Mpaka sasa Urusi imepoteza majenerali zaidi ya 20, hii haijawahi kutokea

Upande wa pili hata wangekufa wote,wamefia nyumbani na wanazikwa nyumbani.Tatizo ni kufa na kuliwa na sisimizi
kwenye ardhi ya jirani yako.
Achana na ProRussia ,Warusi wa mchongo toka Buza .Hawa watu wameshasahau lengo lao la toka mwanzo huko Ukraine.Labda niwakumbushe",Wao pamoja na Putin ilikuwa waichukue Kyiv kwa muda wa siku tatu,wakitaka raisi wa Ukraine, Zenensky, ajisalimishe au aikimbie nchi,huku wakipanga vifaru urefu wa kilometa 64."Sijui mpango wao huu umeishia wapi?Manake inaendea mwaka sasa toka vita vianze ,Kyiv haijatwaliwa na wao na raisi Zenensky bado ni raisi wa Ukraine,mbaya zaidi vile vifaru vyao sijui vilipotelea wapi!
 
Haya Mambo bwana yanachanganya ubongo kweli, ukiangalia kwenye tv unaona Ukraine imebomolewa Kila Kona na majeshi ya Urusi hali ya kuwa Urusi yenyewe iko poa tu watu na mishe zao Kama kawa, lakini wataalamu wengi wa Mambo ya kivita humu jamvini wanasema Urusi inapigwa ki mbwa Koko! hapo Sasa ndo nabaki naduwaa mbele na nyuma.
Kingine Urusi kushuka kiuchumi baada ya vita kuisha wakati yeye ndio atakuwa na misosi kwakuwa tumekatazwa kununua kwake na nguvu ya kuwa na misosi wa kutosha ndio iliipa nguvu Marekani miaka ile! hapo Sasa ndio nachanganyikiwa zaidi.




MAGUFULI4LIFE.
 
WARUSI WANALO:Vikosi vya UKRAINE vyatua Ubelgiji kujifunza matumizi ya "DRONES"za chini ya maji!
My Take:Meli za Urusi zilizopo Black Sea zijiandae!
...........
Ukrainian military arrived in Belgium to get trained on the use of underwater drones, the Belgian Ministry of Defense reported.
The Minister of Defense Ludivine Dedonder personnally welcomed them.
 
Imf wamesema Uchumi wa Urusi unaimarika na Mwaka huu utafanya vizuri
 
Maneno kibao uhalisia hola au ndio mnajifariji
Hivi amuoni kila siku zele anaomba omba na mpaka anathibitisha hali ni mbaya
Wewe nani tukusikilize

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Leo DW wamedai kua mrusi karusha makombora 70, wamefanikiwa kudungua makombora 61, makombora 9 yameleta uhalibifu mkubwa sehemu mbalimbali za nchi
 
Dah!...hivi Vita sio vya kumalizika hivi karibuni...Urusi kayakanyaga
 
Ukraine kapoteza wangapi
 
It’s Russia against the world

Congrats to them for keeping their message intact
 
It’s Russia against the world

Congrats to them for keeping their message intact

Waambie Warusi wapambane kunyakua hako kamji ka chumvi kwanza ndio mseme against the world.
 
Hahaaa!!Hali imeshakuwa tete huko,Kiongozi wa kundi la wagner amesema kuwa urusi kuchukua tu baadhi ya maeneo ya ukraine inahitaji miaka 2!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…