Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,179
- 26,188
Mkuu samahani,makanisani hatufundishwi hayo na niseme tu huyo sio mkristu!Angekuwa mkristu basi asingekuwa anabehave namna anavyobehave!Mnafiki tu we unaonekana una roho mbaya sana,, yani uchi za wazi wazi uzi hauhusiani na mambo ya dini lkn lazima uweke mambo ya dini,,, kwani ndo mnavyofundushwa hivyo makanisani
Dalili alizonazo ni za mtu aliyekosa malezi mazuri kuanzia ngazi ya familia,dini na hata kwenye upande wa elimu!