama Chake na kiwe chama cha watu wenye msimamo wa kama yeye.

Wewe ndo unagundua leo. Hata sababu za cdm kumpiga mawe JPM ilikuwa kuwanyoosha kwa kutogawa asali.
 
Mkuu sisi hatuna chuki tumesha wasamehe ,mtahukumiwa na Mungu kwa Mambo machafu mliyokuwa mnafurahia kuharibikiwa maisha watz na kuuliwa n.k
Wacha Upotoshaji wewe. Hakuna Kundi lelote lile au Kabila la Wasukumu lililouwa watu Tanzania. Hakuna Watanzania walioharibikiwa na Maisha Tanzania! Wacha uwongoooo Mmekuwa mnapotosha sana, tena sana kuchafua watu wa Tanzania na kabila la Wasukuma Ati mnatupigania. Nani anawahitaji madhalimu waje watupiganie! Ulisikia wapi?

Wacha Upotoshaji ndugu. Wacheni Ugaidi wa Kimtandao.

We pigania na Mungu wako huko. Wewe ndie uende umuombe huyo mungu wako msamaha. Huna nguvu yeyote ile ya Kutoa Msamaha. Ukae ukijua hivyo. You are not Supreme.
 
Vyama pinzani kugeuka kuwa vichaka vya kulamba asali kunaenda kuiangamiza nchi hii.
 
Sawa, tunajua kazi yenu ya kuja kuangamiza Kabila la Wasukuma liko mbioni. Hatuta wachagueni nyie CHADEMA
Wasukuma kama Watanzania wengine hawapigi kura kibaguzi,

Wenje na Highness walichaguliwa ubunge Kwa sera na Si kabila zao.

CCM inachojua vizuri ni wizi wa kura, haijawahi kukubalika popote Kwa kura za HAKI.

Kanda ya ziwa CHADEMA imekuwa ikiungw mkono sana.

Acha ubaguzi. Tanzania ni Moja.
 
Hakuna anayetaka haya mavibaraka ya mabeberu CCM, chama kinachompigania Mtu mweusi na Mtanzania tokea enzi na enzi, Kiongozi wa mstari wa mbele, ati aje kuwa CCM, thubutu! yeye na wanaharakati wake tutawarudisha kwa Masters wao waliotuharibia Bara letu na wanaoendelea kutamani walivunje na kulipasua kabisa Bara hili na Nchi hii.
Yaani CHADEMA haiwezi kukwalifai kuwa CCM B. tsk Lissu ndie kabisa, yeye ndie atakuwa chief Prosecutor wa Wazungu anawezabhata akapeleka ndege mwenyewe!, Mbowe ndio Kabisa, Udikteta unamsumbua na ndio kanga'ang'ania Uenyekiti. Yaani hawa wakija kuleta Katiba Mpya Tumeisha! Raisi atakuwa wa Maisha, Watavunja Mikoa kikabila, Watamilikisha wazungu Migodi, uwongo utakuwa ni ukweli, yaani tafrani.

Ngoja ninywe Chai.

Hivi huwa unaongeaga utoto gani dogo?
 
Kuna vyama bila watu wenye misimamo dizaini ya Lissu, Kesho asubuhi kinakuwa siyo chama cha upinzani tena bali ni CCM b"
Magufuli alitudhihirishia wazi vile Chadema walivyo, hivyo wabunge wote wa Chadema walilipwa stahiki zao na wakaendelea kuunga juhudi za hapa kazi tu.

Lisu mwenyewe ni kibaraka wa kikwete.

CDM yote ni mali ya kikwete so hatuna wapinzani tz
 
Kama lazima ahusike kwa namna yoyote ile, ndio akaamua kupeleka malalamiko yake barabarani badala ya kwenye vikao vya chama chake?

Kwani yeye wakati akipelekewa muhtasari wa maridhiano, Chadema walienda barabarani kumjulisha?

Kwani hayomaridhiano ni ya vikao vya chama? Haya mambo ya kukubaliana na vikao vya chama huku mwenyekiti akilazimishwa ajenda zake,ndio yalipelekea Lowassa kuingizwa CDM kinyemela na kupewa nafasi ya kugombea urais. Lisu atoke hadharani aongee tunachotaka wananchi, sio wanachotaka baadhi ya viongozi kwa maslahi yao binafsi.

Tunamtaka Lisu apige hapo hapo maana tuna imani naye na sio viongozi wachache wanaolinda maslahi yao. Mbowe aendelee na wabunge wake wa Covid 19 maana hatuna imani naye.
 
