Mpambano wa Freeman Mbowe na Tundu Lissu: Wajue wagombea hawa wawili

Kaka yangu Pazcal Mayalla

Nimeshtuka sana kwa huu ujumbe wako maana nilikuwa wala sikumbuki tena hayo mambo.Nimesikitika kwamba kwa karibu miaka 10 umebeba hiyo chuki moyoni mwako

Nadhani wewe ni muumini wa Imani yoyote, maandiko yanasema usilibebe jambo likakukasirisha kutwa nzima, sasa mwenzangu hata ingelikuwa umesingiziwa unabeba chuki moyoni miaka kumi? Utaugua bure ndugu yangu kwa hasira iliyokujaa kifuani.

Umesema unanijia kwa cheo na jina pale Ufipa, sasa kama ni hivyo hata nikikutana na wewe mahali si itabidi nikukimbie? Maana kwa chuki uliyoonyesha hapa lazima utanidhuru.

Nakushauri achana na chuki, hasira na kushika jambo moyoni daima dumu.
 
Mbeba mikoba wa Mbowe ulibeba maboksi mangapi ya pesa kwenye asali
 
Wajumbe wafanye wafanyavyo wanachadema wanamtaka tundu lissu, wakikosea watakuwa wamekizika chama rasmi.
Wajumbe 1200 ndio wapiga kura tu.
Sio wageni kwenye siasa za Chadema.
Wengi wao wanaenda kufanya kazi mmoja tu kuonyesha utiifu kwa kamanda wao mkuu.
Sio watu wa kubadirisha msimamo.Its business as usual.Kinara anajulikana bila hata kupiga ramli za mitandao.Mitano mingine.
 
Sidhani kama ni kweli kwa sababu naona wajumbe wamegawanyika wapo wanaounga mkono upande huu na wapo wanaounga mkono upande wa pili.

Cha msingi wagombea wajikite kumwaga sera ili kubadili maamuzi ya wajumbe wa mkutano mkuu
 
Mb
owe haitajiki kwa sasa huku majimboni hatupati hiyo ruzuku shughuli zote za chama sisi viongozi tunapitisha michango kwa wanachama.Mbowe atapata kura za kina boni yai na genge lake ila hatoboi
 
Mbowe anaungwa mkono na matapeli wachache wakina boni yai,sisi viongozi huku majimboni tunajitambua.
 
Mb

owe haitajiki kwa sasa huku majimboni hatupati hiyo ruzuku shughuli zote za chama sisi viongozi tunapitisha michango kwa wanachama.Mbowe atapata kura za kina boni yai na genge lake ila hatoboi
Chama chako kinapata Ruzuku miasi gani?
 
Sugu mbona simuoni akikomenti ili tujue mlengwa wake.
 
Chama chako kinapata Ruzuku miasi gani?
Hata kama ni kidogo wakati wa Dr Slaa ilikuwa inafika hata kama ni kwa udogo na ikaweza kutusaidia siyo siku hizi huyu tapeli na genge lake wamejiwekea hadi hardship allowance alafu huku majimboni tunaambiwa komaeni kamanda
 
Dr Slaa amewahi kuwa Mwenyekiti wa Chadema?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…