Shangazi Pumbavu huyuWenye nyumba basi mjue hata hao wapangaji wanatafuta.
Yaani amelipa kodi, amelipa dalali, eti na hela ya mwezi mmoja ya security.
Mpe hela yake hiyo uliyokaa nayo ya security, huo mwezi mmoja aliokaa bure hesabia ni notice.
Hivi mkifa mtaondoka na hizo nyumba ? Muwe na imani pia.
Usifikirie sina nyumba za kupangisha, sawa eeh.
Kuna vitu vilivyovunjika yaani kama vitasa,komeo?madirisha?ambavyo vinaonekana waziwazi sio kwa hisia.Nimekwisha fanya mahesabu na yeye kumjulisha ; in fact gharama za matengenezo ni kubwa kuliko deposit yake! Hivyo anadaiwa pamoja na kodi ya nyumba kwa muda wote anaondelea kukaa na funguo!
Tena akomeeeHayo ni mambo yenu wenyewe, na hivyo mtayamaliza wenyewe.
Polisi na mjumbe huwa wanakuja tu kishabiki wanajua hawawezi kukosa hela ya maji ila mwisho wa siku kesi ikienda mbele zaidi wanajitoa unabaki peke yako hiyo wala sio dawa.Mtendaji ataruka vipi wakati kutakuwepo na Mjumbe na Polisi?
Kuna wapangaji ni jeuri kipindukia badala ya kuwa Walpole wakiwa na shida wanataka kufanya Janja Janja ya kutaka kukwepa kodi! Huwezi kuwasaidia wahuni !Adhabu yotehiyo ya nini.
Kuna mzee kopindi cha magu. Aliwaambia wapangaji wanangu hali ni ngumu...kila mmoja wenu azingatie mkataba. Ila kama unatatizo niambie usikae kimya.
Kuna binti alimwambia kama huna ukipata utanipa alikaa bure kwa muda na baasae akampa yule mzee kama milioni kama asante.
Wenye nyumba tuishi kwa upendo.wapangaji wanashukran sana wakitendewa ubinadamu
Acha kutegemea nyumba za kupanga mkuu fanya kazi, ungekuwa na kazi usingelikua na malumbano na wapangaji wakoWana BODI naomba ushauri. Wapangaji wangu wote naingia nao mkataba wa miezi sita. Ambao ni renewable .
Katika mkataba kuna kipengele cha security deposit Sawa na kodi ya mwezi ambayo hutumika kutengeneza nyumba mkataba ukiisha.
Mpangaji wangu mmoja single mother mkataba wake ulikwisha mwezi January mwaka huu lakini amegoma kuhama akidai arudishiwe deposit yake ndio ahame kabla nyumba haijakaguliwa ; lakini amekwisha kaa hiyo nyumba mwaka mmoja na nusu na nyumba inahitajika matengenezo.
Amegoma kuondoka na sasa amefunga nyumba na kuacha vitu vyake ndani na kutoweka na funguo!
Ameisha kaa zaidi ya mwezi bila kulipa kodi na hata bill ya maji hajalipa! Nimekwenda serikali ya mtaa kutoa taarifa nao hawana msaada.
Nitumie mbinu gani kumtoa kwenye nyumba yangu?
Mbona povu? Mpangaji?Wenye nyumba basi mjue hata hao wapangaji wanatafuta.
Yaani amelipa kodi, amelipa dalali, eti na hela ya mwezi mmoja ya security.
Mpe hela yake hiyo uliyokaa nayo ya security, huo mwezi mmoja aliokaa bure hesabia ni notice.
Hivi mkifa mtaondoka na hizo nyumba ? Muwe na imani pia.
Usifikirie sina nyumba za kupangisha, sawa eeh.
inaonekana huna nyumba wala hujawai kupangisha mtu wapangaji tunawakabidhi nyumba kwenye mazingira mazuri ila matusi wanayofanya wakati wanaondoka hata io secutity deposit hua haitoshiWenye nyumba basi mjue hata hao wapangaji wanatafuta.
Yaani amelipa kodi, amelipa dalali, eti na hela ya mwezi mmoja ya security.
Mpe hela yake hiyo uliyokaa nayo ya security, huo mwezi mmoja aliokaa bure hesabia ni notice.
Hivi mkifa mtaondoka na hizo nyumba ? Muwe na imani pia.
Usifikirie sina nyumba za kupangisha, sawa eeh.
Atathibisha vipi kuwa kaibiwa? hizo hela wakati mashahidi walikuwepo wakati vyombo vinatolewa?Polisi na mjumbe huwa wanakuja tu kishabiki wanajua hawawezi kukosa hela ya maji ila mwisho wa siku kesi ikienda mbele zaidi wanajitoa unabaki peke yako hiyo wala sio dawa.
Hapo mtego wake uko hivi mkienda kuvunja huyo mwanamke ataenda mahakamani kushitaki kwamba amevunjiwa nyumba na imesababisha upotevu wa milioni 20 kwa hivyo atataka alipwe milioni 20 kisha aondoke na vitu vyake.
