MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
- Thread starter
- #81
Sasa hapa nilipokutag dini inaingia wapi?? Je ni mara ngapi hata wakristo wanawaita nyie pro Ukraine+NATO/USA wafuasi wa LGBT yani mashoga,,, kuna suala la udini hapa
Dini ndio tatizo lenu, ndio sehemu laana yenu ilianzia, hapo ulinitag kwa matusi ambayo ndio mnafahamika kwenye dini yenu, hivyo ilibidi nikujibu kwa kiwango hicho hicho na kukumbushia laana yenu ilipoanzia hata kama huyo ustadhi mwenzio analialia....maana dini yenu imejaa chuki ya watu kujilipua mabomu.