Hope urassa
JF-Expert Member
- Aug 22, 2017
- 4,230
- 10,650
Doooh!! kama unaweza punguza taratibu mipombe , maana nkisema acha ni njia ndefuNi kazi mno. Inahitaji msaada mkuu wa Mungu Baba. Mkubwa sana..... Ila lazima aidha utaishia kuchepuka mno au utafuta nyumba ya pili haraka.
Mimi nilichoose alcohol maana SI mara ya kwanza anaenda kwao na nilijua HARUDI TENA ABADANI.... SO YES, I NEARLY DRANK TO DEATH BUT NOW AM SOMEHOW GOOD....
Hukatazwi kuamini hivyo.Sawa mkuu Ila Mungu yupo
Kuamini kwako una uhai, Hakuzuii kwamba hutakufa.Kwa huu uhai na kuweza kupambana na changamoto maana mambo ni mengi humu duniani
Sawa hata nikifa leo usikuKuamini kwako una uhai, Hakuzuii kwamba hutakufa.
Kuna siku utakufa na huo uhai wako utabaki Historia.
Kumshukuru kwako huyo Mungu kwa uhai ulionao, Haku kuepushi na kifo, ajali au magonjwa.
Ni swala la muda tu kufa utakufa, kuumwa utaumwa hasa magonjwa ya uzeeni na ajali waweza kupata muda wowote tu.
Haijalishi unashukuru au hushukuru.
Sasa hata kama ukishukuru bado utakufa tu, huoni kwamba kushukuru kwako kwa huyo Mungu hakuna maana yeyote?Sawa hata nikifa leo usiku
ninmeshukuru uhai nilio nao mpaka nukta hii nnayoiweka hapa.
Kwani hao wasio na kitu hawaku paswa kuwa na kila kitu?Huwa nina kanuni moja kwenye haya maisha ya dhiki, tabu na huzuni. Ukiona upo na kila kitu, unashukuru Mungu kwa afya, uzima na mibaraka tele ujue somebody somewhere is living hell.
Mungu huyo, Alishindwaje kutoa kila kitu kwa usawa kwa kila mtu pasipo kuzidishia wengine na kunyima wengine?Yaani leo ukiwa nacho, ujue kuna aliyenyimwa huko duniani, kesho atapewa yeye na wewe utanyimwa.
Huyo Mungu kama ndio yupo namna hii, Hajielewi kabisa na ni mjinga sana.Shukuru kwa kupewa, ila jiandae coz siku inakuja na wewe utanyimwa wenzako watapewa.
Ina maana hakuna siku ambayo hutokaa uumwe kabisa kwa vile unalindwa na huyo Mungu?Kwa kunilinda na magonjwa na fisi watu
Nazungumzia hiyo emoji mheshimiwa 😁😂Mungu hafanani na wala hafananishwi na chochote...
hata hivyo gentleman,
sijakupata vyema unalalamika au unazungumzia nini hasa? vinyani, vingedere au emoji? 🐒
Naumwa ila sio yale magonjwa yasiyotibika.Ina maana hakuna siku ambayo hutokaa uumwe kabisa kwa vile unalindwa na huyo Mungu?
Au siku ukiumwa au siku ulizokuwa unaumwa huyo Mungu alisahau kukulinda?
Fisi watu wenye jinsia mbili, HOGO na PAPUCHIKwa kunilinda na magonjwa na fisi watu
Kuumwa kwako ni uthibitisho tosha kwamba Mungu huyo hakulindi kwa lolote lile, ndio maana ukaweza kuumwa.Naumwa ila sio yale magonjwa yasiyotibika.
Baba Kinyeo vipKuumwa kwako ni uthibitisho tosha kwamba Mungu huyo hakulindi kwa lolote lile, ndio maana ukaweza kuumwa.
Mungu huyo angekuwa anakulinda kweli, isinge wezekana hata kwa bahati mbaya uumwe hata upele.
Amen to that.....Doooh!! kama unaweza punguza taratibu mipombe , maana nkisema acha ni njia ndefu
Anyway kama upo good sasa ni vyema na kumshukuru Mungu maana miaka 18 mingi mno