kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 3,607
- 9,430
Mkuu huo ni mtego amekuwekea ukikurupuka tu mkienda mahakamani atakushinda na fidia utamlipa,nimeshawahi kukutana na hizi kesi mara nyingi.Kuna maelewano zaidi ya mkataba wa upangishaji uliohakikiwa na mwanasheria?
Usimshauri kufanya hivi hapo ndio unazidi kumpoteza.Nenda kwa mtendaji ukiwa na huo mkataba,,, ukiona hakuna ushirikiano, nenda police,,, wape kitu kidogo like 50k, waje hapo, mvunje nyumba, mtoe vitu vyote vivilvyopo na viandikishwe chini ya uangalizi wa police ! Simple
Akienda mahakamani hawezi kutoboa ataonekana mbabaishaji tu.Hiyo ni kesi ya wewe na mpangaji wako inamaana ni kesi kama ya madai, nenda moja kwa moja mahakamani.
Huo ushauri mbaya saana. Jirani yangu hapa kala miezi 6 jela baada ya kuezua mabati juu vyumba alivyokuwa kampangisha jamaa na familia yake. Baada ya kuezua mvua ikanyesha siku mbili mfululizo TV, na mali zote za jamaa ziliharibika plus watoto kuugua pneumonia. Mwenye nyumba pamoja na kufungwa miezi sita jela ametakiwa amlipe jamaa fidia ya milioni 4.Ondoa mabati mpangaji atakimbia mwenyewe.
Mpe anachotaka Kwa maandishi mbele ya mashahidi ahameWana BODI naomba ushauri. Wapangaji wangu wote naingia nao mkataba wa miezi sita. Ambao ni renewable .Katika mkataba kuna kipengele cha security deposit Sawa na kodi ya mwezi ambayo hutumika kutengeneza nyumba mkataba ukiisha.
Mpangaji wangu mmoja single mother mkataba wake ulikwisha mwezi January mwaka huu lakini amegoma kuhama akidai arudishiwe deposit yake ndio ahame kabla nyumba haijakaguliwa ; lakini amekwisha kaa hiyo nyumba mwaka mmoja na nusu na nyumba inahitajika matengenezo.
Amegoma kuondoka na sasa amefunga nyumba na kuacha vitu vyake ndani na kutoweka na funguo!
Ameisha kaa zaidi ya mwezi bila kulipa kodi na hata bill ya maji hajalipa! Nimekwenda serikali ya mtaa kutoa taarifa nao hawana msaada.
Nitumie mbinu gani kumtoa kwenye nyumba yangu?
Kwanini nifanye hivyo? Yeye mkataba wake umekwisha hivyo kuendelea kukaa ni trespassing!! Kama ana dai afungue kesi ya madai mahakamani.Mpe anachotaka Kwa maandishi mbele ya mashahidi ahame
Hebu nieleze mtego uko wapi na hizo kesi ulizokutana nazo wali Shinda kwa vipi? Busara hutumika kwa wenye busara na sio kwa wahuni!Mkuu huo ni mtego amekuwekea ukikurupuka tu mkienda mahakamani atakushinda na fidia utamlipa,nimeshawahi kukutana na hizi kesi mara nyingi.
Si kila mahali unataka kutumia nguvu sehemu zingine busara inahitajika.
Anza mjumbe pili kata baraza la ardhi eatakupa go ahead to court huyo ni mvamizi kisheria ila fatal hzi taratibu usipigishane na yy wala usiende polisiTumia sheria ,mngeanza na kumshirikisha mjumbe. Pia maelewano yeno ya awali ni muhimu sana.
Ndoo maana wajanja wanawekeza kwenye bonds na utt amis ili kuepuka kero ndogondogo kama hizi.Wana BODI naomba ushauri. Wapangaji wangu wote naingia nao mkataba wa miezi sita. Ambao ni renewable .
Katika mkataba kuna kipengele cha security deposit Sawa na kodi ya mwezi ambayo hutumika kutengeneza nyumba mkataba ukiisha.
Mpangaji wangu mmoja single mother mkataba wake ulikwisha mwezi January mwaka huu lakini amegoma kuhama akidai arudishiwe deposit yake ndio ahame kabla nyumba haijakaguliwa ; lakini amekwisha kaa hiyo nyumba mwaka mmoja na nusu na nyumba inahitajika matengenezo.
Amegoma kuondoka na sasa amefunga nyumba na kuacha vitu vyake ndani na kutoweka na funguo!
Ameisha kaa zaidi ya mwezi bila kulipa kodi na hata bill ya maji hajalipa! Nimekwenda serikali ya mtaa kutoa taarifa nao hawana msaada.
Nitumie mbinu gani kumtoa kwenye nyumba yangu?
Nimekwisha fanya mahesabu na yeye kumjulisha ; in fact gharama za matengenezo ni kubwa kuliko deposit yake! Hivyo anadaiwa pamoja na kodi ya nyumba kwa muda wote anaondelea kukaa na funguo!Unaweza kutaja au kupiga mahesabu ya uharibifu alioufanya kwenye chumba anachoishi?
Mimi Nataka atoe vyombo vyake kwenye nyumba yangu hivyo polisi watahusika! Kwanini nisiende polisi ? Una sababu gani kusema hivyo!Anza mjumbe pili kata baraza la ardhi eatakupa go ahead to court huyo ni mvamizi kisheria ila fatal hzi taratibu usipigishane na yy wala usiende polisi
Adhabu yotehiyo ya nini.Pana jamaa mmoja alikua anasumbuliwa sana na wapangaji wake huko Mbeya ni kama walikua wanasimuliana jinsi ya kumiimbia mwenye nyumba baadae mwenye nyumba kipindi cha masika akaamua kutoa bati lote la nyumba yake maana aliwapa barua ya matengenezo muda mrefu na hawakuzingatia yule Mzee alikua mafia sana walipotoka akarudisha bati lingine na maisha yakaendelea..
Mtendaji ataruka vipi wakati kutakuwepo na Mjumbe na Polisi?Usimshauri kufanya hivi hapo ndio unazidi kumpoteza.
Baadae kesi huwa inageuka ikifika mahakamani kisha hao watendaji wanakuruka,nilishawahi kukutana na kesi za hivi.
Huu ndy utaratibu sasaNenda kwa mwenyekiti wa mtaa kisha polisi ili utoe vitu vyake wakiwa mashahidi