uchumi2018
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 1,657
- 2,406
Hamas wangekuwa wanawajua wasingewachokoza. Nami nasema walikuwa wanawajua nusu nusu.Kwa hiyo wewe unawajua zaidi Hao mayahudi kuliko Hao hamas pole sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamas wangekuwa wanawajua wasingewachokoza. Nami nasema walikuwa wanawajua nusu nusu.Kwa hiyo wewe unawajua zaidi Hao mayahudi kuliko Hao hamas pole sana
hakuna kitu kinauma kama kuona maiti za watoto catch in middle of someone else warNimemtolea mfano sheikh ponda kwa sababu ni kiongozi wa dini. Mtu ambae anatakiwa ahubiri aman ndio kwanza anashangilia mauaji ya kikatili
wenyewe wakipiga ni Allah akubarSa hii yule kibibi kashakimbia
Tuchore na mchoro kuonyesha wazaramo walivyopoteza ardhi Dar
Mkuu ni ngumu sana kuutenganisha uislamu na ugaidi,matendo yako wazi na yanajionyesha bila shaka.
View attachment 2805607
Muache ajitoe ufahamu na kutetea wasiomhusu
Na ni vigumu sana kuutenganisha ukristo na uyahudi na ushoga
View: https://youtu.be/m6hMiuq4nYI?si=VPKm1Z9X--4cVyaL
Wapalestina walimuuzia nani mwaka 1947? Na waliuza kwa kiasi gani? SA ni nchi moja, Palestina na Israel ni nchi 2 tofauti.Tuchore na mchoro kuonyesha wazaramo walivyopoteza ardhi Dar
kuanzia uwepo wa Dar hadi sasa.Je wamepokonywa? au wameuza.
Mi nadhani hekima iliyotumika south Afrika itumike na hapa ili kumaliza
mgogoro huu. Kama waafrika tungejidanganya kwamba tutapigana na kaburu hadi tumtoe
tungetoka kamasi na tusingefanikiwa.
Tangu Marekani amshughulikie Afaghanistan na osama waoBasi vita isiishe. Waendelee kushughulikiwa maana wakiachwa watafanya tena ugaidi na next time wataua zaidi kuliko Oct 7
sio ndugu zetu kiimani hahahaYanayotokea Kwa Ndugu zetu Congo hatuyasemi
Unarefeer wapi?Palestina na Gaza ni nchi 2 tofauti.
Huwezisikia wanaongelea hilo,utadhani Sudani hakuna watoto.sio ndugu zetu kiimani hahaha
wa Africa ni watu wa ajabu sana ndugu yetu mweusi mwenzetu jilani yetu kila siku wako na vita but hakuna anae ongea how care
ila akiguswa ndugu yetu wa Imani ambae yeye kamwe hawezi kusimama na wewe ikiwa na vita tunataka na kuandamana hahaha
SHAME ON US
Mungu na miujiza yakeMakazi yamesambaratishwa, wakimbizi wanateseka kila siku, na hadi sasa vimeripotiwa vifo 9,770..... na bado Israel wanaendelea na shughuli baada ya kuzingira Gaza...............hivi mnaoshabikia kilichofanywa na HAMAS, bado mnakomalia kilikua sahihi?
================
Israel-Hamas war live: death toll in Gaza rises to 9,770, Palestinian health authority says; Abbas tells Blinken there must be ceasefire
MSN
www.msn.com
Acha ujinga kundi la Hamas inajulikana ulimwenguni kote hawana silaha za maana, ni kundi ambalo liliamua kujitolea kuihami Palestine kutokana na uchokozi uliokubuhu kutoka kwa mazayuni Israel,Makazi yamesambaratishwa, wakimbizi wanateseka kila siku, na hadi sasa vimeripotiwa vifo 9,770..... na bado Israel wanaendelea na shughuli baada ya kuzingira Gaza...............hivi mnaoshabikia kilichofanywa na HAMAS, bado mnakomalia kilikua sahihi?
================
Israel-Hamas war live: death toll in Gaza rises to 9,770, Palestinian health authority says; Abbas tells Blinken there must be ceasefire
MSN
www.msn.com
Hakika shame on us Kwa kwelisio ndugu zetu kiimani hahaha
wa Africa ni watu wa ajabu sana ndugu yetu mweusi mwenzetu jilani yetu kila siku wako na vita but hakuna anae ongea who care
ila akiguswa ndugu yetu wa Imani ambae yeye kamwe hawezi kusimama na wewe ikiwa na vita tunataka na kuandamana hahaha
SHAME ON US
So Hamas walicho Fanya ilikua sahihi?Acha ujinga kundi la Hamas inajulikana ulimwenguni kote hawana silaha za maana, ni kundi ambalo liliamua kujitolea kuihami Palestine kutokana na uchokozi uliokubuhu kutoka kwa mazayuni Israel,
Inaonekana hujui chochote, Walichofanya Hamas ni baada ya kuchoka udhalilishaji na mauwaji kutoka kwa Wazayuni Israel utawala ambao ulipandikizwa kutoka nchi za Magharibi na Marekani kwa wapelesine ndani ya nchi yao, Hamas ndio wakaamua kufanya walichokifanya, lakini physical dunia inajua Hamas hawana nguvu ya hivyo isipokuwa kuna mataifa ambayo yapo nyuma yake kwa sababu ile ile tu Israel wamezoea kuwaadhibu Palestine ndani ya ardhi yao.
Sasa ukitaja uchokozi wa Hamas sio uchokozi rudi nyuma utaona Israel walikuwa wanawafanyia nini Palestine. hata kama wewe ni mmagharibi lakini upate hisia za kibinadamu kwa unyama unaofanywa wazayuni miaka nenda miaka rudi. Wazayuni wanashambulia hadi ambulance ambazo zinabeba wagonjwa na hata hospitali uone kama hao watu washenzi waliopandikizwa kwa lengo la kupoteza Palesine katika ramani ya dunia jambo ambalo halitawezekana.
Palestine alimuuzia Israel ardhi yake mwaka 1947? Kwa kiasi gani?Unarefeer wapi?
Mimi nimependekeza ili amani irejee, ila kama ni msemo
wa kenge ili aelewe ni lazima atoke damu puani
tuendelee kuwasikilizia.
Sio tu kwamba ni sahihi bali wanapaswa kuungwa mkono na mataifa ulimwenguni kama unavyoona kwenye television wananchi wanavyoandama Free Palestine. Hao wanaoandama sio waislamu tu ni pamoja na wakiristo na watu imani tofauti wanaojua ukweli kwamba Palestine haiko huru inakaliwa kimabavu na Taifa la kupandikiza Israel.So Hamas walicho Fanya ilikua sahihi?
Wenzako usizan wanapigana wakitegemea kushinda wale wanajua watakufa ili wakapate Bikra 72Ujinga ni mzigo pole sana