Mpaka sasa wamekufa 9,700 hivi mashabiki wa HAMAS bado mnaamini huu uchokozi ulikua sahihi?

Mpaka sasa wamekufa 9,700 hivi mashabiki wa HAMAS bado mnaamini huu uchokozi ulikua sahihi?

Nimemtolea mfano sheikh ponda kwa sababu ni kiongozi wa dini. Mtu ambae anatakiwa ahubiri aman ndio kwanza anashangilia mauaji ya kikatili
hakuna kitu kinauma kama kuona maiti za watoto catch in middle of someone else war
Hamas walivyo infiltrate na kuua jews ilikua sikukuu huku wakiimba Allah akubar
but now table turns Israel retaliate
we all seen casualties and fatalities in Gaza ni unyama
kitu najiuliza Hamas above all hates they have for Israel they didn't calculate casualties once Israel retaliate..?
 
Sa hii yule kibibi kashakimbia
wenyewe wakipiga ni Allah akubar
wakipingwa sasa nikilio tunaonewa Tena yule BIBI anawaita freedom fighter
kwa tunao jua battlefield hakuna anae Tamani vita coz vita haina macho kinacho reportiwa na media ni tofauti na uhalisia kwa ground ni kubaya saanaaaa Kuna comment za keyword warriors humu waga zinaniumiza kinouma
 
Tuchore na mchoro kuonyesha wazaramo walivyopoteza ardhi Dar
kuanzia uwepo wa Dar hadi sasa.Je wamepokonywa? au wameuza.

Mi nadhani hekima iliyotumika south Afrika itumike na hapa ili kumaliza
mgogoro huu. Kama waafrika tungejidanganya kwamba tutapigana na kaburu hadi tumtoe
tungetoka kamasi na tusingefanikiwa.
 
Wapalestina walimuuzia nani mwaka 1947? Na waliuza kwa kiasi gani? SA ni nchi moja, Palestina na Israel ni nchi 2 tofauti.

CCEE4E09-0E1A-4BA7-BC4A-8E7D2D4BF583.jpeg
 
Basi vita isiishe. Waendelee kushughulikiwa maana wakiachwa watafanya tena ugaidi na next time wataua zaidi kuliko Oct 7
Tangu Marekani amshughulikie Afaghanistan na osama wao
matukio mabaya kama september 11 hayajaipata tena marekani.
Wanaocheza na ngedere ndo wanaendelea kuvuna mabua.
 
Yanayotokea Kwa Ndugu zetu Congo hatuyasemi
sio ndugu zetu kiimani hahaha
wa Africa ni watu wa ajabu sana ndugu yetu mweusi mwenzetu jilani yetu kila siku wako na vita but hakuna anae ongea who care
ila akiguswa ndugu yetu wa Imani ambae yeye kamwe hawezi kusimama na wewe ikiwa na vita tunataka na kuandamana hahaha

SHAME ON US
 
sio ndugu zetu kiimani hahaha
wa Africa ni watu wa ajabu sana ndugu yetu mweusi mwenzetu jilani yetu kila siku wako na vita but hakuna anae ongea how care
ila akiguswa ndugu yetu wa Imani ambae yeye kamwe hawezi kusimama na wewe ikiwa na vita tunataka na kuandamana hahaha

SHAME ON US
Huwezisikia wanaongelea hilo,utadhani Sudani hakuna watoto.
Na je hiyo october 7 hakuna wanawake na watoto walioumizwa au kuuawa?
Nadhani kinachomuongezea hasira israel ni kuona watu wanajifanya kuonyesha huzuni kwa gaza wakati hawakufanya hivyo israel ilipovamiwa.
 
Makazi yamesambaratishwa, wakimbizi wanateseka kila siku, na hadi sasa vimeripotiwa vifo 9,770..... na bado Israel wanaendelea na shughuli baada ya kuzingira Gaza...............hivi mnaoshabikia kilichofanywa na HAMAS, bado mnakomalia kilikua sahihi?
================

Israel-Hamas war live: death toll in Gaza rises to 9,770, Palestinian health authority says; Abbas tells Blinken there must be ceasefire​

Mungu na miujiza yake
 
Attachments

  • Screenshot_20231106-094849_Chrome.jpg
    Screenshot_20231106-094849_Chrome.jpg
    67.9 KB · Views: 1
Makazi yamesambaratishwa, wakimbizi wanateseka kila siku, na hadi sasa vimeripotiwa vifo 9,770..... na bado Israel wanaendelea na shughuli baada ya kuzingira Gaza...............hivi mnaoshabikia kilichofanywa na HAMAS, bado mnakomalia kilikua sahihi?
================

