babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Sifurahii chochote nishasema sana ,leo wewe unafurahia watu kuuliwa kisiasa? Ubinaadamu wako upo wapi ndugu
Sudan wamekufa wangapi?? Au Congo?? Hao HAMAS ni freedom fighter watakufa mwisho watapata uhuru wao.
Kuwa kwenye kifungo kwa miaka zaidi ya 70 si jambo dogo , wamekuwa wakiteswa miaka yote hiyo kwa kufanya shambulio hili au bila ya kufanya hatma yao ipo pale pale ni kuuliwa kila siku na kunyanyaswa hata ungekuwa wewe ungekaa usubiri siku yako ya kuuliwa au upambane maana hakuna kizuri kinachokuja zaidi ya kuuliwa na kuwa mtumwaSifurahii chochote nishasema sana ,
Watoto wamama wazee kuuliwa niko against sana kuhusu hilo na siungi mkono.
Problem ni kwanini hao Hamas walianza kuchokoza kule huku wakijua aftermath yake?.
Sasa wayahudi wamepata sababu ndo matokeo haya tunashuhudia.
Na hata wao pia wanakufa ila vita ni vita.
Mnajifariji sana waislam. Allah mwenyewe mungu wa kiarabu kala kona na kujificha. Allah bure kabisaSudan wamekufa wangapi?? Au Congo?? Hao HAMAS ni freedom fighter watakufa mwisho watapata uhuru wao.
KWa jinsi mlivyokuwa na chuki na uislamu hamkupenda usambae hivi hadi kukubalika kumpa uongozi muislamu kwenye nchi yenye 99% chfistians but allah alwas has his ways na ingekuwa amri yenu wakristo wa tanzania hata waislamu wasingeruhusiwa kuongoza nchi za ulaya
KWa jinsi mlivyokuwa na chuki na uislamu hamkupenda usambae hivi hadi kukubalika kumpa uongozi muislamu kwenye nchi yenye 99% chfistians but allah alwas has his ways na ingekuwa amri yenu wakristo wa tanzania hata waislamu wasingeruhusiwa kuongoza nchi za ulaya
IS hawawezi saidia hamas,lile ni kundi la kigaidi lililoanzishwa na USA,NATO NA ISRAEL,na wametangaza kwamba kama iran itashambulia israel,wao wataanza mashambulizi dhidi ya syria,hata kiongozi wa kundi hilo ni muisrael.Hamas ni mashujaa watawatwanga "mayahudi" wakisaidiwa na akina Hizbollah,IS na mashujaa wengine.Tufumbe macho tuwaombee dua njema.
KWa jinsi mlivyokuwa na chuki na uislamu hamkupenda usambae hivi hadi kukubalika kumpa uongozi muislamu kwenye nchi yenye 99% chfistians but allah alwas has his ways na ingekuwa amri yenu wakristo wa tanzania hata waislamu wasingeruhusiwa kuongoza nchi za ulaya
Allah ni bureeee hovyo kabisaKuwa kwenye kifungo kwa miaka zaidi ya 70 si jambo dogo , wamekuwa wakiteswa miaka yote hiyo kwa kufanya shambulio hili au bila ya kufanya hatma yao ipo pale pale ni kuuliwa kila siku na kunyanyaswa hata ungekuwa wewe ungekaa usubiri siku yako ya kuuliwa au upambane maana hakuna kizuri kinachokuja zaidi ya kuuliwa na kuwa mtumwa
Mbona hao west wasitumie vikundi vya dini nyingine Zaidi ya uislam?!Na wewe naamini ni mtu mzima na msomi kuingia kwenye huu mtazamo , hawa isis na vikundi vingine unajua nani kavianzisha na kwa sababu zipi? Libya alipotaka kuuliwa gadafi kile kikundi kilipewa hela na silaha na marekani na gadafi aliuliwa on the spot,
Congo hadi leo zaidi ya karne kuna vikundi vingi na vyote vina silaha kali nani anaeapa hela na silaha siku zote hizo?
Ili western waweze kutawala na kuwa na influence sehemu yoyote lazima iwe na mgambo wa kufanya vurugu kwa sababu huwezi kutawala sehemu yenye amani.
Unajua wale unaowaona isis 90% sio waislamu? Na kama unajua dini hawakutaki?
Hivi huo uongo huwa mnauchuja kabla ya kuwapa watu?Yani utudanganye tu kwamba USA,Israel na wazungu wengine ndiyo wameunda hayo makundi ya kishenzi?ππππIS hawawezi saidia hamas,lile ni kundi la kigaidi lililoanzishwa na USA,NATO NA ISRAEL,na wametangaza kwamba kama iran itashambulia israel,wao wataanza mashambulizi dhidi ya syria,hata kiongozi wa kundi hilo ni muisrael.