Baada ya hapo polisi na mjumbe wakiitwa mahakamani watasema sisi tulikuwa mashahidi tu lakini hatuhusiki na chochote kwa hiyo mwenye nyumba ndio anajua kiundani ugomvi wake na mpangaji basi hapo wanakuwa washajitoa unabaki peke yako.
Ninachokiona hapo ni Kuna kutunushiana misuli......na kirahisi rahisi humuwezi na atakusumbua sana ukizingatia status yake ni watu wasiojali ,ikiwa anaweza kufunga nyumba na akaenda kuishi popote na haoni ttzo huyo atakusumbua sanaWana BODI naomba ushauri. Wapangaji wangu wote naingia nao mkataba wa miezi sita. Ambao ni renewable .
Katika mkataba kuna kipengele cha security deposit Sawa na kodi ya mwezi ambayo hutumika kutengeneza nyumba mkataba ukiisha.
Mpangaji wangu mmoja single mother mkataba wake ulikwisha mwezi January mwaka huu lakini amegoma kuhama akidai arudishiwe deposit yake ndio ahame kabla nyumba haijakaguliwa ; lakini amekwisha kaa hiyo nyumba mwaka mmoja na nusu na nyumba inahitajika matengenezo.
Amegoma kuondoka na sasa amefunga nyumba na kuacha vitu vyake ndani na kutoweka na funguo!
Ameisha kaa zaidi ya mwezi bila kulipa kodi na hata bill ya maji hajalipa! Nimekwenda serikali ya mtaa kutoa taarifa nao hawana msaada.
Nitumie mbinu gani kumtoa kwenye nyumba yangu?
Sio kweli. Kodi ikiisha wewe ni mvamizi kwenye eneo la mtu: kwa kifupi huna haki katika eneo hilo.Polisi na mjumbe huwa wanakuja tu kishabiki wanajua hawawezi kukosa hela ya maji ila mwisho wa siku kesi ikienda mbele zaidi wanajitoa unabaki peke yako hiyo wala sio dawa.
Hapo mtego wake uko hivi mkienda kuvunja huyo mwanamke ataenda mahakamani kushitaki kwamba amevunjiwa nyumba na imesababisha upotevu wa milioni 20 kwa hivyo atataka alipwe milioni 20 kisha aondoke na vitu vyake.
Baada ya hapo polisi na mjumbe wakiitwa mahakamani watasema sisi tulikuwa mashahidi tu lakini hatuhusiki na chochote kwa hiyo mwenye nyumba ndio anajua kiundani ugomvi wake na mpangaji basi hapo wanakuwa washajitoa unabaki peke yako.
Ahsante kwa ushauri. Nadhani Nita Pambana nae mpaka mwisho! Hii ni aina ya utapeli. Ukimuachia Huyu atazoea na kumfanyia mtu mwingine.Ninachokiona hapo ni Kuna kutunushiana misuli......na kirahisi rahisi humuwezi na atakusumbua sana ukizingatia status yake ni watu wasiojali ,ikiwa anaweza kufunga nyumba na akaenda kuishi popote na haoni ttzo huyo atakusumbua sana
Suluhisho ni mambo mawili.....mosi,jishushe na ukubali hiyo hasara Ili akurudishie nyumba yako Ili uendelee kufanya biashara na wateja wengine
Pili..fuata taratibu za kumfikisha mahakamani Ili ukapambanie kupata Haki yako ukiwa unatambua kuwa Kuna kupoteza rasilimali muda na fedha zaidi Ili kupata hiyo haki unayoidai
I
Mambo ya nyumba utayajua wapi wakati bado unakaa nyumbani kwa shemeji yako!Deposit ya nyokweeee π π π yani utapeli kila kona alafu huyu unakuta ni mbaba mtu mzima ila tamaa za hela na kukosa utu kumemjaaa sasa hizo kodi unazolipwa haitoshi kufanya ukarabati mpangaji akitoka au mpya akiingia??ukarabati gani huo au unakuwa unajenga upya??
Unaondokaje na funguo za nyumba yangu ukijua unadaiwa. Kama sio ukorofi na kulilia kupigwa ni nini.Wenye nyumba basi mjue hata hao wapangaji wanatafuta.
Yaani amelipa kodi, amelipa dalali, eti na hela ya mwezi mmoja ya security.
Mpe hela yake hiyo uliyokaa nayo ya security, huo mwezi mmoja aliokaa bure hesabia ni notice.
Hivi mkifa mtaondoka na hizo nyumba ? Muwe na imani pia.
Usifikirie sina nyumba za kupangisha, sawa eeh.
Sio nyumba tu ongeza na frame ila hiyo rohoo ya tamaa sinaa bwana mkubwa jirekebisheMambo ya nyumba utayajua wapi wakati bado unakaa nyumbani kwa shemeji yako!