Israel-Hamas war live: death toll in Gaza rises to 9,770, Palestinian health authority says; Abbas tells Blinken there must be ceasefire​

Acha ujinga kundi la Hamas inajulikana ulimwenguni kote hawana silaha za maana, ni kundi ambalo liliamua kujitolea kuihami Palestine kutokana na uchokozi uliokubuhu kutoka kwa mazayuni Israel,

Inaonekana hujui chochote, Walichofanya Hamas ni baada ya kuchoka udhalilishaji na mauwaji kutoka kwa Wazayuni Israel utawala ambao ulipandikizwa kutoka nchi za Magharibi na Marekani kwa wapelesine ndani ya nchi yao, Hamas ndio wakaamua kufanya walichokifanya, lakini physical dunia inajua Hamas hawana nguvu ya hivyo isipokuwa kuna mataifa ambayo yapo nyuma yake kwa sababu ile ile tu Israel wamezoea kuwaadhibu Palestine ndani ya ardhi yao.

Sasa ukitaja uchokozi wa Hamas sio uchokozi rudi nyuma utaona Israel walikuwa wanawafanyia nini Palestine. hata kama wewe ni mmagharibi lakini upate hisia za kibinadamu kwa unyama unaofanywa wazayuni miaka nenda miaka rudi. Wazayuni wanashambulia hadi ambulance ambazo zinabeba wagonjwa na hata hospitali uone kama hao watu washenzi waliopandikizwa kwa lengo la kupoteza Palesine katika ramani ya dunia jambo ambalo halitawezekana.
 
sio ndugu zetu kiimani hahaha
wa Africa ni watu wa ajabu sana ndugu yetu mweusi mwenzetu jilani yetu kila siku wako na vita but hakuna anae ongea who care
ila akiguswa ndugu yetu wa Imani ambae yeye kamwe hawezi kusimama na wewe ikiwa na vita tunataka na kuandamana hahaha

SHAME ON US
Hakika shame on us Kwa kweli
 
Acha ujinga kundi la Hamas inajulikana ulimwenguni kote hawana silaha za maana, ni kundi ambalo liliamua kujitolea kuihami Palestine kutokana na uchokozi uliokubuhu kutoka kwa mazayuni Israel,

Inaonekana hujui chochote, Walichofanya Hamas ni baada ya kuchoka udhalilishaji na mauwaji kutoka kwa Wazayuni Israel utawala ambao ulipandikizwa kutoka nchi za Magharibi na Marekani kwa wapelesine ndani ya nchi yao, Hamas ndio wakaamua kufanya walichokifanya, lakini physical dunia inajua Hamas hawana nguvu ya hivyo isipokuwa kuna mataifa ambayo yapo nyuma yake kwa sababu ile ile tu Israel wamezoea kuwaadhibu Palestine ndani ya ardhi yao.

Sasa ukitaja uchokozi wa Hamas sio uchokozi rudi nyuma utaona Israel walikuwa wanawafanyia nini Palestine. hata kama wewe ni mmagharibi lakini upate hisia za kibinadamu kwa unyama unaofanywa wazayuni miaka nenda miaka rudi. Wazayuni wanashambulia hadi ambulance ambazo zinabeba wagonjwa na hata hospitali uone kama hao watu washenzi waliopandikizwa kwa lengo la kupoteza Palesine katika ramani ya dunia jambo ambalo halitawezekana.
So Hamas walicho Fanya ilikua sahihi?
 
Unarefeer wapi?
Mimi nimependekeza ili amani irejee, ila kama ni msemo
wa kenge ili aelewe ni lazima atoke damu puani
tuendelee kuwasikilizia.
Palestine alimuuzia Israel ardhi yake mwaka 1947? Kwa kiasi gani?

DE8B987C-640D-46D9-8EBD-9034945B656A.jpeg
 
So Hamas walicho Fanya ilikua sahihi?
Sio tu kwamba ni sahihi bali wanapaswa kuungwa mkono na mataifa ulimwenguni kama unavyoona kwenye television wananchi wanavyoandama Free Palestine. Hao wanaoandama sio waislamu tu ni pamoja na wakiristo na watu imani tofauti wanaojua ukweli kwamba Palestine haiko huru inakaliwa kimabavu na Taifa la kupandikiza Israel.

Uturuki wameliita kundi la Hamas kama ni kundi la ukombozi na sio terrorist kama wanavyoita viongozi wa nchi za magharibi na US. Wasio fahamu maana ya Kundi la Hamas kile walichokianzisha wanaona kama ni vita kati ya waislamu labda na wakiristo ni tofauti sana mkuu.,
 
Back
Top Bottom