Hamna anaewekwa mtumwa Israel, wapalestina wanaingia na kutoka kila siku wanavyotaka.Kuwa kwenye kifungo kwa miaka zaidi ya 70 si jambo dogo , wamekuwa wakiteswa miaka yote hiyo kwa kufanya shambulio hili au bila ya kufanya hatma yao ipo pale pale ni kuuliwa kila siku na kunyanyaswa hata ungekuwa wewe ungekaa usubiri siku yako ya kuuliwa au upambane maana hakuna kizuri kinachokuja zaidi ya kuuliwa na kuwa mtumwa
Du uko mbali sana,kwa AL QAEDA ya osama alianzisha nani?na kundi la HAMAS alianzisha nani?Israel ilipokuwa inapata upinzani mkali toka kwa PLO,ndio ikaweka mapandikizi kuanzisha HAMAS ili kuwagawa palestina na kupunguza upinzani,sawasawa na nccr-mageuzi na nccr-asili,cuf lipumba na cuf maalim,Chadema na ActHivi huo uongo huwa mnauchuja kabla ya kuwapa watu?Yani utudanganye tu kwamba USA,Israel na wazungu wengine ndiyo wameunda hayo makundi ya kishenzi?ππππ
Kama wanakubali kutumika wanafaa kuitwa wapumbsvu sana.Du uko mbali sana,kwa AL QAEDA ya osama alianzisha nani?na kundi la HAMAS alianzisha nani?Israel ilipokuwa inapata upinzani mkali toka kwa PLO,ndio ikaweka mapandikizi kuanzisha HAMAS ili kuwagawa palestina na kupunguza upinzani,sawasawa na nccr-mageuzi na nccr-asili,cuf lipumba na cuf maalim,Chadema na Act
Swala tano hazipo kwenye Qoran mmejitungia tu... Qoran inachekesha imeandika Mara tatu tena yashangaza inasema Establish Player ''O'' Prophets at both ends of the day and in the early part of the night.Huna unachokijua kuna huyu kiongozi mzungu wa uholanzi sio mbumbumbu kama wewe , huyu alikuwa hadi anataka sheria kali zitungwe kuudhibiti uislamu bungeni uholanzi, akawa anaandika kitabu cha kukashifu uislamu, mwisho wa siku akaja kubadili dini na sasa hivi ni swala tano
speaking of loveHaya bwana ismail ila jitahidi moyo wako uwe na upendo kwa binaadamu wenzako na uheshimu uwepo wa mungu na uamini mungu ameumba ulimwengu na vyote vilivyomo ndani huwezi ukawa unasema unampenda mungu huku unaombea babunafurahia haki za binaadamu wenzako kukandamizwa kisa tu sio dini yako
Fikiria mtu kama angelina jolie ambaye amezungukwa na taasisi ambayo jews wanaimiliki lakini ameweza kupaza sauti kwa ajili ya ubinaadamu bila ya kujali maslahi atakayopoteza, leo wewe unafurahia watu kuuliwa kisiasa? Ubinaadamu wako upo wapi ndugu
1. Kuua Raia hakuleti ushindiMakazi yamesambaratishwa, wakimbizi wanateseka kila siku, na hadi sasa vimeripotiwa vifo 9,770..... na bado Israel wanaendelea na shughuli baada ya kuzingira Gaza...............hivi mnaoshabikia kilichofanywa na HAMAS, bado mnakomalia kilikua sahihi?
================
Israel-Hamas war live: death toll in Gaza rises to 9,770, Palestinian health authority says; Abbas tells Blinken there must be ceasefire
Kwanini walianzisha vita?Ni vita vilivyoanzishwa na magaidi wa kiislamu dhidi ya Wayahudi, sasa majibu ya Wayahudi hayachagui iwe mtoto au kitu gani wanapiga, maana hao magaidi wa kiislamu wamejificha ndani ya wananchi wa kawaida.
Kawaida tumezoea magaidi wa kiislamu kuchinja Wakristo, ila hapa kama walikosea njia, Wayahudi ni watu hatari sana lazima walipize kisasi....
Muelekeo wa vita kwa sasa ni ushindi mkubwa kwa Palestine. Vita vikiisha Wazayuni wameangamiaMkuu wa Hamas amesema baada ya vita kuisha wataendelea kufanya uchokozi kama walioufanya October 7 .... Hawa jamaa ni wabishi kwelikweli
We utakuwa ni muarabu au unafanya kazi za ndani katika nyumba ya baba wa kiarabuWaarabu wanapenda damu, mtu unashindwa hata kuwahurumia