Ha ha ha.
Taarifa Taarifa, ngo ngo ngo
Hakuna kabila Kubwa Tanzania na lenye watu makini kama la Wasukuma. Yaani hakuna. Hizi njia mnazotumia CHADEMA za kuwatenga na kuwabagua Wasukuma haiwajengeni.
Vilevile,Hakuna Genge lelote lile linaloitwa Sukuma Gang Tanzania. Hata mkilazimisha vipi. Mnachokifanya ni kujaribu Kuchafua na hapo baadae mje kuangamiza....yaani total Genocide against Sukuma tribe in Tanzania. You will fail. Mtashindwa.

Inaeleweka CHADEMA imeungana na makundi ya Kibeberu kuratibu, na kueneza taarifa na jumbe za Chuki dhidi ya Kabila hili Tanzania ili Iwaangamize na kuwatokomeza kutoka kayika Tanzania hii ya Leo huku wakijua Wasukuma ni Kabila Kubwa yaani robo ya Wapiga kura Tanzania. Kampeni hii, God forbid if CHADEMA takes over Government and its Organs it will as her Members have vowed, Destroy the People's and or Tribe of the Wasukuma so that their land maybe sold to the Highest bidder to the Imperialistic Investers from other Countries CHADEMA associates with. Sukuma land is Rich with Gold and Diamonds surrounded by Fertile Land and Lake. Sukuma tribe has one of the highest voting Block in Elections in Tanzania, and this block, traditionally has been voting for CCM party which CHADEMA looks to oust by(genocide) evicting and destroying the Wasukuma Tribe.

Wasukuma waanze kuwa makini kuhusu CHADEMA na vibaraka wao. Yaani wakiwachagua CHADEMA basi ndio watakuwa wametia sahihi ya kungamizwa kwao. Mkumbuke wataanza na Majimbo, wawaondoe kwenye shughuli za Kiuchumi ati Kwa sababu wameona mlipendelewa na Hayati Rais J.P.M...halina ubishi hili, wameandika hata na Kitabu!
Chagua kwa Makini 2025 tusije tukaangamizwa.
Wasukuma tuko wengi Chadema na wala Chadema haina ugomvi na Kabila letu usituchanganyie habari. Sukuma Gang ni jina wamepewa wafuasi wa Magufuli ambao wengi wao siyo Wasukuma bali ni wahamiaji haramu kama alivyokuwa Magufuli. Na walioasisi jina hilo ni wanaccm wa msoga Gang. Hii disinformation unayojaribu kutumia haina nafasi kwani ilishashindikana.
 
Aisee!

Sawa mkuu
 
wewe unafaa kuwa wapi? JF na ID fake? Jitokeze na wewe upigania ktiba mpya, weka jina lako halisi, unaukumia chadema
Hutaki Mbowe aelezwe ukweli? Hakika upinzani umeyeyuka
 
Wasukuma kama Watanzania wengine hawapigi kura kibaguzi,

Wenje na Highness walichaguliwa ubunge Kwa sera na Si kabila zao.

CCM inachojua vizuri ni wizi wa kura, haijawahi kukubalika popote Kwa kura za HAKI.

Kanda ya ziwa CHADEMA imekuwa ikiungw mkono sana.

Acha ubaguzi. Tanzania ni Moja.
Ndugu usinibadilishie kibao. Yaani usinigeuzie kibao na wakati huo huo kuongeza upotoshaji. Ati mie ndiye ninaye hubiri Siasa za Chuki na Ubaguzi My Records tell it all.

