Uchaguzi 2020 Mpangilio wa Majina ya vyama kwenye Karatasi ya kupigia kura ulizingatia nini?

Maelezo mareefu ambayo hayabadili ukweli kwamba Chadema wanakwenda kupoteza huu uchaguzi kwani kabla ya uchaguzi huu;

1. Walikataza wanachama wao kujiandikisha.

2. Hawakushiriki kupitisha bajeti iliyojumuisha gharama za Uchaguzi.

3. Mgombea wake haamini katika Muungano na anagombea Urais wa Muungano hivyo kumpa kura Lisu ni kumfanya atimize majukumu ambayo haamini kama ni halali.

4. Anawakilishwa na wakili Mzungu ambaye ni mlafi wa Rasilimali na mwenye vinasaba vya mahusiano ya jinsia moja.
 
hoja nyepesi kuliko maelezo ! waliojiandikisha mwaka huu ni wangapi na je kujiandikisha kwao kunaathiri kitu gani kwa waliojiandikisha 2015 ? fanya utafiti kuliko kuropoka
 
Nimekutana na kundi la mbuzi mabeberu matupu yanawatafuta wagombea wa ccm yawatafune,kama abood na gwajima walivyotafunwa hadharani
 
Kwa hiyo wewe ndiyo mwerevu au unayefahamu zaidi. Wapiga kura wenu wote hawazidi asilimia 25 ya wapiga kura wote sasa sijui mtashindaje?
 
Walituhadaa,wakasema hakuna haja ya kujiandikisha au kuboresha daftari ya mpiga kura watasusia uchaguzi mkuu kama walivyosusia chaguzi za serikali ya mitaa.
Lakini sasa ni kinyume.
Sasa wanajipa matumaini ya kushinda si utoto huo hahaha
 
Ndio,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…