Upande wa pili hata wangekufa wote,wamefia nyumbani na wanazikwa nyumbani.Tatizo ni kufa na kuliwa na sisimiziUpande wa pili hali ipoje
Kwa hiyo wakizikwa wanafufuka?Upande wa pili hata wangekufa wote,wamefia nyumbani na wanazikwa nyumbani.Tatizo ni kufa na kuliwa na sisimizi
kwenye ardhi ya jirani yako.
Hakuna mwaname vitani wanajeshi wa urusi wamelazimishwa vita sasa matokeo ni hayo na wengine wamekataa vita wametimkia mbele kwa mbele, sasaiv Ukraine ni lete mzungu tu akitua tu anakumbana na Himars na pale mapema ilikuwa ni Javeline na StingerKwa hiyo wakizikwa wanafufuka?
Au hamjui wanaume vitani wanafata nini
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Maneno kibao uhalisia hola au ndio mnajifariji. Hivi amuoni kila siku zele anaomba omba na mpaka anathibitisha hali ni mbaya. Wewe nani tukusikilizeHakuna mwaname vitani wanajeshi wa urusi wamelazimishwa vita sasa matokeo ni hayo na wengine wamekataa vita wametimkia mbele kwa mbele, sasaiv Ukraine ni lete mzungu tu akitua tu anakumbana na Himars na pale mapema ilikuwa ni Javeline na Stinger
Sio jukumu letu kutajaUpande wa pili hali ipoje
Tuokea umeanza kutumia Infinix X657 huwezi jua hali halisi kwenye uwanja wa vita habari zinakupitaManeno kibao uhalisia hola au ndio mnajifariji
Hivi amuoni kila siku zele anaomba omba na mpaka anathibitisha hali ni mbaya
Wewe nani tukusikilize
Mwanaume kamili hufia nje,sio ndaniUpande wa pili hata wangekufa wote,wamefia nyumbani na wanazikwa nyumbani.Tatizo ni kufa na kuliwa na sisimizi
kwenye ardhi ya jirani yako.
Jeshi la Ukraine limefutwaMajenerali 20 wamefuta Jeshi la Ukraine.
Taifa limebaki na mamluki.
Ardhi yenye rutuba, visima vya mafuta, nishati ya Umeme, Viwanda vya kemikari, Viwanda vya SIRAHA, Technilodgy ya Kilimo na Siraha, Madini ya dhahabu, maghara ya vyakula vya akiba ya Miaka kadhaa, vimepotwaliwa.
Ukija na mada kama hiyo Watu wanapita tu wanaona ni mmojawapo wa Magharibi wanaotunyonya mpaka Sasa na wanataka tuwe mashoga.
Rafiki hapo mtetezi wetu ni Urusi akishindwa Vita watatunyonya zaidi wafidie hasara zao.
Mm sitaki hata kuwasikia Wazungu wametesa babu zetu na kuwabaka Mama zetu na hawana utu.
Mwishoni mwa mwaka jana milisema 12 leo February ni 20.Kando na kupoteza wanajeshi 135,000 Urusi pia imepoteza majenerali zaidi ya 20, supapawa ameingia aibu hadi basi tu na yupo bado anapambana kuteka kamji ka chumvi hukooooo!!!!
More than 20 Russian generals have already been killed in Russia’s war against Ukraine, Japanese newspaper Nikkei Asia reported on Feb. 9, citing Japanese intelligence.
Retired Japanese general and former chief of staff of the Japanese Ground Self-Defense Forces, Kiyofumi Iwata, called these figures “unbelievably high”, and speculated that they are affecting the morale of the Russian military.
At the beginning of the full-scale invasion, a number of high-ranking Russian military figures were said to have been eliminated thanks to Ukrainian tracking of cell phone signals. The Russian military has since attempted to enforce bans on mobile phone usage in the field.
Ukrainian partisans account for another portion of the slain Russian generals, the Japanese said.
“There may be informants in the two eastern regions giving information to Ukraine,” Iwata added, referring to Donetsk and Luhansk oblasts, both of which are partially occupied by the enemy.
According to the Ukrainian General Staff, since the beginning of the full-scale invasion, Russia has lost more than 135,000 of its military personnel.
Russia already lost over 20 generals in war against Ukraine, believes Japanese intelligence
More than 20 Russian generals have already been killed in Russia’s war against Ukraine, Japanese newspaper Nikkei Asia reported on Feb. 9, citing Japanese intelligence.english.nv.ua
Tangu nimeanza kutumia infinix nimegundua ukichaa wa zelensky kutaka kupigana vita kwa vijisilaha vya kuomba ombaTuokea umeanza kutumia Infinix X657 huwezi jua hali halisi kwenye uwanja wa vita habari zinakupita
West walimshinda kwa kumuondoa mtu wake, wakaweka wao, vinginevyo Ukraine ingekuwa USSRyale magari km 64 sijui yameishia wapi. yani Urusi katika kitu amechemsha ni hii vita bora angetumia ujasusi kupandikiza kibaraka ukrein.
kama mabeberu wanavyofanya, kulipo kumwaga damu nyingi namna hii.
Basi hamasisha nemesi ajengewe mnara maana ni mwanaume amefia njeMwanaume kamili hufia nje,sio ndani