Nyie CHADEMA narudia, Nyie CHADEMA ndiye mnaotumia Lugha na maneno ya Kibaguzi Hapa Jamvini na kwingineko. Mnatumia mbinu na misamiati ya Wabaguzi na Mabebere ya kuwabagua Kabila la Wasukuma, tena kwa kuwadhalilisha na kuwashushia heshima yao, yaani mnaenda kuwashusha na kuwaita "Sukuma Gang" Kweli?
Yaani tukianza kumtafuta mchawi hapa ni Nyie CHADEMA kwani msamiati wa unaohusiana na "Gang" hutumika na wazungu mabeberu yaani Racist Bigots ambao wameapa kufanya kila wawezwalo kuangamiza Watu weusi, hiyo siyo siri dhidi ya Watu weusi, hilo halipingiki. Sasa kwaavile CHADEMA wameafiki kutumiwa na mamluki(mabeberu)katika vita yao ya Kisaikilojia Dhidi ya Watu weusi, that is to say with constant and relentless Psychological Bombardment against all those that may not bow and or get on their knees and or kiss the White man's feet just like What the Late President did. Vita kati ya Hayati Raisi na Mabeberu wa Kizungu ilikuwa wazi. Mnachokifanya ni kutumia mitifuano ya kawaida ya kisiasa na kuikuza. Mnachokifanya ni kutumia mbinu chafu-Kutengeneza mazingira yanayonyesha kutokua na Usalama wa Watu, Mali na mengineyo kwa kuunga matukio ya kawaida na kumsingizia Mtu mmoja. Hayati Raisi Magufuli kana ndiye aliyafanya mwenyewe, sasa Hayupo lakini mnajua kuwa Wananchi walifunguliwa macho, hilo nalo hamtaki na mmeapa kuwa mtalizima....Aisee yaani hata akitokea mtu na hoja yake ya mazuri aliyoyaona, mnamshambulia kwa kuunganisha Kabila la Hayati na Matukio yote yaliyowahi kutokea, yaani kuanzia kwa kufutwa mikataba mpaka hata kifo cha akwilina. Mkihojiwa, mnabadilisha maana, ohh ni wale wasiojulikana, mara ni wale wanao wanaua tu, mara ni wale waliokuwa kwenye Serikali yake, mara sijui nini, yaani ni "propaganda hasi" na hasi juu ya yeyote yule antakaye kuwa na fikra za Kujikomboa kutoka minyororo ya Kitumwa, yaani siamini haya yanaendelea ila yanafanyika- vitu ambavyo Hayati Raisi adamantly alikuwa akisistiza. Alikuwa Mkweli kusema 'Watanzania tunaweza' sasa mnatumia kabila lake, mnawabeza, mnawazodoa, mnawadhihaki kiasi cha kufika mtu aseme yeye siyo Msukuma yaani aji deassociate na Kabila lake kwaavile hataki kuitwa "Gang".... na aendlee kusema hawezi fanya lelote lile for christ sake mkamwingiza mpaka 'Mungu' kwenye hili...Mlaaniwe. Sasa CHADEMA wakubali au wakatae wao ndio vinara wa Propaganda hii, yaani mpaka illifikia mpaka Mwenyekiti wa CHADEMA kusema acheni, lakini bado mnaendelea kuleta siasa za chuki na za Kibaguzi, kuna Nyuzi humu mkadai Kaskazini iwe Nchi nyingine! yaani mkaanza seccesionist propaganda, mkagota, nini kitawasimamisha Kuja kuangamiza Jamii nzima ya Msukuma? pale Mkipata Dola? Kulimaliza Kabila zima la Wasukuma? UONGOZI wa CHADEMA nao wamo kuchagiza chuki. They are Complicit in this apparent Psych Operation! The mere association is bad, it has a profound and negative effect on the mental psyche of the ordinary Tanzanian let alone the whole Wasukuma tribe hata kwa wale ambao hawakuhusika moja kwa moja.. Wacheni!
Wacheni Ugaidi na Kupandikiza Chuki Tanzania. Nasema hivi wacheni. You need to cease and desist. Afterall atakaye kuja kupata athari na madhara, madhara makubwa na hasi ni wale wanaofaidika na Kampeni hizi. CHADEMA
Wacheni Propaganda za Kitoto, mnataka vita?
 
Sasa hivi yupo hapa kahama uwanja wa taifa anatandaza sera tu . Duh saiv hakuna upinzani kabisa
 
Sina chama.

Nawaonya wote kuacha siasa za chuki tuunganishe taifa letu.

Mungu ibariki TANZANIA.

Amen
 
Narudia tena. Sina Siasa za Chuki
Sina chama.

Nawaonya wote kuacha siasa za chuki tuunganishe taifa letu.

Mungu ibariki TANZANIA.

Amen
Waonye walio nga'ang'ania kuita kuzodoa kuidhalilisha kuibeza kabila la Wasukuma. Short of that, Usipachikie kwamba mie kuwa na Chuki au ninaye eneza Chuki.
Isitoshe nimekuwa mstari wa mbele kutaka wanahudhuri kuacha kutumia Lugha za Uchafuzi, Ubaguzi na Utenganishi/Utengano, Lugha za Kumbeza na Kumdhalilisha Mwafrika. Sasa uende huko na nikuone ukiwa unawaonya wale unaowapigia Likes kwa kutumia msamiati wanaotumia wa kuwadhalilisha Wasukuma na kabila lao.!
CHADEMA waache misamiati hiyo, au marungu tu Jembe kwa Jembe Kuelekea mbele. Enough is Enough.

Kitaeleweka.
Aluta Continua
 
Back
Top Bottom